sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
Last edited by a moderator:
kuanzisha uzi cc na kujibu mwenyewe ili uwe maarufu jf...
Hee! Kumbe ndo yapo hivi!
Kama mzungu mndali na Marry Hunbig!!
Naomba kujuzwa...
Kuna raha gani...!!!???
Ukiwa na username moja tu unakosa nini!!!??
Kwa nini..!!!??
Mi tangu nimeifahamu JF na kuanza kuitumia sijawahi kuwa na id nyingine yoyote zaidi ya sijui nini na ninajivunia id yangu wala sifikirii kutumia id ya ziada kwa lolote lile...sasa wale wanaotumia id's nyingi naomba mnijuze...kuna raha gani!!??
NAWASILISHA...:amen:
Mbona kuna options chache?
Ongezeni walau nne kama
-Nilikuwa nazo nimesahau password
-Nilikuwa nayo imekuwa merged
-Nitakuwa nazo
Hehehehee
Copy kwa Ruhazwe JR
Yaani namtafuta kwa mapana na marefu.....
Kama amemshindwa mdogo wangu anirudishie kbs.
Mtoto mbichi kabisa yule.
Wengi wanamuwania.............. mmoja wapo wewe sosoliso.
![]()
id yako nyingine ni wakusoma. mia
huyo huyo. miafigganigga u mean wakusoma yule dogo jeuri eee? Kama ndivyo basi mia 100