Tanzania1960
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 204
- 22
Kwenye mpira yote yanawezekana. Kama yanga wote wangejua kuwa wangepata fedheha ile ya Goli 5 hakyanani wasingeingiza timu kama kagame mwaka ule.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
waape moyo wanachama wako,sisi yanga hatufungi timu tano au sita ,sisi ni kamoja tuu ka uhalali si utaona.
Daah, mwaka ule ile Kagame hata saba wangekula. Walikuwa na magolikipa watatu, mmoja akawa mgonjwa, mwingine akaumia mazoezini, akabaki Kaseja (wakati huo alikuwa Yanga). Kaseja akagoma kudaka kwa kuwa aliona Yanga hawatamuamini akicheza dhidi ya Simba (kwa kuwa Kaseja alikuwa kipa wa Yanga wakati huo huo ni mwanachama wa Simba). Yanga kilichosababisha wasiingie uwanjani ni mtu wa kusimama pale langoni, angedaka Nsajigwa na kufungwa saba tu basi ningempongeza sana kwa kufungwa machache!Kwenye mpira yote yanawezekana. Kama yanga wote wangejua kuwa wangepata fedheha ile ya Goli 5 hakyanani wasingeingiza timu kama kagame mwaka ule.
Watu wenye busara wanasema"mtu akikudangan'ya mara moja yeye ndio mjinga au aibu juu yake lakini mtu akikudangan'ya mara mbili aibu juu yako au tuseme wewe ndio mjinga" sasa nyie simba hebu amueni nyie wenyewe nawapa listi;Halafu akiifunga YANGA 5 ndio ule uwanja wa BUNJU utajengwa au?nyie endeleeni kumuendekeza huyu MJELAJELA.
mheshimiwa mzee rage amesema atamfunga yanga goli tano kama sio sita kwenye ligi round iijayo ,hii nimesoma kweye tanzania daima.
Asante sana kusema hilo hapo kwenye mkutano ,kwa sababu wewe tunakujua utafanya nini baada ya kupokea ile ripoti ya azam iko tukukuru.
usijindanganye sio yanga hii kama alinunua yanga ya nchunga na mwesigwa athubutu kama ataweza hata kupata sare hakuna ubwabwa nsajigwa wala mwasyika safari hii sijui mtamnunua nani mechi moja penati 3 duh wazee wa mlungula hata aibu hamna?
hana lolote anajikosha tu ili Simba wasimuulize zile hera alizo kula za usajili wa Twite
Daah, mwaka ule ile Kagame hata saba wangekula. Walikuwa na magolikipa watatu, mmoja akawa mgonjwa, mwingine akaumia mazoezini, akabaki Kaseja (wakati huo alikuwa Yanga). Kaseja akagoma kudaka kwa kuwa aliona Yanga hawatamuamini akicheza dhidi ya Simba (kwa kuwa Kaseja alikuwa kipa wa Yanga wakati huo huo ni mwanachama wa Simba). Yanga kilichosababisha wasiingie uwanjani ni mtu wa kusimama pale langoni, angedaka Nsajigwa na kufungwa saba tu basi ningempongeza sana kwa kufungwa machache!