Raha ya Kutumia ID / Username zaidi ya moja JF...!!!!

Raha ya Kutumia ID / Username zaidi ya moja JF...!!!!

Upo kundi gani...!?


  • Total voters
    9
Hahaha naona kuna kupiga kura lakini wagombea siwaoni....

Kwenye baibo watu walimpeleka mwanamke mmoja mngonokaji kwa Jesus naye akasema asiye na dhambi awe wa kwanza kumpopoa mastone. Walikachaje!

MULTIPLE IDs. . !
 
Kwenye baibo watu walimpeleka mwanamke mmoja mngonokaji kwa Jesus naye akasema asiye na dhambi awe wa kwanza kumpopoa mastone. Walikachaje!

MULTIPLE IDs. . !
mi mwenyewe nimeshangaa, maana niwajuavyo JF kwa kupenda ''demokrasia'' (kupiga kura) lakini hii watu kama hawaioni vile...!!
 
Watu weng wanao2mia id zaid ya moja ni wababaishaji nikiwemo mimi mwenynwe.
 
Kama huwa unashinda jukwaa la mapenzi huko hakuna haja ya kuwa na id zaidi ya moja lakini kama ni mpenzi wa jukwaa la siasa mara mwigulu kaja na movi ya kichina mara lema àcha msiba wa wachimba moramu na kwenda kumzika mawala wakati picha zinaonyesha lemaàkiwa msîbani lazima uwe na id zaidi ya moja ukila ban unaibuka na nyingine..

Michezo ya multiple IDs imekuja siku za karibuni baada ya invisible kuwa mkali na ban zake..na hii ndo chanzo cha kulipuana hasahasa kule kwetu kwenye siasa
 
Mi nina ID zaidi ya moja sababu nilianza na ID moja for a reason,
ambayo ilikua na personality fulani (formal and distant),
then ikabidi nije na hii hapa ambayo ina personality tofauti
(a bit more relaxed, more me). My IDs don't represent the real me,
they are just characters.
Ila Mods wakiamua ID ni moja tu, nitaziunganisha on my alter ID, not Mwali
 
Back
Top Bottom