Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,518
- 108,967
Hahah haya ngoja nami niwe kando kushuhudia hayo mafunzo...
Last edited by a moderator:
nasubiri jibu lake hapa
Amekonogesha au umenogewa?!
shemeji ngoja kwanza...
kuna harufu ya mtu inanukia hapa ujue
shem shem shem!! ushanibugisha.....
ngoja aje, nakimbia ujue!!
yah yah! one of the above...please usimwambie yule wangu hata Heaven on earth coz huwa hachelewi kufikisha habari....
Mmmmhhhhhhyah yah! one of the above...please usimwambie yule wangu hata Heaven on earth coz huwa hachelewi kufikisha habari....
koh koh koh koh mfupa umenikaba
mi nachungulia tu wisho tutajua mbivu na mbichi Lady doctor asante