Raha ya kitimoto

kiben10

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
616
788
KiTiMoTo, na Ijumaa hii, upate alafu isikauke sana kuwe na ugali fulani unga wa kuloweka, kama itawezekana upate na maziwa mgando yasiwe makali sana, then kwa kuwa inajitegemea mafuta basi ukipata kamchicha mafungu mawili sio mbaya, na mda wa kuanza kula zima simu maana unaweza kupokea habari za msiba kila kitu kikaharibika Mshana Jr tunakwama wapiiiiiiii
eliudsamwel-20190927-0001.jpeg
 
Jamaà una roho mbayaa, huu ni mwaka wa pili unapita wima hiyo ndafu sijaitia mdomoni.

Unanitia majaribuni nikakope; maana hata ile company ya ndafu mixer konyagi tumepoteana mazima

Imebaki tunaonana huko kanisani au msibani:

I wish ningekuwa Bashite
 
KiTiMoTo, na Ijumaa hii, upate alafu isikauke sana kuwe na ugali flan unga wa kuloweka, kama itawezekana upate na maziwa mgando yasiwe makali sanaaa, then kwa kuwa inajitegemea mafuta basi ukipata kamchicha mafungu mawili sio mbaya, na mda wa kuanza kula zima simu maana unaweza kupokea habari za msiba kila kitu kikaharibika Mshana Jr tunakwama wapiiiiiiiiView attachment 1217155
Dah.. Tunakwama kwenye shekeli... Leo lazima nikafanye chuma ulete nipate walau kilo
 
jamaà una roho mbayaa

huu ni mwaka wa pili unapita wima hiyo ndafu sijaitia mdomoni.

unanitia majaribuni nikakope;maana hata ile company ya ndafu mixer konyagi tumepoteana maxima

imebaki tunaonana huko kanisani au msibani:

i wish ningekuwa bashite
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom