Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

wako vizuri sana na hiyo ndio ilokua inawatia jeuri,alikua anasema akizaa shape yake itaharibika na kukicha anajisifia sasaivi mambo yamebadilika mume anataka mtoto sasa nashindwa kuelewa kwanini asipandikize na kwanini anachagua wakuzaa nae na anajua wazi kua nna mumewangu nampenda ...........
akapandikize tu aisee aachane na kutafuta rafiki
 
Nikipata muda mzuri ntakurudia inbox. There is always a Way. Msikate tamaa, Itawezekana kupata mtoto wake mwenyewe na kwa mume wake. Only utayari wao utahitajika.
Am sure wako tayari na namsubiri atulize akili yake ntajitahidi kutafutia kila njia sahihi yakumsaidia..
 
akapandikize tu aisee aachane na kutafuta rafiki
hapo ndipo asipotaka mume na mke anakubali kabisa mtu alale na mumeo ivi unajiamini kiasi gani? mie apana siwezi kuchua Risk kama hiyo kwa wivu nilokua nao naweza kufa..
 
Anatowa 20,000/- kwanza akishapata mtoto anakuja kumaliza 20,000/-
Mbona Pesa sio tatizo Mkuu hata mimi ntajitolea kwa hilo lakini sio kumvulia nguo mumewe........
 
hapo ndipo asipotaka mume na mke anakubali kabisa mtu alale na mumeo ivi unajiamini kiasi gani? mie apana siwezi kuchua Risk kama hiyo kwa wivu nilokua nao naweza kufa..
hii haitakiwi mtu wa karibu kabisa......... mume wake nate ni tatizo
 
Kama we we ndio mume wa huyo mwanamke unayemshauri hivyo ungekubali mkeo abanjuliwe na asiishie hapo apate mimba ya jamaa mwengine na mwisho azae mtoto wa huyo mwanaume mwengine.
Nadhani shughuli ya kutafuta mimba unaijua, wala sio ya Siku moja. Hapo ni kuanzia miezi mitatu mpaka sita..[emoji12] [emoji12]
nadhani kukuBali siyo tatizo,, ishu ni MakuBaliano yatakuwaJe,,!
 
hii haitakiwi mtu wa karibu kabisa......... mume wake nate ni tatizo
unajua mumewe ni type ya wale wanaume sijui kama umeshawahi kupia,yani akikuona uko na mkewe ukumbini atakuja
amevaa kikoi cheupe chupi ya ndana unaiona anajiweka kwenye sifa na mguu juu anaangalia mpira,sasa anzeni kuongea anadakia utadhani anaongea na mwanamke mwenzie na yule mkewe ukimwambia twende chubani kwa watoto utasikia
tukae hapa nataka kumuona huyu maid anavyofanya kazi mie ndio hapo hapo naaga jamani tutaonana au wakija hotel nnayo fikia, mwanmme atakaa hapo kwenye kiti haondokii hata mazungumzo ya siri ya kike hamuwezi kuongea na anakutizama machoni mpaka unaona aibu..
 
Kwahiyo unataka kusema hicho kinaniliuu chako hujawahi kumpa mwingine zaidi ya huyo mr wako??

Mtendee hisani mwenzio mimba si itapandikizwa kwake ama mi sijaelewa?!
Is ths raj......
 
Wanataka nilale na mumewake hata sijui ni mara ngapi mpaka nipate hiyo mimba,nikisha jifungua tuu mtoto niwape mie kazi yangu hapo itakua imekwisha... na mtoto asijui kama ni mwanangu na mie nisahau,ivi kweli mamagani anaweza kufanya hivyo? mie nimemshauri aende nyumba zakulelea yatima achukue mmoja mchangaa alee mwenyewe kuliko kutafuta dhiki ya nafsi...
Aisee suka niache hapo matumbi kwa Mnyamani nitaenda kwa mguu .....mwanzo wa uzi nilikua na shauku ya kujua kinacho endelea ila kadri unavyo toa majibu yako dah ,yaani wewe ,ubebe mimba ,ujifungue ,halafu ukabidhi mtoto ,wakati hayo yote yanaendelea mmeo atakua kwenye COMMA au ??
 
Mtoto ni muhimu lakini sio lazima..
Waendelee kuvumiliana tu huku wakiendelea kutafuta njia ya kutatua hilo tatizo..Lakini sio kwa njia hiyo
 
unajua mumewe ni type ya wale wanaume sijui kama umeshawahi kupia,yani akikuona uko na mkewe ukumbini atakuja
amevaa kikoi cheupe chupi ya ndana unaiona anajiweka kwenye sifa na mguu juu anaangalia mpira,sasa anzeni kuongea anadakia utadhani anaongea na mwanamke mwenzie na yule mkewe ukimwambia twende chubani kwa watoto utasikia
tukae hapa nataka kumuona huyu maid anavyofanya kazi mie ndio hapo hapo naaga jamani tutaonana au wakija hotel nnayo fikia, mwanmme atakaa hapo kwenye kiti haondokii hata mazungumzo ya siri ya kike hamuwezi kuongea na anakutizama machoni mpaka unaona aibu..
ha ha haha basi waache aisee,.. mumewe anataka kukumega tu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Alitoa mimba hata kipindi yuko na huyo mumewe wakati haja muoa,sasaivi anahangaika na i use to her usitoe mimba
sasaivi mume ana m stress anataka mtoto ....

Hapo ndio shida inakuja,unatoa mimba kumbe ulichokitoa ndo hicho kimoja alichokupangia Manani. Majuto ni mjukuu.
 
Wamekukosea adabu wewe na familia yako. Mumeo akijua huo upumbavu atajisikia vibaya mno. Watafute njia zingine kama adoption au insemination lakini sio huo upuuzi waliopendekeza kwako.
Kwanza nani alimwambia atoe mimba ujanani, hayo ndio matokeo yake sasa.

Umeonae eeh,mtu na mkewe wote vipofu,hakuna wa kumwambia mwenzake rudia hapo.....
 
How does that work? Mwambie aache usoro, Ameambiwa na madktari kwamba hawezi kuzaa? miaka mitano bado sana, aendeleee kujaribu
 
Back
Top Bottom