Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

Samahani mleta mada wewe si ulishaleta uzi humu unatafuta bwana? Mara hii ushampata na mshazaa hadi wengine wanaomba msaada kwako? Subiri tyta akuone
Mwenyezi mungu aninusuru hili na jengine,sijawahi na inshallah sitowahi,ebu angalia vizuri naona umechanganya sukari na chumvi...
 
weshenzi tu wa tabia,kwann waangalie mke wa mtu kwan hamna mabinti,na huyo mwanaume kakamatwa ajichanyi na wenzake ndo maanaa hata ajiongezi
 
Tatizo la uzazi limekuwa kubwa sana mwambie afike sasa kwa dr mwaka matokeo atakayoyapata naamini atanipenda.
 
Back
Top Bottom