Raha ya kuwa single

Raha ya kuwa single

hii misongo ya mawazo mibaya sana ... jamaa kawa mpweke kaamua kuja kutafuta wa kumfariji😀😀😀
Ni kweli aisee. Kujifariji pia inaruhusiwa ila kuwa single mda mrefu duuh
 
Hii ndiyo raha ya kuwa single, naamua ninachokitaka, narudi home muda ninaopenda na siulizwi na mtu. Nafanya ninachoweza siulizwi na mtu hata nisipokula home siulizwi nimekula wapi.

Sasa wewe kama upo na msichana usiniige mimi maana lawama sipendi.
Hizi ni akili za kitoto.
 
Mkuu cjawahi kuumizwa na mwanamke,na huwa niko bize na kazi vibaya sana,nafanya kazi masaa kumi na 13 ,home narudi saa mbili hadi saa tatu.nikichelewa naingia saa 4 na kuamka saa 11 asubuhi.na mimi ni bonge la mwanaume na mumgu kanijalia uhandsome.ila mimi cyo mtu wa sketi
Wewe ni mgonjwa na bahati mbaya hujui kama unaumwa. Mungu akusaidie ili uweze kujitambua.
 
Mkuu cjawahi kuumizwa na mwanamke,na huwa niko bize na kazi vibaya sana,nafanya kazi masaa kumi na 13 ,home narudi saa mbili hadi saa tatu.nikichelewa naingia saa 4 na kuamka saa 11 asubuhi.na mimi ni bonge la mwanaume na mumgu kanijalia uhandsome.ila mimi cyo mtu wa sketi
Picha tafadhali
 
Hawasemagi
 
Safiiiiiiiii angemuliza nifah angepata jibu badala ya jipu,,,, mpe upepo huyo
 
safi sana mkuu umenikumbush ile nyimbo ya regae "no woman no cries" yani we kila siku utakuwa na furaha na amani,, hamna kashfa za kumfania mpenz wako, hakuna presha ya kuchkuliana simu, yani maisha ni mseleleko tyuuuuu...!
 
Mbona kama hujamaliza kutoa sifa zako,... We ni handsome sana, unajua kurembua sana, unajua kukatika sana......... Te te te teeh wanaume wa Dar kwenye ubora wao.
 
Mkuu cjawahi kuumizwa na mwanamke,na huwa niko bize na kazi vibaya sana,nafanya kazi masaa kumi na 13 ,home narudi saa mbili hadi saa tatu.nikichelewa naingia saa 4 na kuamka saa 11 asubuhi.na mimi ni bonge la mwanaume na mumgu kanijalia uhandsome.ila mimi cyo mtu wa sketi
Promoooo
 
Back
Top Bottom