Hivi wapo mpaka leo wanaodai majibu kwa mademu!unakuta mpaka chumbani mtu anadai jibu lake......
Mimi km ni kwa mara ya kwanza nikikutongoza Moyo (LOHO) huwa inadunda (naogopa ukikataa ntaabika najiuliza sijui utakubali, sijui utanionaje limgukeni, Mzee au mtoto kamasikuna mtu akikutongoza unaboreka kinyama ila kuna mwingine unaenjoy
ngoja nijipange kutengeneza hata aibu za kulazimisha alafu nije, nishagunduaaaaaaaaaaaaaaaaaa
siyo hicho lakini mmmh
Hutaki kula pensheni ya vibabu?
uwezi kata tamaaa wewe
nikiona kuna dalili za kulamba asali ndio siwezi kukata tamaa lakini nikiona kuna mawingu :eyebrows: lazima nitakata tamaa
hivi kuna kutongozana sikuhizi..
sitaki mimi bwana wakanifia
Mh...unexpected, name+red.....................utalamba asali na maziwa huku ukisindikizwa na mauno laini loh
Hahahaha..kweli kutongozwa raha, yani mnatupanga tu na maneno yetu mnayapima tu...Ndio mana huwa sipendi kutongoza.jana usiku kwenye simu lakini namtesa huyo balaaaaa
tayari ushanikimbiza, kwenye kuteswa mmmmmmmmmmmmmmmmmh, bola nitulie hivi tu. afu kumbe mnafurahi kutesa wenzenu eeh?
Hahahaha..kweli kutongozwa raha, yani mnatupanga tu na maneno yetu mnayapima tu...Ndio mana huwa sipendi kutongoza.
Mh...unexpected, name+red.....................
yah expect that let him try
Mimi huwa nakuambia kama nakupenda. ukizingua hutaniona tena..Najua wewe una maamuz yako, na unasababu ya kuzingua, hakuna haja ya kukulazimisha. Huwa najiuliza, DID SHE WORTH MY TIME? Haya ni makubaliano kila mmoja atanufaika kwa namna moja ama nyingine. Afu huwa sipendi msichana muongeaji, ukiwa na maneno mengi nakuogopa saana.ha ha ha ha ha si kila mwanaume unamfanyia hivyo kama nakupenda wala sikusumbui kama sikupendi nakutesa mpaka ukome mwenyewe ,,, ila kuana wanaume wabishi yani kutongoza kuna kuwa tatizo kila siku yupo hata umjibu vibaya vipi.... kuna mmoja mpaka imefika mahali unamfokea lakini ananiambia eti kwake ye ni burudani yaaaani tabu kweli kweli
yes those good old days.. kijana anaandika barua halafu anaanza kupiga misele kila dakika anajipitisha mbele ya nyumba binti anapoishiDah!
Umenikumbusha good old days!!
Mimi huwa nakuambia kama nakupenda. ukizingua hutaniona tena..Najua wewe una maamuz yako, na unasababu ya kuzingua, hakuna haja ya kukulazimisha. Huwa najiuliza, DID SHE WORTH MY TIME? Haya ni makubaliano kila mmoja atanufaika kwa namna moja ama nyingine. Afu huwa sipendi msichana muongeaji, ukiwa na maneno mengi nakuogopa saana.