Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,755
- 1,251,452
Aah mie sipendagi misamaha ya shingo upande
Mi nimekusamehe lakini sitakusahau...
Mi nimekusamehe lakini sitakusahau...
Mpaka unilipe faini... na faini yangu si unaijua?Aah mie sipendagi misamaha ya shingo upande
[emoji85] [emoji85]Mi nimekusamehe lakini sitakusahau...
sasa akirudi hakikisha kichwa kinaponza mdomo
Mpaka unilipe faini... na faini yangu si unaijua?
Kama ulivyonifanyia siku ile kwenye gari wakati tunaagana...Nimesahau nikumbushe
Atakuwa kaelewaDuh hadi imemibidi nicheke mwenyewe kwa sauti, akirudi ahakikishe kichwa kinaponza mdomo, nadhani atakuwa amekuelewa
Kama ulivyonifanyia siku ile kwenye gari wakati tunaagana...
Shauri zako, atakubashite.Hahaaa aisee subiri nimepokea upako wa gwajima nimesahau yaliyopita
kwani nimesema ndani ya mada al muhim ni lugha tuu usituchanganyie bhanaNje ya mada