Rafiki yangu anataka nifanye tendo la ndoa na mkewe!

Mawazo yao ni kipumbavu, na ukikubali utakuwa mpumbavu mara 4 yao...
 
Kama hyo habari ulioandika ina ukweli we jaribu kufikiria endapo utafanya hvo afu azaliwe mtoto jinsia yeyote lakin mzuri mpaka wemwenyewe ukimuona unakuwa unaumia moyon kwa kugawa damu yako huon kama itakuathiri kisaikolojia mkuu? Hebu changanya na zako kwanza.....
 
bahati zingine bana..muweke wazi kuwa unakulaga tigo kwanza afu ndo unananihii....halafu mtazame usoni uone reaction yake
 
Ni wiki ya pili sasa toka nipate ombi hilo kutoka kwa rafiki yangu wa karibu sana.
Hilo limekuja baada ya kupata uthibitisho wa vipimo vya kitaalamu kutoka Hospitali
Kuwa hana uwezo wa kupata mtoto katika maisha yake. Hivyo anaomba nifanye
hivyo kwa mkewe ili apate mtoto. Naomba mnishauri juu ya jambo hili kwani nimempa
jibu moja tu kuwa avute subira nitafakari. Pia amenieleza kuwa hilo jambo wamejadili
na mkewe na wameshakubaliana.

Naomba ushauri wenu waungwana!

Acha hizo! Unataka tu-authorize uzinzi hapa?!
 
mega tu mkuu... unajiuliza nini?
hakikisha lakini mmepima kwanza
 
Hata km mmeshibana vipi usithubutu kufanya hvyo! Km kweli wanataka mtoto bs huyo mwanamke na mumewe wapange wamtege ndugu yao wazae nae lakini sio wewe. Huwezi jua kuna nini walichoongea wakiwa wawili. Na je km wako na magonjwa wanataka kukuambukiza? Na kwani wewe ndo dume la mbegu? Je we huna mkeo na umemshirikisha? Je utajuaje km wanakutega ili ufumaniwe wakudhalilishe? KTK DUNIA YA LE6 MTU AKIKUPA OMBI KM HLO UNAPASWA UWAZE KWELI. Mi nakushauri ukatae katakata, km hawana nia mbaya ni mke angekujia akutege mpaka akupate ila hyo ya mwanaume mwenzio kukujia, hataaa kwanza yatia kinyaa ati!?
 
Gazeti let's say wako genuine!
Je ulishafikiri huyo mtoto akizaliwa wewe utakuwa comfortable alelewe na watu wengine? Asikutambue Kama wewe ndio biological father? Hii kitu iko deep (nikitumia phrase ya The Boss)!

Jambo lingine; huoni huyo mwanamke anaweza kujenga bond na wewe, hata kama hauko mzuri kitandani kuliko mumewe, ile kujua tu mmechangia blood!

Na mwisho kama nawe umeoa; huoni unahatarisha ndoa yako!

Mambo hayo hufanywa na imediate ndugu, au mke hutoka nje ya ndoa bila yule wa pembeni kujua real sababu!
 
Ni jambo ambalo ameomba liwe siri sijui kama itakuwa siri tena nikileta hivyo
vipimo hapa, hata hivyo mimi sijaviona hivyo vipimo!

Kama umeombwa iwe siri hapa jf unafanya nini? acha kudaganya watu oke atafute ndugu zake huyo mtoto itakuwa damu yaukowake
 
itakuleta shida sana....kuna ndugu angu anajuuta sana.....mke wa jamaa alimuasi mumewe na kumng'ng'ania jamaa alimzalisha...ilikuwa kasheshe

washauli waende vituo yatima wakaa adopt mtoto.....hii itawasaidia sana kuliko.......
 
Ni wiki ya pili sasa toka nipate ombi hilo kutoka kwa rafiki yangu wa karibu sana.
Hilo limekuja baada ya kupata uthibitisho wa vipimo vya kitaalamu kutoka Hospitali
Kuwa hana uwezo wa kupata mtoto katika maisha yake. Hivyo anaomba nifanye
hivyo kwa mkewe ili apate mtoto. Naomba mnishauri juu ya jambo hili kwani nimempa
jibu moja tu kuwa avute subira nitafakari. Pia amenieleza kuwa hilo jambo wamejadili
na mkewe na wameshakubaliana.

Naomba ushauri wenu waungwana!

Huyo unayemwita rafiki yako ni boya,....na wasi wasi na akili yake.....anyway kama ni kweli lakn maake ni kama ka story ka kijiwe vile
 
Ni mtihani mgumu huu mkubwa.
Sidhani kama ulitakiwa kumpa matumaini kwa kusema utafikiria.
Mwambie aende kanisani kafanyiwe maombi.
Hakuna neno lolote limshindalo Mungu.
OTIS.
 
Ni wiki ya pili sasa toka nipate ombi hilo kutoka kwa rafiki yangu wa karibu sana.
Hilo limekuja baada ya kupata uthibitisho wa vipimo vya kitaalamu kutoka Hospitali
Kuwa hana uwezo wa kupata mtoto katika maisha yake. Hivyo anaomba nifanye
hivyo kwa mkewe ili apate mtoto. Naomba mnishauri juu ya jambo hili kwani nimempa
jibu moja tu kuwa avute subira nitafakari. Pia amenieleza kuwa hilo jambo wamejadili
na mkewe na wameshakubaliana.

Naomba ushauri wenu waungwana!
Kabla hujaamua kukubaliana na ombi la rafiki yako, hakikisha wote watatu mmepima ngoma. Unaweza kujifanya kutoa msaada ukaambulia kupata ngoma.
 
Hii picha itakuwa kali. Jitahidi shooting usifanyie bongo. Ni pm nikusupport kiuchumi ili iwe kali zaid.
 
kizuri kula na ndugu yako kaka kumbuka[/QUOTE]

bebiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!..............hili kamwe haliwezekani,nacho fikiri ni kwamba hata Gazeti nae ana matatizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom