Rage asema atamfunga yanga goli tano kama sio sita kwenye mkutano wa leo

Tanzania1960

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
204
22
mheshimiwa mzee rage amesema atamfunga yanga goli tano kama sio sita kwenye ligi round iijayo ,hii nimesoma kweye tanzania daima.
Asante sana kusema hilo hapo kwenye mkutano ,kwa sababu wewe tunakujua utafanya nini baada ya kupokea ile ripoti ya azam iko tukukuru.
 
waape moyo wanachama wako,sisi yanga hatufungi timu tano au sita ,sisi ni kamoja tuu ka uhalali si utaona.
 
Kwenye mpira yote yanawezekana. Kama yanga wote wangejua kuwa wangepata fedheha ile ya Goli 5 hakyanani wasingeingiza timu kama kagame mwaka ule.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mabingwa wa MLUNGULA Wakidanganyana we Maharage hata uonge nini safar yako ipo pale pale unaondoka tu hawakutaki hao al shabab wewe mzee wa bastola maliza gogoro lako kwanza halafu ndio uonge ushuzi wako
 
Kwenye mpira yote yanawezekana. Kama yanga wote wangejua kuwa wangepata fedheha ile ya Goli 5 hakyanani wasingeingiza timu kama kagame mwaka ule.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

usijindanganye sio yanga hii kama alinunua yanga ya nchunga na mwesigwa athubutu kama ataweza hata kupata sare hakuna ubwabwa nsajigwa wala mwasyika safari hii sijui mtamnunua nani mechi moja penati 3 duh wazee wa mlungula hata aibu hamna?
 
Hahaha halafu akishaifunga Yanga hizo goli ndio anakua kamaliza matatizo ya klabu yake au?
 
Kwenye mpira yote yanawezekana. Kama yanga wote wangejua kuwa wangepata fedheha ile ya Goli 5 hakyanani wasingeingiza timu kama kagame mwaka ule.
Daah, mwaka ule ile Kagame hata saba wangekula. Walikuwa na magolikipa watatu, mmoja akawa mgonjwa, mwingine akaumia mazoezini, akabaki Kaseja (wakati huo alikuwa Yanga). Kaseja akagoma kudaka kwa kuwa aliona Yanga hawatamuamini akicheza dhidi ya Simba (kwa kuwa Kaseja alikuwa kipa wa Yanga wakati huo huo ni mwanachama wa Simba). Yanga kilichosababisha wasiingie uwanjani ni mtu wa kusimama pale langoni, angedaka Nsajigwa na kufungwa saba tu basi ningempongeza sana kwa kufungwa machache!
 
Halafu akiifunga YANGA 5 ndio ule uwanja wa BUNJU utajengwa au?nyie endeleeni kumuendekeza huyu MJELAJELA.
Watu wenye busara wanasema"mtu akikudangan'ya mara moja yeye ndio mjinga au aibu juu yake lakini mtu akikudangan'ya mara mbili aibu juu yako au tuseme wewe ndio mjinga" sasa nyie simba hebu amueni nyie wenyewe nawapa listi;
1]okwi kauzwa austria,
2)tutajenga uwanja bunju,
3]tumesajili mbuyu twite, bado niendelee ?haya
4)yondani hachezi yanga kamwe,
5) simba tv inakuja.
blah blah blah blah.......:thinking:
 
mheshimiwa mzee rage amesema atamfunga yanga goli tano kama sio sita kwenye ligi round iijayo ,hii nimesoma kweye tanzania daima.
Asante sana kusema hilo hapo kwenye mkutano ,kwa sababu wewe tunakujua utafanya nini baada ya kupokea ile ripoti ya azam iko tukukuru.

Hizi habari umezipata Simba TV.
 
.....huyo mwache na mambo yake, inawezekana anachokisema hakijui kama alivyotamka jana kwenye mkutano wa Wanasimba wa Ubungo Terminal kwaMba hajui jina la mchezaji Akuffor kutoka Ghana na ....kujisemea semaea tu kwamba sijui anaitwa Kuffor au Aku; kwa kifupi ni kwamba Rage anastahili Kung'atuka.
 
Kuifunga yanga goli 5 ndiyo kipimo cha ukuaji wa soka la simba?

Viongozi wa aina hii ndiyo wanarudisha nyuma maendeleo yetu ya soka.

Viongozi kuweni wabunifu acheni kasumba za enzi hizo za usimba na uyanga hili taifa liko nyuma sana kisoka

kiongozi kama huyu anacha kushahuri maelfu ya wachezaji chipukizi nchini namna ya kufika walipo kina kaseja,boko,nurdin,maftah,niyonzima,ulimwengu na wengine wengi ikiwezekana zaidi ya hapo kimataifa zaidi.

Anajua msingi wetu tokea chini ni mbovu kwa nini asishugulikie kuliko hizi habari zake mbofu mbofu
 
Mkuu natamani sana nijue nani alichukua hela siku ile. Nsajigwa? Berko? Nchunga? Mwesigwa? Mzee akilimali? Tujuze bana maana tujue bana labda ile ball possession ya 71 kwa 29 sijui ilikujaje kujaje.

usijindanganye sio yanga hii kama alinunua yanga ya nchunga na mwesigwa athubutu kama ataweza hata kupata sare hakuna ubwabwa nsajigwa wala mwasyika safari hii sijui mtamnunua nani mechi moja penati 3 duh wazee wa mlungula hata aibu hamna?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hana lolote anajikosha tu ili Simba wasimuulize zile hera alizo kula za usajili wa Twite
 
hana lolote anajikosha tu ili Simba wasimuulize zile hera alizo kula za usajili wa Twite

Najua chuki za wanayanga kwa rage zinatokana na nn? Kama dalali aliwapiga 4 rage 5 nna imani kiongozi atakayekuja mtakula 6. Hehehehe

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Daah, mwaka ule ile Kagame hata saba wangekula. Walikuwa na magolikipa watatu, mmoja akawa mgonjwa, mwingine akaumia mazoezini, akabaki Kaseja (wakati huo alikuwa Yanga). Kaseja akagoma kudaka kwa kuwa aliona Yanga hawatamuamini akicheza dhidi ya Simba (kwa kuwa Kaseja alikuwa kipa wa Yanga wakati huo huo ni mwanachama wa Simba). Yanga kilichosababisha wasiingie uwanjani ni mtu wa kusimama pale langoni, angedaka Nsajigwa na kufungwa saba tu basi ningempongeza sana kwa kufungwa machache!

hujui kua njaa zenu ndo ziliwapeleka uwanjani, makubaliano ilikua cecafa watoe milioni40 kabla ya mechi, pre match timu zote hazikuihuzulia, sa7 mtu na njaa zake akaingiza timu,, chezea njaa ya simba ww
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom