Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

ametoamimba tatu,,,,kweli unavuna ulichopanda.....hapa nimuujiza wa Mungu tuu ndio itawezekana
 
Ndiyo maana nimeanza kupata hisia Kali kuwa si Mwema kwako na shida yake kuu sio mtoto kama alivyoeleza anayo mengi ya moyoni hivyo sijui ulipotokea na Rafiki yako but sitachoka kukushauri maana upo mdomoni mwa simba mwenye njaa halafu umekaa huna habari best is beter to take care yourself
Tulikutana mwaka 2000 wakati nilikua USA kujifungua,dadangu anaishi huko nilipokua hospital alikuja kutusalimia alikuja na rafiki wa dadangu ndio tulipo onana,akasema amenipenda na anapenda vile tunavyoishi na dadangu sasa yeye amenizidi 4yrs hapo ndio mwanzo lakini naona sasa na mwisho pia ushafika........
 
Yap achana nae atakupa maumivu ya Maisha samahani lakini maana najikuta napata hasira kama vile kamfuata Dada yangu au Mke wangu dah!! Nahisi ningeua Kwa kukusudia aisee
 
Inshallah mwenyezi mungu atakunusuru na atakuepushia kila aina ya mitihani.......
 
Aaamin!! Nawe pia akupe ushindi wa makusudi dhidi ya wanatiki wanaojaribu kupambana nawe in sh a Allah!!!
 
Huyo mumewe ni joka la kibisa hana simu!,akikutana na duduz yenye sumu kali.atapata mimba..
 
Apana kwanza aliwahi kutoa mimba 3 na alisema ni za huyo mumewe kisa na sababau hakua tayari kuharibu shape yake..
 
Habari ya asubuhi Waungwana,

Nina rafiki yangu lakini tunaishi nchi tofauti tunakutana mara 3-5 kwa mwaka hua mie nikienda nchi anayoishi anakuja kunitembelea na yeye akija nnakoishi anafikia kwangu.

Yeye hajabahatika kupata mtoto mwaka wa 5 sasa tangu ameolewa,jana wakati tuna kula akaniomba tuonge kitu muhimu baada ya chakula,nikamwambia inshallah tutaongea.

Basi baada ya chakula na mambo mengine nikaenda kuwalaza watoto nikaenda chumbani kwake
haya nimekuja tuonge,basi akanambia kama unavyojua sina mtoto na nimejaribu dawa zote unazo
zijua zakizungu na miti shamba sijafanikiwa kupata ujauzito sasa tumeshauriyana na Mume wangu
nikamwambia changua rafiki yangu yoyote mimi ntaongea nae ili atupatie mtoto.

Mie macho niliyatoa nakutetemeka juu,nikamwambia sijafahamu unamaanisha nini ukisema rafiki yako akupe mtoto jee unataka nikupe mwanangu ule au vipi? kasema NO nataka ulale na mumewangu nilimshangaa lakini sikutaka ahisi vibaya ilibidi nijikaze nikamwambia na ilikuwaje nikawa mie?

Kasema ndani ya moyo wangu nili wish mumewangu akuchague wewe na aliposema bora wewe ndio nikafurahi zaidi.

Waungwana nilimpa maneno mengi yakumpa moyo lakini naomba nisema kua sijakubaliana na ombi lake na nimemwambia anisamehe sitoweza kufanya hicho kitu ila ntamsaidia kwa hali na mali.

Nitamuulizia kwa watu kama kuna tiba lakini kwa mimi siwezi na mumewe pia niliongea nae nikamwambia wanisamehe sitoweza,jee nimekosea kuwakatalia?

Sijapenda lakini sina choice
naipenda Family yangu sanaa na hata hili jambo silifikishi kwa Mr.
"Kwanza Mumeo anajua?.. haya ulale na mumewe ugundue nini! hiyo dhambi ya uzinzi siku hizi payback ni Ngoma tu full stop"
 
Umefanya jambo jema sana kuukataa huo uovu. Mungu na akubaliki ktk maisha yako yote
 
Kwa sote Inshallah..Shukran...
Endelea kuwa na msimamo na aina hiyo hiyo, Mungu akunyooshee njia ktk mapito upitayo. ungekuwa krb hapa ningekupongeza kw kukushika japo mkono, coz wewe ni mwanamke unaejitambua God bless u!
 
Back
Top Bottom