Rafiki yangu anataka nifanye tendo la ndoa na mkewe!

huyu nae siku hizi kuna mbegu zinauzwa si bora wakanunue, acha usanii mkuu
 
hakuna cha nature of traditions siku hizi mkuu,we take matters in our hands as much as u do.i call it the painfull truth! kuna mmama 60+ yrs old amepata divorce yake majuzi hapa,baada ya kumfumania mumewe nyumbani kwao na the so called ndugu wa mume. they never had kids coz mwanaume alikataa ku-cooperate na matibabu.come to think of it,jamaa anaweza kupata kid sasa hivi,the lady is nt even dreaming of that! with so much immorality led by men now,one done by a woman wont make such a big difference. bado natafakari usemi wako hapo nyuma: mke si nduguyo! what makes u feel mume should be ndugu? the poor man is struggling to save his marriage. na sijasema akalale na shemejiye,bali hosp procedures for donation zitumike. walau kama huyo ndugu akitangulia mbele ya haki,mtoto anakuwa na guardian ambae ni babake.
Be honest, huyo jamaa angekuwa mtoto wako wa kuzaa na akaja kwako akakueleza mawazo yake, je wewe kama mama ungekubaliana na wazo kuwa amtafute mwanaume mwingine alale na mkewe ili aweze kupata wa(m)toto? Si suala la mfumo dume, bali ni suala la feasibility, justifiability, practicality and acceptability in our living society kuwa mwanaume ambaye mkewe hawezi kuzaa kabisa aweza kupata wa(m)too either kwakuoa mwanamke mwingine au kwakuzaa nje ya ndoa lakini mwanamke ambaye mwanaume wake hawezi kuzaa si rahisi kufanya kile ambacho mwanamume angefanya. Najua kina mama mnatetea sana haki zenu lkn mtambue kuwa it doesn't holds in all circumstances, kwa hiyo si suala la mfumo dume ni suala la nature of tradition of the business. Nafahamu kwamba mnaumia sana juu ya hili lakini ndivyo hali halisi ilivyo. Naomna hapa nimeusisitiza mfumo dume.....
 
Mkuu hilo mbona ni tendo la ihsaan, linakubalika hata kimsahafu. We twanga!
 
Ni wiki ya pili sasa toka nipate ombi hilo kutoka kwa rafiki yangu wa karibu sana.
Hilo limekuja baada ya kupata uthibitisho wa vipimo vya kitaalamu kutoka Hospitali
Kuwa hana uwezo wa kupata mtoto katika maisha yake. Hivyo anaomba nifanye
hivyo kwa mkewe ili apate mtoto. Naomba mnishauri juu ya jambo hili kwani nimempa
jibu moja tu kuwa avute subira nitafakari. Pia amenieleza kuwa hilo jambo wamejadili
na mkewe na wameshakubaliana.

Naomba ushauri wenu waungwana!

Mkuu utunzi una sifa zake... wewe umezikosa!!!

kwa faida ya wengine, si lazima ulale na mwanamke ndio apate mimba, kuna clinical methods zinazoweza kufanyika
 
Kaka hiyo ishu haitakuwa ya siri yenu ninyi wa tatu tu, itakujabumbulika muonekane vioja jijini, kama we ni mfuatiliaji angalau kiasi fulani wa tamthiliya ya Isidingo, utakumbuka aibu aliyoipata ya Mr.Mathabane, baada ya Mkwe wake kupata pregnancy baada ya kupandikizwa sperms za huyo Baba Mkwe wake, I think kwenye hiyo tamthliya,kwa bahati mbaya mimba ilikuja toka baadae but aibu ilikuwa imeshawapata, apart ya aibu ya baadae kwenye jamii, wewe unaweza kutoka moyoni kuvumilia kumsikia mwanao wa damu anakuita Mr. fulani, Uncle or Baba Mdogo, mwambie akampandikize Mkewe sperms za mwanaume mwingine au kikubwa cha rahisi Mke wake atafute mwanaume wa pembeni ambaye anakaa mbali sana naye, kama yeye anaishi pugu, akamtafute Kimara, but asiwaeleze mashoga zake mambo yake na mumewe na wala wasimjue huyo mwanaume mpya, awe naye kwa muda akishaona amenasa ujauzito atafute sababu nzuri ya kuachana naye, but ahakikishe kuwa anakuwa makini na AIDS, atafute mtu anayefanana sura kwa kiasi kikubwa na Mumewe ili wambea na jamii kwa ujumla wasishtukie hiyo ishu, ikewzekana abadilili namba yake ya simu baada ya kuachana huyo jamaa, pia asitake huyo jamaa amfahamu kwa kina na maisha yake, kwake awe na nia moja tu, ya kukamilisha mission yake ya kupata ujauzito wa jamaa. We pia, uwafichie siri yao kwa watu wengine na baadae wasisahau kumuomba Mungu msamaha kwa nia yao hiyo na jambo walilolitenda na wenyewe pia wajisamehe kwa jitendo walichokifanya ili kuepusha aibu wanayoipata kwenye familia yao, kuna wanawake wanaofanya hivyo ili kuwasitiri waume yao katika jamii, bila waume zao wenyewe kujua, so, sio suala geni sana Duniani, just ni kulifanya kwa umakini na kwa siri ya kutosha au kama vipi, waende kwenye maombi.
 
Huyo Mkewe, kwa kuwa amekubali mpango, anaweza kupata mwanaume wa kumpa ujauzito kwenye internet, sio lazima kuvaa sexy na kwenda kuzurura Mlimani City au Posta, but akishanasa ujauzito, aachane naye, waendelee kubembelezana na Mumewe, asihamie kwa huyo jamaa mpya, wawe wanakutana tu na kujirusha naye kwa umakini na siri ya kutosha ili wambea wasipate umbea, pia asimsahau Mumewe hata kidogo, mission ikiisha arudi kutulia kwa Mumewe, ikiwezekana huyo jamaa mpya awe Mkoa tofauti, hata wa mbali na yeye, ili wasionane kirahisi baadae, pia aachane naye atakapojigundua tu ni mjazito, asisubiri mimba iwe kubwa ya kugundulika, anaweza akagandwa sana na huyo jamaa mpya, narudia tena, wewe usimpe ujauzito wala kufanya mapenzi na shemeji yako hata kidogo, utaaibika kwenye jamii, familia yako mpaka mbele ya watoto wako.
 
Du eh bwana ktk post nlizokutana nazo ni pamja na hii,me nakumbuka zamani enzi za wazee wetu aya mambo yalikuepo sana, ila ilikua ni siri sana na ilikua , kama issue ishakua ivyo pale muhusika alikua anamshirikisha ndugu yake wa damu ambay lazima awe kaka yke antembea na mke wake na anmlazimisha then inakua ni siri kuu,alafu maisha yanaendelea kama kawaida,ila cku izi naona kama litaleta tabu kama iyo siri itavuja.
 
Da!
Nionavyo mimi.
Dunia ina mambo mengi siku hizi ndugu.
1. Labda kweli ana matatizo na anahitaji msaada. Ila kama amejadili na mkewe, nadhani mkewe angefanya mambo kimya kimya kutafuta mtoto.

2) Labda amekuamini wewe. Yawezekana huamini katika ushirikina, una uhakika gani kama kalumanzila flani kampa maelekezo afanye hayo ili 'afanikiwe' mambo yake.

3. Usalama wa maisha yako baada ya kufanikisha hayo. Hakuna mwanaume anaependa kudhalilika. Yawezekana ukishafanya hayo akakuangamiza kabisa...

Binafsi naona ugomee iyo kitu (japo inaweza kuleta uadui kati yenu)
Kama unahisi utakuwa salama endelea.....
 
kijana gazeti mwambie rafki yako awe kama michael jackson, akamchukue mpaka hosp then wakampandikizie mbegu za watu wasiowafahamu then atazaa vzr kuliko wewe kuhusika, mke wa mtu sumu kaka kama hauamini jaribu then utaniambia, michael jackson hakuwa na mtoto, wote walikuwa wa kupandikiza, kama unampenda rafki yako, na unakiri kuwa n rafki yako wa ukweli mshauri atumie njia ya kupandikiza au wewe toa mbegu hosp then zikapandikizwe kwa uyo bibie kuliko wewe kulala na mke wa rafki yako, umenielewa? au ndo unamtaman mke wa rafki yako? umenielewa?

hii nzur nimeipenda,u are a great thinker,
 
Achana na hiyo biashara.ni kinyume na mising ya dini nahuna sababu ya kuwaza sana jas bushit
 
Duh! swali lako gumu sana mkuu, kifupi upande mmoja
unanisukuma kufanya hivyo lakini upande mwingine unasita
kwani sina uhakika na anachokizungumza kwa sababu hata
hivyo vyeti kuoka hospitali sijaviona!



Mmmmh Kazi kweli kweli, Hebu tupe wasifa wake kwanza umbo, sura rangi na muonekano wake huyo mke.
 
Mkuu story yako ni ya kikanumbakanumba. Nenda katengeneze filamu mkuu utoke sio unatuletea hapa jf.
 
Duh! swali lako gumu sana mkuu, kifupi upande mmoja
unanisukuma kufanya hivyo lakini upande mwingine unasita
kwani sina uhakika na anachokizungumza kwa sababu hata
hivyo vyeti kuoka hospitali sijaviona!

Mimba haiingi siku mara moja tu labda kwa bahati tu, je huyo jamaa yuko tayari ukae na mkewe au utembee nae kwa kitambo gani?

Je weye una mke? kama ndio, je naye anasemaje?
amekukubalia ukalale na mke wa rafikiyo? najua weye kiroho kitakuwa kinasherehekea na je utakapomaliza mwezi au mwaka na mimba haijatunga mnafanyaje, mwaendeleza au unalipa kwa kushindwa kazi?
Lakini pia isijekuwa mtego, mbona mkewe akubali mapema? pengine jamaaa kashutukia watembea na mke wake anatafuta kukamata ugoni.

Za kuambiwa changanya na zako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom