Rage: Hivi Haya Ni Kweli Jamani?

Rage: Hivi Haya Ni Kweli Jamani?

Kwa hii awamu sintoshangaa kusikia Rage kupewa ukurugenzi wa NIDA
 
Hivi na mimi naweza kwenda Somalia/India nikakubalika mpaka kugombea uongozi?

Au mtoto nitakayemzaa Somalia/India atakubalika hivyo?
Umeuliza swali la msingi Sana mkuu, kinachotusumbua ama kinachosaidia ni kwamba, Tz, bado kuna maeneo mengi na watu wanaweza kukaa na kufanya shughuri zao bila shida na maeneo bado yakabaki, hicho ndicho kinachosaidia tuendelee kuona kawaida kukaa na wahamaji wakifaidi nchi yetu,


Siku maeneo ya kulima, kulishia mifugo yawe machache ndio Idara ya uhamiaji itachangamka, Kwa sasa didhani kama kuna kesi kama za nchi zingine Kwa kuvamiwa wahamiaji

Si kila Baya linalofanyika kwenye nchi zingine kama S.A eti tusichukue kitu tukajifunze katika ubaya huo

Sisemi kuchochea, Ila nasema ili kuwepo na utaratibu mzuri, hatuwezi kuwa tunaimba tu kwamba, kule usandawi kule kuna wasomali, warundi,wahutu n.k eti Kwa kuwa Wapo nasi muda mrefu basi tusiwabague, hapana, Kama wao wanapenda kuwepo hapa na wanataka kuwa watanzania basi wafuate taratibu zote za wao tuwaone ni Watanzania wenzetu,

La sivyo, kutatokea sintofahamu kwenye vizazi vijavyo, halafu ikwa tatizo hili lililelewa tokea huko,
 
Una ugomvi na Mh.I.A.Rage?Huyu si aliwahi kuwa mbunge,kiongozi wa chama kubwa...? na President wa Mnyama? Inawezekanaje mtu ambaye siyo RAIA wa Tanzania akashika nyadhifa zote hizi na asijulikane?Vyombo vyetu ni dhaifu kiasi hicho?Nani alaumiwe kwa makosa kama hayo?
Nchi hii imekuwa chini ya serikali za CCM karibia miaka 60,ila ukuaji wake hauendani na umri huo.Kuna udumavu mkubwa katia makuzi kwa sababu ya walezi kutotuthamini na wanaendelea kujineemesha wao.
Tudai Katiba ya Wananchi tuanze upya kujijenga kama Taifa Huru.
Ukizaliwa nchini unakuwa raia wa kuzaliwa huenda zaidi ya viongozi wako.
 
mwaka wa uchaguzi nyuzi kama hizi zilizojaa racism zinaanza kufukuliwa.
 
Asili yetu Watanzania, ni Upendo, mshikamano, na sote tunajiona ni watoto wa Baba mmoja,

Zinaweza kuwapo fujo lakini ni fujo zisizoumiza, fujo za kisiasa, fujo za kutukanana mitandaoni, lakini haziumizi

Tuwapinge Kwa nguvu zote wenye kutaka kutugawa, awe ni wa CCM ama mwingine kokote kule, tumtilie mashaka uraia wake, maana Sisi asili yetu ni udugu, umoja upendo na mshikamano

Tanzania idumu milele
 
wasomali walivokuwa wabaguzi hawawezi kuoa maswahili hata siku moja kama wapo sehemu wamejitenga na hakuna wasomali wenzao na kama hakuna waarabu na wageni wengine wako radhi kaka kuoa dada ake wa tumbo moja ilimradi tu wasioe wabantu hili nimerishuhudia mwenyewe,uone jinsi gani wanavyotudharau hawa wa2 ndio maana mi sifichi mtu mbaguzi simpendi na kwa maana hio wasomali siwapendi kabisa.
Lakini si nyinyi wenyewe Mnao kwenda kwenye hoteli zao, guest , restaurant, duka, busses zao ,mnaajiriwa kwenye viwanda vyao n.k
 
Asili yetu Watanzania, ni Upendo, mshikamano, na sote tunajiona ni watoto wa Baba mmoja,

Zinaweza kuwapo fujo lakini ni fujo zisizoumiza, fujo za kisiasa, fujo za kutukanana mitandaoni, lakini haziumizi

Tuwapinge Kwa nguvu zote wenye kutaka kutugawa, awe ni wa CCM ama mwingine kokote kule, tumtilie mashaka uraia wake, maana Sisi asili yetu ni udugu, umoja upendo na mshikamano

Tanzania idumu milele
Hayo yanafahamika. Mbona mzalendo uchwara analeta ubaguzi wa kikabila? Au hamumuoni?
 
Ukifuatilia sana utajikuta hata rais na zaidi ya nusu ya baraza lake la mawaziri sio raia wa asili wa nchi hii.
Udini, ukabila, rangi ya mtu na ubaguzi wa kujumla wa binadamu, hautakiwi hapa Tanzania, mtanzania sio lazima awe mbantu wa Tanganyika, anaweza kuwa mweupe, mwarabu, msomali, mwanamke, shoga, mkristu au muislamu.

Hio ndio siri ya sisi wabongo kutokuwa na mavita ya kijinga kijinga mpaka leo, sijui wengine wataelewa haya lini....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom