kiben10
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 616
- 789
KiTiMoTo, na Ijumaa hii, upate alafu isikauke sana kuwe na ugali fulani unga wa kuloweka, kama itawezekana upate na maziwa mgando yasiwe makali sana, then kwa kuwa inajitegemea mafuta basi ukipata kamchicha mafungu mawili sio mbaya, na mda wa kuanza kula zima simu maana unaweza kupokea habari za msiba kila kitu kikaharibika Mshana Jr tunakwama wapiiiiiiii