Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

Habari ya asubuhi Waungwana,

Nina rafiki yangu lakini tunaishi nchi tofauti tunakutana mara 3-5 kwa mwaka hua mie nikienda nchi anayoishi anakuja kunitembelea na yeye akija nnakoishi anafikia kwangu.

Yeye hajabahatika kupata mtoto mwaka wa 5 sasa tangu ameolewa,jana wakati tuna kula akaniomba tuonge kitu muhimu baada ya chakula,nikamwambia inshallah tutaongea.

Basi baada ya chakula na mambo mengine nikaenda kuwalaza watoto nikaenda chumbani kwake
haya nimekuja tuonge,basi akanambia kama unavyojua sina mtoto na nimejaribu dawa zote unazo
zijua zakizungu na miti shamba sijafanikiwa kupata ujauzito sasa tumeshauriyana na Mume wangu
nikamwambia changua rafiki yangu yoyote mimi ntaongea nae ili atupatie mtoto.

Mie macho niliyatoa nakutetemeka juu,nikamwambia sijafahamu unamaanisha nini ukisema rafiki yako akupe mtoto jee unataka nikupe mwanangu ule au vipi? kasema NO nataka ulale na mumewangu nilimshangaa lakini sikutaka ahisi vibaya ilibidi nijikaze nikamwambia na ilikuwaje nikawa mie?

Kasema ndani ya moyo wangu nili wish mumewangu akuchague wewe na aliposema bora wewe ndio nikafurahi zaidi.

Waungwana nilimpa maneno mengi yakumpa moyo lakini naomba nisema kua sijakubaliana na ombi lake na nimemwambia anisamehe sitoweza kufanya hicho kitu ila ntamsaidia kwa hali na mali.

Nitamuulizia kwa watu kama kuna tiba lakini kwa mimi siwezi na mumewe pia niliongea nae nikamwambia wanisamehe sitoweza,jee nimekosea kuwakatalia?

Sijapenda lakini sina choice
naipenda Family yangu sanaa na hata hili jambo silifikishi kwa Mr.
Mama ubarikiwe sana kwa uamuzi wako wa busara ninaamini Mungu amekuongoza kumjb kwa hekima mama huyo, sasa chakufanya mwambie aende kwenye makanisa ya kilokole akaombewe aweke nadhiri safi mbele za Mungu hakika Mungu atalifungua tumbo lake na kupata mtoto...
 
Siamini,na kama kweli mna moyo mie siwezi hata iweje.......
Kweli aisee alafu maisha mazuri yamejaa furaha na upendo kweli kweli...mbona wengi tu husaidiwa na ndugu zao has a Wa damu...ameamua kukuchagua wewe coz anaamini hautomuangusha mimba ngumu sana Siku hizi ni nyepesi kwa wanafunzi tu kuzipata[emoji15]
 
Mama ubarikiwe sana kwa uamuzi wako wa busara ninaamini Mungu amekuongoza kumjb kwa hekima mama huyo, sasa chakufanya mwambie aende kwenye makanisa ya kilokole akaombewe aweke nadhiri safi mbele za Mungu hakika Mungu atalifungua tumbo lake na kupata mtoto...
Inshallah ntamwambia,Ahsante kwa ushauri..
 
Kwahiyo unataka kusema hicho kinaniliuu chako hujawahi kumpa mwingine zaidi ya huyo mr wako??

Mtendee hisani mwenzio mimba si itapandikizwa kwake ama mi sijaelewa?!
Watu mna maneno,eti miba itapandikizwa kwake........
 
Sarai wasomaji wa biblia wanajua alimshawishi ibrahim thesame thing, mwishoni hali ilikuwa mbay. Five years mbona bado wapige mzigo tu watu hukaa mpaka 20yrs na at last wanazaaa aache haraka
 
Kweli aisee alafu maisha mazuri yamejaa furaha na upendo kweli kweli...mbona wengi tu husaidiwa na ndugu zao has a Wa damu...ameamua kukuchagua wewe coz anaamini hautomuangusha mimba ngumu sana Siku hizi ni nyepesi kwa wanafunzi tu kuzipata[emoji15]
mie ni shoga tuu sio ndugu yake,na hata angekua ndugu yangu labda ninge muomba mumewangu tumpe mtoto wetu alee lakini sio kuzaa na mumewe hapana,amruhusu mumewe aoe..
 
sidhani kama ni sawa anajua kama nna familia yangu na naipenda sanaa,sina fikra zakujilengesha kwa mwengine iwe kwa pesa au kwa msaada,na sijui aliwaza nini mpaka amefikia huko,kibaya zaidi mumewe pia ana shadidia mwanamme mzima..
Anashadadia ili akutombe...
 
Heee. huyo mdada hana aibu, yaani anawezaje kukukosea adabu hivyo, kakuonaje.
Mwambie anitafute nimpeleke kwenye maombi mahali Fulani.
 
Sarai wasomaji wa biblia wanajua alimshawishi ibrahim thesame thing, mwishoni hali ilikuwa mbay. Five years mbona bado wapige mzigo tu watu hukaa mpaka 20yrs na at last wanazaaa aache haraka
Sijui sababu umri unakwenda manake amekumbuka shuka kumesha kucha,figure alotaka kuiweka ameona hamlipi tena,au alikua ana plan gani kichwani kwake hata sijui..........
 
Huyo rafiki yako kwa kweli ni wa kumkimbia, yaani uzae na mumewe na wewe umeolewa natumaini alikuambia umuite mumeo aombe mbele yake pia.


Umeamua kitu kizuri, mwambie amwachie mumewe akalale na anayemtaka.


Urafiki wenu uuangalie sababu ni hatari ataingia wivu, mtu kama huyo kamwe sitamuacha na wanangu. Pia angalia asijaribu kama bado kulala ja mumeo kuona kama atampa mimba. Hiyo kuja kuja kwako usiwaache wenyewe ndio maisha hayo.


Kama mimi ni wewe nitamsumulia mume wangu ajue maana huyo atakuzunguka ni hatari.
 
Heee. huyo mdada hana aibu, yaani anawezaje kukukosea adabu hivyo, kakuonaje.
Mwambie anitafute nimpeleke kwenye maombi mahali Fulani.
Huyu amekaa kama amechanganyikiwa sijui,manake anasema ile mimba yangu ningeiweka mwanangu angekua 5yrs
ningemleta ukamlea wewe manake napenda mnavyoishi na watoto wako na Hasa Mumeo mie nabaki kushangaa..
 
Sio vibaya kupata ushauri kwa waungwana wenzio unless nimefanya kosa au nimekuudhi kutaka ushauri hapa?
Hapana hajaniudhi! Nahisi umekwisha make decision hivyo who so ever suggest something hapa it won't count or have effect! Kikubwa tu uonewe huruma au huyo muhusika atukanwe humu basi! Hilo suala ni mtambuka na lipo wazi na zaidi lipo kisheria zaidi! Sema hapa kwetu litaeleweka/kukubalika miaka ya 2050+
 
Si wapandikize tu? Kuna shoga yangu alifanyia nairobi kwa sasa ana mtoto
 
Back
Top Bottom