McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 889
- 2,863
Wakuu,
Hivi hii imekaaje?
Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini.
Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa mwezi na ajira yake ni ya uhakika maana hiyo taasisi anayofanyia kazi ina muingiliano na masuala ya Serikali.
Lakini juzi wakati tunaongea kuna kitu aliniambia kikanishtua wakuu.
Huyu jamaa kumbe kadi ya benki ambayo anaingiziwa mshahara kamuachia mwanamke wake. Yaani akipata hela, mwanamke ndo huwa anapanga itumike vipi, wapi n.k
Mshahara ukiingia mwanamke anapewa taarifa na yeye ndo atapanga kila kitu cha humo ndani na hata mwamba akitaka chochote basi ni lazima ruhusa na matumizi itoke kwa mkewe.
Kilichonifanya nilete hii mada hapa ni kwamba, kuna rafiki yetu mwingine yeye anaumwa na nilimpigia jamaa kumpa update na kumuuliza kuhusu mchango maana tulikubaliana wote tutoe kabla huyo rafiki yetu hajatoka hospitali.
Jamaa ndo akaniambia ngoja aongee na mkewe maana ndo ana kadi yake ya benki. Kumuuliza ndo akaniambia huo ndo utaratibu wao. Akipata hela yote anapeleka kwa mkewe. Mkewe ndo atapanga iende au isiende
Sasa naomba kuwauliza humu hasa mlioko huko ndoani? Huyu jamaa yuko sawa kweli? Au ndio utaratibu ulivyo kwenye hizo ndoa wakuu? Kadi ya benki?