Rafiki yangu anaomba Msaada wa kisheria

Rafiki yangu anaomba Msaada wa kisheria

innocentmark

Senior Member
Joined
Aug 7, 2020
Posts
117
Reaction score
172
Rafiki yangu ametengana na Mkewe wa ndoa kanisani.Mke anataka kumpeleka Dawati la Jinsia kuhusiana na Matunzo ya mtoto suala la shule...Ni hatua gani anapaswa kuzichukua ikiwa akiitwa huko?
 
Habari,
Ningependa kufahamu wametengana bila talaka? Maana kama ni kwa talaka ya mahakamani, kwenye shauri la ndoa, Mahakama huwa inatoa hukumu kwa kuzingatia haya;
1. Kwamba ndoa hiyo imevunjika na haiwezi kurekebishika.
2. Watoto (Best interest of the children)
3. Mchango wa kila mmoja katika kupata mali walizo nazo na kisha kugawanywa kwa mali hizo kwa kadri ya mchango wao.

Ni katika kuzingatia haya ambapo, Mahakama hutoa amri watoto walelewe na nani kwa kuzingatia ukuaji bora. Katika mazingira yoyote, Baba anawajibika kutoa matunzo kwa watoto, unless ithibitike kwamba hana uwezo wa kufanya shughuli yoyote ya kiuchumi kumuingizia kipato.

Kama wametengana tu bila talaka, basi inampasa kuitikia wito huo. Kwani sio wito wa kumkomoa bali ni kwaajili ya manufaa bora ya watoto. Cha kuzingatia tu ni kwamba aangalie kipato chake na uwezo wa matunzo atakayoweza kutoa. Wanawake wana kawaida ya kudai fedha nyingi za matunzo kuliko uhalisia. Kipato chake kitadhihirisha uwezo alionao.

Japo kwa ziada, nashauri wafuate utaratibu wa kupata talaka.

Kwa ushauri zaidi, amuone mwanasheria aliye karibu nae.
 
Asomeshe watoto wake. Vinginevyo awe na mashaka na watoto akapime DNA
 
Haya mambo sijui imekuwaje siku hizi,kuna kadada tulifanya harusi yake 2021 November,juzi naona naye ananiambia saizi tunalea tu mtoto sipo tena na Mr,daah aiseee..........anasema wamekubaliana tu hivyo hata talaka hawataki,ila kila mtu kamove on,na Harusi ilifanyika Mbeya, reception ikawa DSM.....sikutaka kujua mengi maana ilinichosha sana maana nilikuwa sehemu ya Kamati ya maandalizi ya upande wa Binti
 
Labda amekataa kuwahudumia mama na mtoto,lakini aende tu akasikilize wanachomwambia.
 
Haya mambo sijui imekuwaje siku hizi,kuna kadada tulifanya harusi yake 2021 November,juzi naona naye ananiambia saizi tunalea tu mtoto sipo tena na Mr,daah aiseee..........anasema wamekubaliana tu hivyo hata talaka hawataki,ila kila mtu kamove on,na Harusi ilifanyika Mbeya, reception ikawa DSM.....sikutaka kujua mengi maana ilinichosha sana maana nilikuwa sehemu ya Kamati ya maandalizi ya upande wa Binti
Sasa hivi ndoa ni pasua kichwa
 
Habari,
Ningependa kufahamu wametengana bila talaka? Maana kama ni kwa talaka ya mahakamani, kwenye shauri la ndoa, Mahakama huwa inatoa hukumu kwa kuzingatia haya;
1. Kwamba ndoa hiyo imevunjika na haiwezi kurekebishika.
2. Watoto (Best interest of the children)
3. Mchango wa kila mmoja katika kupata mali walizo nazo na kisha kugawanywa kwa mali hizo kwa kadri ya mchango wao.

Ni katika kuzingatia haya ambapo, Mahakama hutoa amri watoto walelewe na nani kwa kuzingatia ukuaji bora. Katika mazingira yoyote, Baba anawajibika kutoa matunzo kwa watoto, unless ithibitike kwamba hana uwezo wa kufanya shughuli yoyote ya kiuchumi kumuingizia kipato.

Kama wametengana tu bila talaka, basi inampasa kuitikia wito huo. Kwani sio wito wa kumkomoa bali ni kwaajili ya manufaa bora ya watoto. Cha kuzingatia tu ni kwamba aangalie kipato chake na uwezo wa matunzo atakayoweza kutoa. Wanawake wana kawaida ya kudai fedha nyingi za matunzo kuliko uhalisia. Kipato chake kitadhihirisha uwezo alionao.

Japo kwa ziada, nashauri wafuate utaratibu wa kupata talaka.

Kwa ushauri zaidi, amuone mwanasheria aliye karibu nae.
Hp umenena vizuri umeeleweka
 
Rafiki yangu ametengana na Mkewe wa ndoa kanisani.Mke anataka kumpeleka Dawati la Jinsia kuhusiana na Matunzo ya mtoto suala la shule...Ni hatua gani anapaswa kuzichukua ikiwa akiitwa huko?
Akubali kulipa ada mtoto si ni wake, kama hamudu gharama. Aweke wazi mtoto asomeshwe sehemu ya uwezo wao, kule sio jela.
 
Haya mambo sijui imekuwaje siku hizi,kuna kadada tulifanya harusi yake 2021 November,juzi naona naye ananiambia saizi tunalea tu mtoto sipo tena na Mr,daah aiseee..........anasema wamekubaliana tu hivyo hata talaka hawataki,ila kila mtu kamove on,na Harusi ilifanyika Mbeya, reception ikawa DSM.....sikutaka kujua mengi maana ilinichosha sana maana nilikuwa sehemu ya Kamati ya maandalizi ya upande wa Binti
Mwanaume: kwa nn unaamua kuona na huwezi timiza majukumu?
Mwanamke: kwa nn ukitangaziwa ndoa unaachia kila kitu hadi uhuru wa mawazo / maamuzi? Kwa nn uolewe kufurahisha watu??!!!
 
Back
Top Bottom