Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

Huyo rafiki yako kwa kweli ni wa kumkimbia, yaani uzae na mumewe na wewe umeolewa natumaini alikuambia umuite mumeo aombe mbele yake pia.

Umeamua kitu kizuri, mwambie amwachie mumewe akalale na anayemtaka.

Urafiki wenu uuangalie sababu ni hatari ataingia wivu, mtu kama huyo kamwe sitamuacha na wanangu. Pia angalia asijaribu kama bado kulala ja mumeo kuona kama atampa mimba. Hiyo kuja kuja kwako usiwaache wenyewe ndio maisha hayo.

Kama mimi ni wewe nitamsumulia mume wangu ajue maana huyo atakuzunguka ni hatari.
Hakusema nimwite alisema mie tuu sababau mume wangu hana time hata chakula hua nampelekea chumbani hua hatoki hata kula na sie kama shoga zangu wapo kama ndugu zangu yes anakuja tunakula sote..

Sasaivi namuogopa kama Maridhi....
 
Si wapandikize tu? Kuna shoga yangu alifanyia nairobi kwa sasa ana mtoto
Unadhani hawajui wanajua basi tuu kanikusudia,manake aliponambia nilimuliza are you serious?
kanijibu ndio na nataka na wewe uwe serious......
 
Hakusema nimwite alisema mie tuu sababau mume wangu hana time hata chakula hua nampelekea chumbani hua hatoki hata kula na sie kama shoga zangu wapo kama ndugu zangu yes anakuja tunakula sote..

Sasaivi namuogopa kama Maridhi....

Huyo akiondoka siku ingine mwambie upo busy na hili au lile.

Urafiki wavkufikia hapo sio mzuri. na mumeo kukaa chumbani utashangaa siku moja anakuambia jinsi asivyopenda marafiki zako alivyowasoma kwa sababu tofauti mbali mbali piga nae story vizuri atakupa habari.
 
Habari ya asubuhi waungwana,

Nina rafiki yangu lakini tunaishi nchi tofauti tunakutana mara 3-5 kwa mwaka hua mie nikienda nchi anayoishi anakuja kunitembelea na yeye akija nnakoishi anafikia kwangu.

Yeye hajabahatika kupata mtoto mwaka wa 5 sasa tangu ameolewa, jana wakati tuna kula akaniomba tuonge kitu muhimu baada ya chakula, nikamwambia inshallah tutaongea.

Basi baada ya chakula na mambo mengine nikaenda kuwalaza watoto nikaenda chumbani kwake
haya nimekuja tuonge, basi akanambia kama unavyojua sina mtoto na nimejaribu dawa zote unazo zijua zakizungu na miti shamba sijafanikiwa kupata ujauzito sasa tumeshauriyana na Mume wangu nikamwambia changua rafiki yangu yoyote mimi nitaongea nae ili atupatie mtoto.

Mie macho niliyatoa nakutetemeka juu, nikamwambia sijafahamu unamaanisha nini ukisema rafiki yako akupe mtoto jee unataka nikupe mwanangu ule au vipi? Kasema NO nataka ulale na mumewangu nilimshangaa lakini sikutaka ahisi vibaya ilibidi nijikaze nikamwambia na ilikuwaje nikawa mie?

Kasema ndani ya moyo wangu nili wish mumewangu akuchague wewe na aliposema bora wewe ndio nikafurahi zaidi.

Waungwana nilimpa maneno mengi yakumpa moyo lakini naomba nisema kua sijakubaliana na ombi lake na nimemwambia anisamehe sitoweza kufanya hicho kitu ila nitamsaidia kwa hali na mali.

Nitamuulizia kwa watu kama kuna tiba lakini kwa mimi siwezi na mumewe pia niliongea nae nikamwambia wanisamehe sitoweza, je nimekosea kuwakatalia?

Sijapenda lakini sina choice
naipenda Family yangu sana na hata hili jambo silifikishi kwa Mr.
Ulichofanya ni sawa, usikubali jambo hilo, halina wema wowote kwa kibinadamu wala kwa Mungu.
 
Hapana hajaniudhi! Nahisi umekwisha make decision hivyo who so ever suggest something hapa it won't count or have effect! Kikubwa tu uonewe huruma au huyo muhusika atukanwe humu basi! Hilo suala ni mtambuka na lipo wazi na zaidi lipo kisheria zaidi! Sema hapa kwetu litaeleweka/kukubalika miaka ya 2050+
Sihitaji huruma Mkuu kutoka kwa mtu yoyote,ila nimetaka kujua kama nilomwambia na njia nilomwambia ni sawa sababau amelalamika sana kua am rude to her,na kutukanwa au kusemwa vibaya shogayangu haikuathiri chochote wewe na hakuna alomtukana kila mtu ameliongelea jambo hili kwa mtazamo wake sasa kama unahisi ametukanwa wacha nikuombe msamaha kwa herufi kubwa SAMAHANI SANAA na nakuomba usijisumbue kujibu sababau sijui kinachokusibu na kama kipo Ishallah mwenyezi mungu akupe wepesi manake sio kawaida kwa Binadamu kuongea kama unavyoongea wewe..
 
Ipo siku atakuambia na wewe umuombe mume wako amkaze
 
Miaka 5!!?
Wema hajakata tamaa ndio mwenye miaka zaidi ya 10
na zaidi ya wanaume 100
 
Habari ya asubuhi waungwana,

Nina rafiki yangu lakini tunaishi nchi tofauti tunakutana mara 3-5 kwa mwaka hua mie nikienda nchi anayoishi anakuja kunitembelea na yeye akija nnakoishi anafikia kwangu.

Yeye hajabahatika kupata mtoto mwaka wa 5 sasa tangu ameolewa, jana wakati tuna kula akaniomba tuonge kitu muhimu baada ya chakula, nikamwambia inshallah tutaongea.

Basi baada ya chakula na mambo mengine nikaenda kuwalaza watoto nikaenda chumbani kwake
haya nimekuja tuonge, basi akanambia kama unavyojua sina mtoto na nimejaribu dawa zote unazo zijua zakizungu na miti shamba sijafanikiwa kupata ujauzito sasa tumeshauriyana na Mume wangu nikamwambia changua rafiki yangu yoyote mimi nitaongea nae ili atupatie mtoto.

Mie macho niliyatoa nakutetemeka juu, nikamwambia sijafahamu unamaanisha nini ukisema rafiki yako akupe mtoto jee unataka nikupe mwanangu ule au vipi? Kasema NO nataka ulale na mumewangu nilimshangaa lakini sikutaka ahisi vibaya ilibidi nijikaze nikamwambia na ilikuwaje nikawa mie?

Kasema ndani ya moyo wangu nili wish mumewangu akuchague wewe na aliposema bora wewe ndio nikafurahi zaidi.

Waungwana nilimpa maneno mengi yakumpa moyo lakini naomba nisema kua sijakubaliana na ombi lake na nimemwambia anisamehe sitoweza kufanya hicho kitu ila nitamsaidia kwa hali na mali.

Nitamuulizia kwa watu kama kuna tiba lakini kwa mimi siwezi na mumewe pia niliongea nae nikamwambia wanisamehe sitoweza, je nimekosea kuwakatalia?

Sijapenda lakini sina choice
naipenda Family yangu sana na hata hili jambo silifikishi kwa Mr.
fafanua vizuri,we c una mista wako,halafu inakuwaje?
 
Duh!hii mikopo hii!mimi nilidhani penye michezo ndio mtu anapelekwa kwa mkopo timu flan.
 
Umefanya vyema.
 
Ulichofanya ni sawa, usikubali jambo hilo, halina wema wowote kwa kibinadamu wala kwa Mungu.
Ahsante sana kwa ushauri mwenyezi mungu akulinde na kila baya na akupe kila lenye kheir na wewe........
 
Huyo akiondoka siku ingine mwambie upo busy na hili au lile.

Urafiki wavkufikia hapo sio mzuri. na mumeo kukaa chumbani utashangaa siku moja anakuambia jinsi asivyopenda marafiki zako alivyowasoma kwa sababu tofauti mbali mbali piga nae story vizuri atakupa habari.
Yani shosti kama uko akilini mwangu ndio keshanawa huyu atakusikia kama chumbani kwa mkwewe ...
 
Kwa kuwa hawajajua kama tatizo lipo kwa mume au mke...

Mshauri mumeo ajaribu na rafiki yako na wewe ujaribu na mume wa rafiki yako...

Kwa roho safi...
 
Back
Top Bottom