Raha sana eti!!!

Raha sana eti!!!

nimesema hamnitishi nimeshikwa nikashikamana. acha fitna we si mwanaume wewe au mtoto wa kiume
......fitina za nn we babaa wataka kuniua bure babaaa....
......yule ni wang, nami ni wake, wivu wa nni,,,,,,,,,

haya shansarie najua hatudhuriani nakutakia all the best na kiwatengu ila nenda kusini uko...
 
Last edited by a moderator:
Kumbe hua ukitekenywa vizuri , unatekenyekaga!
Nway ni mida gani uipendayo mtekenyaji akutekenye?

Hapa unataka kusema nini? So akikwambia huo muda utaenda kumtekenya si ndio
 
hidden passion mkubwa wangu!!
naandaa taratibu za kuongea na mwenyekiti Baba V...tuweke mambo sawa bin sawia

Ha ha ha haaaaa....yaani siku ile kuniletea dawa ya mapigo ya moyo kurudi nyuma kwa kazi ndo......!

You are not serious kiwatengu........usinchekeshee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom