Rage: Hivi Haya Ni Kweli Jamani?

Rage: Hivi Haya Ni Kweli Jamani?

Wewe ni mwenyeji tu lakini sio raia halali! kama unabisha taja kabila !ako tukupe historia yako maana inaonekana wewe una uraia wa mazoea ila hujui asili yako ni wapi!

Wewe al-shabab wa kike wewe ndivyo mnavyojidanganya hivyo eti tukizusha ishu ya uzalendo na utaifa wa mtu kutabaki tz hakuna mwenyewe!!?? sasa makabila ya tz kama ni hivyo yalitoka wapi?? na huko yalikotoka una hakika kabisa kwamba ndio kwao??

Tz ina wenyewe ambao ndio sisi tunaohoji ishu za uraia na uzalendo wa wa2, kama rage anawapenda wasomali moyoni kwake kwa nini asifane kama yule dr.muhamed aden (tanzania) yeye alitangaza wazi wazi kuwa ingawa kazaliwa arusha tz lakini baba ake ni msomali aliyekimbia vita kule ethiopian somali land na alirudi kwao somalia miaka hiyo ya 70s na ilipofika miaka ya 90s vita vikazuka somalia akaona aibu kurudi tena tz kwa wa2 aliokwisha kuwakana akakimbilia zake huko USA,

tunataka rage na kinana wawe na ujasiri kama huo waseme tu kuwa sisi tunauraia wa tz lakini mioo etu imelala na wasomali na kama ikitulia somalia tutarudi kwetu ili tuwaelewe mapema.
 
Hayo mengine nakuunga mkono lakini ushoga na ubaradhuli! hapo umevuka mpaka! kwani Ushoga ni gonjwa baya kuliko ukimwi na TZ ni lazima Wakristo na Waislamu tuhimize katiba mpya iwe na adhabu ya Kumnyonga anaefanya na kufanywa!

tazameni huu hivi kwa akili zako kati ya tz na somalia wapi kuna mashoga wengi?? nenda uone huko somalia ni mashoga kiba tena hawajaanza leo tu haka kamchezo bali kalianza tangu kale kipindi uislamu unaingia kule sasa tangu kipindi hicho hadi leo mashoga wamejazana tu somalia na kama unabisha ni-PM nikuelekeze.
 
Kuuliza uraia sio tatizo, ila inaonekana alieanzisha thread hii inaonekana kakasirishwa na Bw Rage kupata uongozi.

Kuna watu wanadai eti wahindi, wasomali na waarabu hawapendi mabinti zao waolewe na wabantu, mie nauliza je familia yako tu kwa mwanaume itakukubalia wewe uoe huko? Na je kwanini lazima ukimbilie kuoa huko? Maana ukumbuke tatizo sio kuoa, tatizo mtaweza kuishi pamoja na wewe kumtunza huyo dada wa kihindi, kisomali au wa kiarabu? Culture zenu ziko tofauti mno pamoja na wote kuwa watanzania.
Kubaguana ktk kuoa kuko hata kwa wabantu, kuanzia kwa wahehe, wanyakyusa, wahaya n.k. Je hao nao wakuu nao mtaanza kuhoji uraia wao?!
Kuna wengine wanadai eti wakienda nchi hizo hata kupata umwenyekiti wa kijiji itakua tabu, lakini wajiulize kwanza, je walizaliwa huko kwanza mpaka wakajua hayo? Lazima uzaliwe usomalini, uhindini au uarabuni, uishi kama wao, ujiweke kwenye mazingira kwamba wewe ni raia wa huko na wao watakukubali tu, kwani uhindi, usomali au uarabu una tofauti gani na ubantu zaidi ya nywele, rangi, pua ilivyokaa...? Sisi wote ni binadamu hatuna tofauti na wengine wenye rangi au nywele au ngozi tofauti, kwanza kisayansi ikumbukwe binadamu wa kwanza duniani alitoka Afrika, ni mazingira tu yaliobadilisha rangi na muonekano tofauti na wabantu...
Wengine wanadai eti Obama ni rais huko alipo sababu marekani ni nchi ya wahamiaji, huku wakisahau hata Tanzania nayo inasemekana iko ivyo ivyo, hasa wachaga wanaodaiwa kutoka Afrika Kusini, Wanyakyusa kuwa wanyasa, wangoni kuwa wazulu, wahaya kuwa mchanganyiko wa kitusi, kirundi, ki ethiopia na kisomali, waburishi kuwa mchanganyiko wa.... yaani kuona mbantu na kusema ni yule eti sababu ana pua pana, uso wa mviringo na nywele ngumu, sio kigezo kuwa huyo ni 100% mbantu, sisi wote kwa sasa ni mchanganyiko wa makabila na rangi, ila muhimu kuliko chote ni WATANZANIA KWANZA.
Kwa waliokaa Uingereza na nchi zingine za EU wanajua hili, kuna vizazi vya ki Ghana, ki Nigeria n.k. waliozaliwa huku, na wanashikilia post za nguvu serekalini.
Wengine wanakasirika kabisa na swala la ushoga, wakidai mashoga sio wenzetu, wakisahau kuwa ushoga unasadikika kuanza karne za zamani kabisa, na ulikuwepo hapa bongo hasa Tanganyika hata kabla waarabu au wazungi kuja, mashoga ni wenzetu, watakua wenzetu mpaka tunaiacha hii dunia, hizo raha wanazozifanya wao ni kwa wakati wao, je sheria ya nchi inapiga ushoga? Na kama hamuwataki kabisa hapa nchini basi iwekeni kwenye katiba yenu mnayoitaka, kama itakubalika.
Mkianza kuutaja uraia sijui mtaishia wapi zaidi ya kukuumbua wewe unaotaka kujua uraia wa mwenzako....
 
Mimi zamani nilikuwa wakati siwajui wasomali nlikuwa nadhani ni wa2 safi tu, kumbe hawa jamaa wanatuchukia sana sisi wabantu bila ya sababu yeyote ile hawezi kufanya urafiki na mweusi ila msomali au mhindi au mwarabu, sisi ni takataka kwao mbaya zaidi sisi tunajifanya wakarimu wakati ukitoka ukaenda somalia tu hapo utakutana na ubaguzi wa hatari huruhusiwi hata kufanya kazi ya heshima we wanakuita abdi/mtumwa hadi kesho, hata ujumbe wa nyumba kumi hupati sasa iweje sisi tunawapa hadhi kubwa hapa mana mtu ni kwao bwana kote utabaguliwa mwafrika lakini nyumbani unatakiwa uwe bwana sasa kama hata hapa kwetu wao ni mabwana ina maana ndio kusema kweli sisi tumeumbwa tuwe watumwa wao??

Hawa wa2 ni wabaguzi mno wamepitiliza na kama wanakuja hapa walistahili watutumikie na siye lakini badala yake wanatutawala hata hapa kwetu!!sasa sisi tutakuwa wageni wa nani??

Mkuu, unachokisema ni cha kweli kuhusu ubaguzi. Naomba niongezee kwamba si wao tu hata wale wa Sudan kaskazini nao pia. Wote hao mkiwa nje ya Africa hujiita waarabu tena kwa nyodo kali dhidi ya weusi. Nimepata kusoma nao maeneo fulani.
Binafsi na wenzangu tulikuwa tunawasamehe bure, kwani ni sawa na kujifanya tajiri wakati ni maskini wa kutupwa.

Kuhusu urai wa Mhe. Rage, nadhani hakuna wa kuweza kukanusha kauli yake hadi vyombo husika vifanye uchunguzi na viwe fair.
 
Kuuliza uraia sio tatizo, ila inaonekana alieanzisha thread hii inaonekana kakasirishwa na Bw Rage kupata uongozi.

Wengine wanakasirika kabisa na swala la ushoga, wakidai mashoga sio wenzetu, wakisahau kuwa ushoga unasadikika kuanza karne za zamani kabisa, na ulikuwepo hapa bongo hasa Tanganyika hata kabla waarabu au wazungi kuja, mashoga ni wenzetu, watakua wenzetu mpaka tunaiacha hii dunia, hizo raha wanazozifanya wao ni kwa wakati wao, je sheria ya nchi inapiga ushoga? Na kama hamuwataki kabisa hapa nchini basi iwekeni kwenye katiba yenu mnayoitaka, kama itakubalika.
Mkianza kuutaja uraia sijui mtaishia wapi zaidi ya kukuumbua wewe unaotaka kujua uraia wa mwenzako....

Mkuu, nimejaribu kukufuatilia naona umechukua fursa ya mjadala wa uraia wa Mhe. Rage kuingiza kitu ambacho nadhani una masilahji nacho "ushoga".
Sijaona hicho unachokipigia debe kinahusiana vipi na mjadala huu? Unajidai kuujua eti ulianza Tanganyika hata kabla ya waarabu na wazungu "abomination"!!! Thibitisha vinginevyo futa up-u-u-zi huo.

Waafrica hawajawahi kuwa na tabia hizi mbovu zisizo za kistaarabu. Ongelea mjadala wa maana siyo kuingiza mada zisizohusu.
 
Nimemsikia mweshimiwa huyu kwamba eti yeye baba yake ni msomali na mama ake ni mmasai,na kwamba yeye kazaliwa Tabora mbaya zaidi anadai kuwa wakati mama yake rageh yuko kigoli alifiwa na mama yake yani bibi yake rageh mzaa mama na babu yake Rage akakataa kuoa mpaka mama yake rageh aolewe!! swali hivi hili linawezekana kweli kwa wamasai wenye kuoa wake wengi??

Mbaya zaidi mama ake Rage alilelewa na bibi ake aitwae bint ahmed hivi kuna wamasai waislamu kweli miaka hiyo ya 1950??mi naona historia hii ina walakini pili Rage anazungumza kisomali vizuri na hii haiwezekani mpaka baba na mama wawe wanaijua lugha hiyo au kama mzazi mmoja basi lazima atakuwa ni mama mana ndio anaeshinda na watoto,sasa anasema mama yake ni mmasai hivi kuna msomali miaka hiyo ya 50s aliweza kuoa mmasai kweli??mana mtu wa mwisho msomali kuoa ni msomali mwenzake kama akkosa mzungu au mhindi au mwarabu!!

Wamasai waislamu miaka hiyo wapo mfano hai ni bibi yangu mimi, aliyezaliwa kati ya miaka 1918-22,katika wilaya wilaya ya mbulu eneo la Kijiji cha Endamaksi ni muislsmu wa kuzaliwa na alikuwa ni mwenye imani thabit na dini yake hadi mwenyezi mungu alipomtwaa, kwa hiyo imani ya mtu haijalishi anatoka katika eneo gani la dunia

J
 
Mkuu, unachokisema ni cha kweli kuhusu ubaguzi. Naomba niongezee kwamba si wao tu hata wale wa Sudan kaskazini nao pia. Wote hao mkiwa nje ya Africa hujiita waarabu tena kwa nyodo kali dhidi ya weusi. Nimepata kusoma nao maeneo fulani.
Binafsi na wenzangu tulikuwa tunawasamehe bure, kwani ni sawa na kujifanya tajiri wakati ni maskini wa kutupwa.

Kuhusu urai wa Mhe. Rage, nadhani hakuna wa kuweza kukanusha kauli yake hadi vyombo husika vifanye uchunguzi na viwe fair.

mbaya zaidi hao wa north sudan wakienda nchi za gulf kama saudi arabia na yemen huwa wanakataliwa kuitwa waarabu wamewapachika jina lao wanawaita ibun muthnuk yani ni wana-haramu wakubwa,na wasomali wakienda yemen wanaitwa abdi yaani watumwa au al-khadam yaani watumishi,kwanini wanang'ang'ania utambulisho ambao siyo wao!!??
 
Kila kitu kinawezekana!. Nenda Arusha, mitaa yote mbele ya soko la Arusha ni nyumba za wasomali watupu!, wamezaliwa Arusha, wamekulia Arusha na watafia Arusha! ni Watanzania Wenzetu!.

Nenda umasaini eneo la Ngaramtoni, utashuhudia Wasomali pure, wanaongea Kimasai safi!, wamezaliwa umasaini, wamekulia umasaini na watafia umasaini, ni Watanzania wenzetu!.

Nenda uhindini, kuna watoto wamezaliwa uhindini, wamekulia uhindini lakini hawazungumzi Kiswahili ila ni Wanzania wenzetu!.

Rage ni Msomali Mtanzania mwenzetu!, Kinana ni Msomali Mtanzania mwenzetu na Bashe ni Msomali Mtanzania mwenzetu!. Tusiwasakame bure kutokana na rangi zao!, kuna Warundi, Waganda, Wakenya, Wanyarwanda, Wajaluo, Wazaire, Wamalawi, Wazambia, Wamsumbiji kibao wako kwenye madaraka makubwa serikalini tena wengine mpaka idara nyeti!, wamepose kama Watanzania, hatuwasakami kwa sababu tuu wamefanana na sisi!, kitendo cha kuwasakama Wasomali na Wahindi tuu, huu pia ni ubaguzi mbaya!.
Pasco.

Haki ya MUNGU we kweli great thinker! Salute mzazi. 100
 
Pasco leo vipi? inaonekana haujasoma hii thread vizuri, issue ni hivi: je katika miaka ya 50s kuna uwezekano wa Msomali kumuoa Mmasai? Wewe hapa unaongelea uhalisia kuwa mtanzania au mtu yeyote hapa duniani anaweza kuishi sehemu yoyote ya hii Tanzania yetu? Je ni kweli inakungia akirini kuwa Mmasai wa enzi hizo anaweza kuolewa na Msomali?
Bado kuna issue za Mmasai kuwa muislam? Je Rage anaweza kuongea Kimasai maana mara nyingi watoto huweza kuongea lugha ya mama kuliko ya baba! Je Rage ana ndugu wamasai (wajomba)?

Kila kitu kinawezekana!. Nenda Arusha, mitaa yote mbele ya soko la Arusha ni nyumba za wasomali watupu!, wamezaliwa Arusha, wamekulia Arusha na watafia Arusha! ni Watanzania Wenzetu!.

Nenda umasaini eneo la Ngaramtoni, utashuhudia Wasomali pure, wanaongea Kimasai safi!, wamezaliwa umasaini, wamekulia umasaini na watafia umasaini, ni Watanzania wenzetu!.

Nenda uhindini, kuna watoto wamezaliwa uhindini, wamekulia uhindini lakini hawazungumzi Kiswahili ila ni Wanzania wenzetu!.

Rage ni Msomali Mtanzania mwenzetu!, Kinana ni Msomali Mtanzania mwenzetu na Bashe ni Msomali Mtanzania mwenzetu!. Tusiwasakame bure kutokana na rangi zao!, kuna Warundi, Waganda, Wakenya, Wanyarwanda, Wajaluo, Wazaire, Wamalawi, Wazambia, Wamsumbiji kibao wako kwenye madaraka makubwa serikalini tena wengine mpaka idara nyeti!, wamepose kama Watanzania, hatuwasakami kwa sababu tuu wamefanana na sisi!, kitendo cha kuwasakama Wasomali na Wahindi tuu, huu pia ni ubaguzi mbaya!.
Pasco.
 
Mpira umewashinda sasa mnaanza fitina?

SOLD
avatar41784_4.gif
 
Hata kama Rage ni Msomali sheria za ukimbizi zinamtoa kuwa mkimbizi,acheni porojo hapa.Mambo ya msimbazi kwenu msitusumbue sisi wengine ni Majimaji,Azam,Prison.
Kocha amefika umemwona?
 
Unaonekana una hamu sana ya kuoa Msomali! Lakini ukimpata Msomali au Muhindi uko tayari kula vyakula vyao? Wasomali wanakula vyakula vinono na zaidi mafuta, maziwa ngamia na samli kwa wingi!, Muhindi atakupikia wali uliochanganywa na sukari nyingi, pilipili, jelebi na chai wanatia sukari, chumvi na pilipili kidogo! Jee, uko tayari kula vyakula hivyo?

Msichana wa Kisomali, Muarabu na wa kihindi kwa siku unatakiwa umwachie shilingi 50,000/ kwa ajili ya nyama, mboga, samli, transport, tamutamu, vipodozi! bado gharama zingine! yeye kazi yake ni kukutunza wewe na kukupa raha tu! hakubali kufanya kazi au kulima anataka mfanyakazi wa nyumbani!

Sasa wewe mwenzangu na mimi tuliozoea kuwafanyisha kazi wake zetu tutayaweza haya? kama unamtaka msichana wa kisomali au wa kiarabu usipate shida masharti ni hayo wasiliana na mimi nikuozeshe!

Wacha kelele dunia ya leo imekuwa ndogo sana ni pesa yako tu mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsikia mweshimiwa huyu kwamba eti yeye baba yake ni msomali na mama ake ni mmasai,na kwamba yeye kazaliwa Tabora mbaya zaidi anadai kuwa wakati mama yake rageh yuko kigoli alifiwa na mama yake yani bibi yake rageh mzaa mama na babu yake Rage akakataa kuoa mpaka mama yake rageh aolewe!! swali hivi hili linawezekana kweli kwa wamasai wenye kuoa wake wengi??

Mbaya zaidi mama ake Rage alilelewa na bibi ake aitwae bint ahmed hivi kuna wamasai waislamu kweli miaka hiyo ya 1950??mi naona historia hii ina walakini pili Rage anazungumza kisomali vizuri na hii haiwezekani mpaka baba na mama wawe wanaijua lugha hiyo au kama mzazi mmoja basi lazima atakuwa ni mama mana ndio anaeshinda na watoto,sasa anasema mama yake ni mmasai hivi kuna msomali miaka hiyo ya 50s aliweza kuoa mmasai kweli??mana mtu wa mwisho msomali kuoa ni msomali mwenzake kama akkosa mzungu au mhindi au mwarabu!!

Je Rage sasa hivi mke wake ni msomali au ni wa jamii gani?? Wajuzi mnaomjua vizuri tujuzeni tafadhali.
Wabongo wanashangaza sana yaani unabishania historia ya mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi zamani nilikuwa wakati siwajui wasomali nlikuwa nadhani ni wa2 safi tu, kumbe hawa jamaa wanatuchukia sana sisi wabantu bila ya sababu yeyote ile hawezi kufanya urafiki na mweusi ila msomali au mhindi au mwarabu, sisi ni takataka kwao mbaya zaidi sisi tunajifanya wakarimu wakati ukitoka ukaenda somalia tu hapo utakutana na ubaguzi wa hatari huruhusiwi hata kufanya kazi ya heshima we wanakuita abdi/mtumwa hadi kesho, hata ujumbe wa nyumba kumi hupati sasa iweje sisi tunawapa hadhi kubwa hapa mana mtu ni kwao bwana kote utabaguliwa mwafrika lakini nyumbani unatakiwa uwe bwana sasa kama hata hapa kwetu wao ni mabwana ina maana ndio kusema kweli sisi tumeumbwa tuwe watumwa wao??

Hawa wa2 ni wabaguzi mno wamepitiliza na kama wanakuja hapa walistahili watutumikie na siye lakini badala yake wanatutawala hata hapa kwetu!!sasa sisi tutakuwa wageni wa nani??
Uko sahihi mkuu
Hawa jamaa nimeishi nao
Hawafai na wabaguzi zaidi mno
Sjui wanajionaje aisee
Au somalia ndio taifa pekee lililoendelea africa?
Mbona wana nigeria hawana undambava huu wa kipuuzi licha ya kuwa ndio taifa lililoendelea africa?
Unafiki mbaya ila hawa jamii ya kosomali hawafai kuhodhi madaraka kiivo ndani ya tz
 
Back
Top Bottom