Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,133
- 122,589
Sasa si bora usimsamehe tu.Mi amenikosea sana... nimemsamehe lakini sitamsahau.
Sasa si bora usimsamehe tu.Mi amenikosea sana... nimemsamehe lakini sitamsahau.
Usijali labda kama hajawahi kumkosea mtu kama ameshawahi litegemee hilo wala usife moyo.Inshallah nasubiria kusamehewa kama akiamua kunisamehe lakini. Sante
Ye kaomba asamehewe lakini hajaomba kutosahauliwa...Sasa si bora usimsamehe tu.
Orayt... nimekusamehe na kusahau. Niahidi hutarudia tena...Forgive and forget jamani usiweke mambo moyoni !
NshakuVyotevyote... haya niambie ahsante.Duh babu nawewe ukishasamehe si unasahau kabisa ndo vizuri.. Lasivo utakua haujasamehe
Tatizo haelewi Somo kabisaa.. Sijui anataka mpaka nitembee uchi!!!?pole uwo ndo ukubw dada
thats fate you have to believe on it
ila kama unakiri ni mtu muhimu kwako na unakiri pia kama wewe ndo umezingua just mfate na myazungumze mana ww ndo umezingua......amin mambo yatakuwa shkopa
uyo atakuwa na lake swaiba au ujamsomesha vizur si unaelewa wanafunzi wa kizazi hikiTatizo haelewi Somo kabisaa.. Sijui anataka mpaka nitembee uchi!!!?
Hahahaa! Hizo ni tabu tu hana lolote na kuna umri ukifika haziwezi kuishaForgive and forget jamani usiweke mambo moyoni !