Rage: Hivi Haya Ni Kweli Jamani?

Rage: Hivi Haya Ni Kweli Jamani?

unaaaa,,achen kupakazia vitu vya upuuz,chuki,unafki,uzandki,ubinafsi hiv ni baadh ya vitu visivyojenga na havileti maendeleo,hapa watanzania mnaonyesha jins gan akili zenu zilivyo dumaa,remember blind mind is ahouse of Devil.

Iawezekana sisi tunamapepo, lakini wewe yatakuingia utaanza kuwakataa hawa alshabab siku wakijilipua na kuua umpendaye!
 
Inawezekana wewe ni mtu mweeema kuliko sisi watanzania wengine!.... Nitaamini maneno yako siku nitakapoona rais, Waziri, au mbunge mwenye asili ya Tanzania akiongoza INDIA, SOMALIA, ERITREA, MISRI, RWANDA, BURUNDI n.k.

........
Obama hatoshi?.
 
Mimi nadhani hapa ndipo tutapima utaifa wetu.Kumhoji mtu uraia siyo ubaguzi na kama ndivyo, basi wabantu ndiyo wanaobaguliwa zaidi.Siyo kwamba hatutaki wageni wapewe uraia wa Tanzania na kuthaminiwa, lakini pia tunatakiwa tupime ni kwa kadri gani Watanzania wanathaminiwa wakiwa nje ya mipaka yao. kila nchi duniani ina sera zake za ndani na nje kuhusu uraia na nchi nyingi sera zao zinalenga kuwathamini na kuwanufaisha wananchi wa nchi husika kwanza. Ni hivi karibuni wahindi wameanza walau kushirikiana nasi lakini wao ndiyo wabaguzi zaidi.Lazima tukumbuke culture is adaptive...itakuwaje tukihoji uraia tuitwe wabaguzi lakini wale wasiotaka kuoana nasi na kutembeleana kwenye majanga na misiba tusiwaite wabaguzi? Kwa sasa kinachotakiwa ni national identity,kwa sasa kuna wimbi kubwa la wasomali kuzamia nchini kwa njia haramu hivyo,ni vema kuwa na shaka na yeyote anayeweza kuwa mwenyeji wao. Tunachokitaka kwenye rasilimali za Tanzania,wenyeji kwanza;wageni baadaye!
 
Bwana RAGE ndugu zake wako URAMBO ngoja tufuatili tutawaletea habari kamili na pia wanaoipinga hoja hii nawaöna kama hawana maana kwani kuuliza si ujinga na pia inatokana na mambo yasiyo ya kawaida yanayofanywa na huyu jamaa kule Igunga
 
wasomali walivokuwa wabaguzi hawawezi kuoa maswahili hata siku moja kama wapo sehemu wamejitenga na hakuna wasomali wenzao na kama hakuna waarabu na wageni wengine wako radhi kaka kuoa dada ake wa tumbo moja ilimradi tu wasioe wabantu hili nimerishuhudia mwenyewe,uone jinsi gani wanavyotudharau hawa wa2 ndio maana mi sifichi mtu mbaguzi simpendi na kwa maana hio wasomali siwapendi kabisa.

wakuua kabisa wale
 
Sasa hizo Viza na uraia mnaogawa kwa Wachina itakuwaje?
Mchina akiingia katika nchi ya mtui kamwe hatoki.
Hata hivyo eleweni kwamba tatizo si wageni tatizo ni njaa, ujuvi, ununda na undumila kutatu wa watendaji wa serikali ya CCM.
Serikali ya CCM sasa hivi iko kama ni ni ya Mamruki(Hired Government)
Umoja na mshikamano ndani ya CCM ni wa Ngawira tu, Ukitoa Ngawira CCM haipo ni gamba tupu. CCM yenyewe asilia ilisha kufa tangu 1995 hii tuliyo nayo ni ya Magaidi.
 
Ndugu amini usiamini tungekua tunatafuta mtanzania ni nani asingepatikana hata mmoja hivyo wote ambao walizaliwa wakati wa uhuru na hata kabla ya uhuru tuamini sote ni watanzania.Ila sasa basi vitambulisho vije ili tuweze kubanana.Lakini mbona Kigoma,Kagera wamejaa makabila toka nje?huyu Rage kazaliwa hapa kosa ni nini hasa?
Hivi na mimi naweza kwenda Somalia/India nikakubalika mpaka kugombea uongozi?

Au mtoto nitakayemzaa Somalia/India atakubalika hivyo?
 
Udini, ukabila, rangi ya mtu na ubaguzi wa kujumla wa binadamu, hautakiwi hapa Tanzania, mtanzania sio lazima awe mbantu wa Tanganyika, anaweza kuwa mweupe, mwarabu, msomali, mwanamke, shoga, mkristu au muislamu.

Hio ndio siri ya sisi wabongo kutokuwa na mavita ya kijinga kijinga mpaka leo, sijui wengine wataelewa haya lini....!

Hayo mengine nakuunga mkono lakini ushoga na ubaradhuli! hapo umevuka mpaka! kwani Ushoga ni gonjwa baya kuliko ukimwi na TZ ni lazima Wakristo na Waislamu tuhimize katiba mpya iwe na adhabu ya Kumnyonga anaefanya na kufanywa!
 
Mimi nadhani hapa ndipo tutapima utaifa wetu.Kumhoji mtu uraia siyo ubaguzi na kama ndivyo, basi wabantu ndiyo wanaobaguliwa zaidi.Siyo kwamba hatutaki wageni wapewe uraia wa Tanzania na kuthaminiwa, lakini pia tunatakiwa tupime ni kwa kadri gani Watanzania wanathaminiwa wakiwa nje ya mipaka yao. kila nchi duniani ina sera zake za ndani na nje kuhusu uraia na nchi nyingi sera zao zinalenga kuwathamini na kuwanufaisha wananchi wa nchi husika kwanza. Ni hivi karibuni wahindi wameanza walau kushirikiana nasi lakini wao ndiyo wabaguzi zaidi.Lazima tukumbuke culture is adaptive...itakuwaje tukihoji uraia tuitwe wabaguzi lakini wale wasiotaka kuoana nasi na kutembeleana kwenye majanga na misiba tusiwaite wabaguzi? Kwa sasa kinachotakiwa ni national identity,kwa sasa kuna wimbi kubwa la wasomali kuzamia nchini kwa njia haramu hivyo,ni vema kuwa na shaka na yeyote anayeweza kuwa mwenyeji wao. Tunachokitaka kwenye rasilimali za Tanzania,wenyeji kwanza;wageni baadaye!

Wewe ni mwenyeji tu lakini sio raia halali! kama unabisha taja kabila !ako tukupe historia yako maana inaonekana wewe una uraia wa mazoea ila hujui asili yako ni wapi!
 
wasomali ni wabaguzi sana niiliwahi kuishi kule kampala basi kulikuwa na machangudoa wa kisomali kule,basi kitu cha mwisho kabisa ambacho changudoa wa kisomali yuko radhi kufanya ni kununuliwa na mbantu!! yaani hawapendi kabisa kununuiwa na weusi japokuwa ukahaba wenyewe wanaufania kwenye nchi ya weusi!! sasa huu ni ubaguzi wa aina gani hadi changudoa anakubagua halafu mnasema tuvumiliane??!!!

Umekosa wasichana wazuri wenye heshima zao unaenda kutafuta changudoa! hujapata mdudu kweli?
 
wasomali walivokuwa wabaguzi hawawezi kuoa maswahili hata siku moja kama wapo sehemu wamejitenga na hakuna wasomali wenzao na kama hakuna waarabu na wageni wengine wako radhi kaka kuoa dada ake wa tumbo moja ilimradi tu wasioe wabantu hili nimerishuhudia mwenyewe,uone jinsi gani wanavyotudharau hawa wa2 ndio maana mi sifichi mtu mbaguzi simpendi na kwa maana hio wasomali siwapendi kabisa.

Unaonekana una hamu sana ya kuoa Msomali! Lakini ukimpata Msomali au Muhindi uko tayari kula vyakula vyao? Wasomali wanakula vyakula vinono na zaidi mafuta, maziwa ngamia na samli kwa wingi!, Muhindi atakupikia wali uliochanganywa na sukari nyingi, pilipili, jelebi na chai wanatia sukari, chumvi na pilipili kidogo! Jee, uko tayari kula vyakula hivyo?

Msichana wa Kisomali, Muarabu na wa kihindi kwa siku unatakiwa umwachie shilingi 50,000/ kwa ajili ya nyama, mboga, samli, transport, tamutamu, vipodozi! bado gharama zingine! yeye kazi yake ni kukutunza wewe na kukupa raha tu! hakubali kufanya kazi au kulima anataka mfanyakazi wa nyumbani!

Sasa wewe mwenzangu na mimi tuliozoea kuwafanyisha kazi wake zetu tutayaweza haya? kama unamtaka msichana wa kisomali au wa kiarabu usipate shida masharti ni hayo wasiliana na mimi nikuozeshe!

Wacha kelele dunia ya leo imekuwa ndogo sana ni pesa yako tu mkuu!
 
Mbaya zaidi mama ake Rage alilelewa na bibi ake aitwae bint ahmed hivi kuna wamasai waislamu kweli miaka hiyo ya 1950?
Katika dini za kigeni dini ya kiislamu ilianza kuingia Afrika kabla ya nyingine yeyote kwa maana hiyo na kwa wamasai pia kwa wale waliokutwa na that particular wave.

Tutoke kwenye dini turudi kwa huyu bwana Rage, binafsi ananitatanisha sana kiongozi huyu. Sio kwa sababu yaa mahala alipozaliwa au uraia wake. Kikubwa hapa ni uzalendo wake kwa Taifa na anajitambulisha vipi, katika panda panda zangu taxi mjini London wasomali (madereva) huwa wana m-refer has a our brother in Tanzania. Ina maana kuna ka network ame ka-set up kwa ajili ya kusaidia wasomali.

Kama yeye mzalendo si angetafuta jinsi ya kusaidia watanzania maskini waliomzunguka ndipo hapo na question uraia wa huyu bwana na wahindi na wamanga wengine wenye tabia hizi ndani ya Tanzania, dont get me wrong im not a racist its just a question of uzalendo.

Oooho baruti zimeanza ngoja kwanza nisherekee 2013.
 
Ili swali lako lieleweke vizuri, hao matexi driver wa Londoni Wanatoka Somalia au ni wa Tz wenye asili ya kisomali? au wewe umewa jaji kutokana na sura zao? au walikuonyesha vitambulisho vyao?

Kama ulithibitisha kuwa Wanatoka Somalia, sasa ni kosa kumtaja Rage kuwa Brother wao anaeishi TZ? Rage si ana asili ya Kisomali? kosa liko wapi?

Suala la uzalendo wake huwezi kukosoa kwa hoja ya Rage kuitwa Brother from TZ!
Wajaluo wa Kenya wanamuita Obama our Brother in America! sasa utatilia shaka uzalendo wake?
Mimi sidhani kama Rage uzalendo wake ungehojiwa hapa JF kama angekuwa Kiongozi au mfadhili wa Chadema! kosa lake yuko CCM ndio maana ubaguzi wetu unamuandama!
 
Ili swali lako lieleweke vizuri, hao matexi driver wa Londoni Wanatoka Somalia au ni wa Tz wenye asili ya kisomali? au wewe umewa jaji kutokana na sura zao? au walikuonyesha vitambulisho vyao?!
Kitambulisho cha nini wewe msomali wa kutoka somalia akiongea tu umjui huyu direct wa wapi, kwanza badala ya kutamka 'six' yeye anasema 'sighkis' (joke lakini ndio ukweli wenyewe), ni wasomali wa somalia kwa sababu kwenye gumzo huwa wanaongelea somalia na wanaongea English with a strong somalian accent (note wapo wasomali ambao wanaongea with proper cockney accent ingawa wametoka somalia).

Kikubwa ni maongezi yetu kuhusu Afrika huwa wanasema wakienda Tanzania wana kaka yao serikalini ambae ana wasaidia na kwa kweli wengine hata hilo jina la huyo kaka yao awalijui hila wanachojuwa kuna msomali serikalini ukipitia kwa fulani hataongea nae utasaidiwa. Clearly these are not Tanzanians hawa sio akina Bashe there is no confusion there.

Kama ulithibitisha kuwa Wanatoka Somalia, sasa ni kosa kumtaja Rage kuwa Brother wao anaeishi TZ? Rage si ana asili ya Kisomali? kosa liko wapi?
Unajuwa wahindi wa kutoka Tanzania wakikaa na wahindi wenzao ugenini ambao wametoka India wanawaita Masai, ndio maana kutwa wadosi wakiwa ugenini husema wao ni watanzania, lakini wakiwa Tanzania ndio ujitengaa na wabantu, huu ni unafiki.

Sasa Rage ajulikani hapo Tanzania for his philanthropy activities, lakini ana julikana kwa wasomali for his kindness towards his people, well where does his heart lie, na asijifanye mtanzania kama anajiona msomali maana tumempa dhamana ya kuongoza na kusaidia watanzania sio wasomali.
Suala la uzalendo wake huwezi kukosoa kwa hoja ya Rage kuitwa Brother from TZ!
Wajaluo wa Kenya wanamuita Obama our Brother in America! sasa utatilia shaka uzalendo wake?
That is not our problem it is a Kenyan problem as far as im concerned they can think of whatever they like, watu gani wanaoweza pigana mapanga na majirani zao walioishi nao miaka chungu mtele na kudharauliana, halafu wanaenda kumlilia mtu ambae hata Kenya aijui zaidi ya kuitembelea only because of his historical past.
 
Kila kitu kinawezekana!. Nenda Arusha, mitaa yote mbele ya soko la Arusha ni nyumba za wasomali watupu!, wamezaliwa Arusha, wamekulia Arusha na watafia Arusha! ni Watanzania Wenzetu!.

Nenda umasaini eneo la Ngaramtoni, utashuhudia Wasomali pure, wanaongea Kimasai safi!, wamezaliwa umasaini, wamekulia umasaini na watafia umasaini, ni Watanzania wenzetu!.

Nenda uhindini, kuna watoto wamezaliwa uhindini, wamekulia uhindini lakini hawazungumzi Kiswahili ila ni Wanzania wenzetu!.

Rage ni Msomali Mtanzania mwenzetu!, Kinana ni Msomali Mtanzania mwenzetu na Bashe ni Msomali Mtanzania mwenzetu!. Tusiwasakame bure kutokana na rangi zao!, kuna Warundi, Waganda, Wakenya, Wanyarwanda, Wajaluo, Wazaire, Wamalawi, Wazambia, Wamsumbiji kibao wako kwenye madaraka makubwa serikalini tena wengine mpaka idara nyeti!, wamepose kama Watanzania, hatuwasakami kwa sababu tuu wamefanana na sisi!, kitendo cha kuwasakama Wasomali na Wahindi tuu, huu pia ni ubaguzi mbaya!.
Pasco.

Aise Wewe ni Nani? Sikutegemea kama kuna mtu anaweza kuchangia kwa ufasaha kiasi hichi hongera sana mkuu kwa jinsi ulivyoanalisiz kiufasaha
 
Unaonekana una hamu sana ya kuoa Msomali! Lakini ukimpata Msomali au Muhindi uko tayari kula vyakula vyao? Wasomali wanakula vyakula vinono na zaidi mafuta, maziwa ngamia na samli kwa wingi!, Muhindi atakupikia wali uliochanganywa na sukari nyingi, pilipili, jelebi na chai wanatia sukari, chumvi na pilipili kidogo! Jee, uko tayari kula vyakula hivyo?

Msichana wa Kisomali, Muarabu na wa kihindi kwa siku unatakiwa umwachie shilingi 50,000/ kwa ajili ya nyama, mboga, samli, transport, tamutamu, vipodozi! bado gharama zingine! yeye kazi yake ni kukutunza wewe na kukupa raha tu! hakubali kufanya kazi au kulima anataka mfanyakazi wa nyumbani!

Sasa wewe mwenzangu na mimi tuliozoea kuwafanyisha kazi wake zetu tutayaweza haya? kama unamtaka msichana wa kisomali au wa kiarabu usipate shida masharti ni hayo wasiliana na mimi nikuozeshe!Wacha kelele dunia ya leo imekuwa ndogo sana ni pesa yako tu mkuu!
Nafikiri we kabinti utakuwa msomali au una asili ya huko. Sasa ishu ya kuwafananisha wasomali na waarabu ni ya wapi na wapi?? Hawa ni watu wa-2 tofauti wasomali hawali hivyo unavyosema wewe vyakula vyao ni vya kimasikini sana hata ukimwambia apike biryani hawawezi au atakupikia wali mbichi,wanapokula ni wachafu sana hasa wanapokula yale matambi ambayo naona ni kama chakula chao kikuu,wasomali nimekaa nao sana na nimeona namna walivyo nyuma kimapishi na umasikini kinachonishangaza mimi huo ubaguzi wanautoa wapi??

Waarabu kuhusu wao ndo usinifundishe kabisa mana nimekua nao tangu utotoni kweli wameendeelea kichakula lakini siyo gharama hizo unazozisema wewe ila wao waarabu sio wabaguzi sana kwa waswahili ukilinganisha na wasomali,ambao hao hao wakienda yemen kama wakimbizi huwa wanaitwa waliolaaniwa weusi(wasomali) wakiwa huku wanajitenga wanasema wao siyo weusi sasa ndo hapo napowacheka mimi.

Kuhusu wahindi ni masikini mno hadi wanaombaomba siku hizi mana biashara tz inamilikiwa na waswahili wenyewe sasa na wao wanalala njaa,kuhusu kuoa nioe msomali wa kazi gani?? Mbona mimi sina mzuka nao kabisa mimi sipendi mbaguzi tu na kwa sababu wao ni wabaguzi basi ndio maana nawachukia sana wasomali, huyu Rage anaweza akajifanya mtz but kumbe moyoni anawatuwake anaowahusudu yaani wasomali wenzake sasa kama anaona hivyo kwanini basi asirudi kwao smalia kuliko kutumia kodi zetu kuwasaidia wabaguzi wenzake??
 
Umekosa wasichana wazuri wenye heshima zao unaenda kutafuta changudoa! hujapata mdudu kweli?

Jiandae na wewe mana fagio la chuma litakalo wafagia wasomali wote liko njiani laja.
 
Back
Top Bottom