Rafiki yangu Daktar leo kakataa kwenda kaZini

Rafiki yangu Daktar leo kakataa kwenda kaZini

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,030
Reaction score
59,682
Serikali inaumiza watu wa chini. Mgomo wa madereva nimemkuta huyu jamaa yangu yupo nje hapa kwenye dispensary yake keshapata sababu ya kufanya kazi zake. Kaenda kituoni karudi home.
Je watu wangapi leo hawatapata huduma?
Kumbuka huyu ni mtaalamu wa mifupa . Sijui kwa nini kazini kwake wasiwatumie usafiri?sijaelewa
 
Akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Sasa huyo rafiki yako kakataa au kashindwa kwenda kazini?. Hiyo hospitali yuko yeye peke yake?. Bila shaka kuna manesi, wataalamu wa maabala, na madkr wenzake waloshindwa pia. Je hao wote watumiwe usafiri?..
 
Sasa huyo rafiki yako kakataa au kashindwa kwenda kazini?. Hiyo hospitali yuko yeye peke yake?. Bila shaka kuna manesi, wataalamu wa maabala, na madkr wenzake waloshindwa pia. Je hao wote watumiwe udafiri?..
Yale magari yao wanayatumia kufanya nini?
 
Yepi hayo? Ambulance au? ulishawahi kuona gari la hospitali ya serikali ambayo sio ambulance?.
 
Huo ni utoro kazini, sio sifa nzuri kwa taaluma yake
 
Huo ni utoro kazini, sio sifa nzuri kwa taaluma yake

Mdau tusaidie je kazin anakwendaje kama hana usafiri,let say mfanyakaz anaish Bunju anafanya kasi Mbezi ya Kimara na hana usafiri
 
Back
Top Bottom