Raha ya kuwa single

Raha ya kuwa single

Mkuu cjawahi kuumizwa na mwanamke,na huwa niko bize na kazi vibaya sana,nafanya kazi masaa kumi na 13 ,home narudi saa mbili hadi saa tatu.nikichelewa naingia saa 4 na kuamka saa 11 asubuhi.na mimi ni bonge la mwanaume na mumgu kanijalia uhandsome.ila mimi cyo mtu wa sketi
Umeendeleza utetezi tena.
 
Hebu angalia inbox hakujajaa pm za wadada??? Make humu KE ukizungumzia habari za usingo Au ubachela na kuelezea mawazo yako tu ME wanajaa inbox as if umesema unatafuta mchumba mi hata siwaelewagi! Anyway kuwa single kuna raha na karaha pia
 
Raha ya kuwa single, hupigwi vizinga pesa unakula mwenyewe
Ukitaka huduma ya msingi unainunua chapchap umemaliza.
Huna haja ya kumtoa mtu out, sjui kumfikiria mwingine.

*kuwa single ni raha, ila uwe na cha kukuweka busy, sio uko single halaf unakaa idle tuu, hapo bora utafute mwenzio akupe hata ki kampan flani hivii
Nahisi umetumia kichwa changu kuwaza Mkuu.

Kiualisia mwanaume anaogopa sana commitment maana haimsaidii....ila panahitajika tu sehemu ya kupunguzia oil....Marriage is a price men pay for sex, whereas sex a price women pay for marriage....sasa kama kuna sehemu sex inapatikana bila malipo ya ndoa huoni hilo ni jambo la faida kwetu?
 
Kama uko stable financially ni kheri utafute mtu wa kutulia nae. Ila kama na wewe ni [HASHTAG]#nakulaujana[/HASHTAG] utajikuta una miaka 60 Mtoto wako anamiaka 3.
 
Umeamua kuchomoka kwa kutumia lugha ngumu kusudi. Inawezekana labda kutongoza ina maana nyengine tofauti na uelewa wangu. Lkn kwa mwanaume kamili kutongoza lazima
 
Mkuu cjawahi kuumizwa na mwanamke,na huwa niko bize na kazi vibaya sana,nafanya kazi masaa kumi na 13 ,home narudi saa mbili hadi saa tatu.nikichelewa naingia saa 4 na kuamka saa 11 asubuhi.na mimi ni bonge la mwanaume na mumgu kanijalia uhandsome.ila mimi cyo mtu wa sketi
 
Nahisi umetumia kichwa changu kuwaza Mkuu.

Kiualisia mwanaume anaogopa sana commitment maana haimsaidii....ila panahitajika tu sehemu ya kupunguzia oil....Marriage is a price men pay for sex, whereas sex a price women pay for marriage....sasa kama kuna sehemu sex inapatikana bila malipo ya ndoa huoni hilo ni jambo la faida kwetu?

Uko sawa mkuu, na kama mtu unakuwa busy, una work hard unaingiza pesa, pa kupunguzia oil huwezi hangaika pia.
 
Ubaya wa single life ni upweke na kukosa dira na kasi ya maisha.
 
Back
Top Bottom