Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

Wanawake wana siri nyingi ila sitataka kusikia akiwa ametoa mimba. Maana madhara yake ni mengi kiafya na kisaikolojia.
sasaivi ndio anajua umuhimu wake..nimemwambia amruhusu muemwe aoe duu kalia na sijui kuna neno gani hajaongea..
 
Alitoa mimba hata kipindi yuko na huyo mumewe wakati haja muoa,sasaivi anahangaika na i use to her usitoe mimba
sasaivi mume ana m stress anataka mtoto ....
Tatizo liko hapo sasa, kumbe alishawahi kutoa mimba.
 
Mwambie aje nimpe dawa ya kienyeji kama anaweza kunywa, dozi ya week mbili, nampa 100% mwezi utakaofuata ana mimba. Kulikokujitia katika presha na majaribuni.
 
Mwambie aje nimpe dawa ya kienyeji kama anaweza kunywa, dozi ya week mbili, nampa 100% mwezi utakaofuata ana mimba. Kulikokujitia katika presha na majaribuni.
Atakuja Tanzania Mwezi wa 5 lakini kwa alivyo chukia sijui kama atanielewa...
 
Mungu akunusuru vp sasa. Hapo jinusuru mwenyewe tu[emoji46]
Aninusuru na mitihani kama hii manake sijawaza kama kunamtu anaweza kuja na kusema mambo ya ajabu kama haya..
 
Wanataka nilale na mumewake hata sijui ni mara ngapi mpaka nipate hiyo mimba,nikisha jifungua tuu mtoto niwape mie kazi yangu hapo itakua imekwisha... na mtoto asijui kama ni mwanangu na mie nisahau,ivi kweli mamagani anaweza kufanya hivyo? mie nimemshauri aende nyumba zakulelea yatima achukue mmoja mchangaa alee mwenyewe kuliko kutafuta dhiki ya nafsi...
Damn! hata nyani asingekubali huo upuuzi!
Jifunze kukuja ndita mama naona wamekuzoea kupitiliza. Hao sio marafiki wazuri kwa familia yako na rafikiyo hazimtoshi hata kama yupo desperate.
 
Wakati mwingine hospital wanatowaga majibu ambayo siyo sahii, ninaye rafikiyangu amekaa miaka saba katika ndoa bila mtoto, na amezinguka katika mahospital mengi kupata dawa na ameula dawa za kila aina, mpaka wakafikia uamuzi wa kupandikiza mbegu ikawa bila. Alikuja kunywa dawa week mbili sasa ana mimba ya miezi sita.
 
sidhani kama ni sawa anajua kama nna familia yangu na naipenda sanaa,sina fikra zakujilengesha kwa mwengine iwe kwa pesa au kwa msaada,na sijui aliwaza nini mpaka amefikia huko,kibaya zaidi mumewe pia ana shadidia mwanamme mzima..
Dada angu, hao sio marafiki, hao ni washenzi na mashetwani kabisa, nakushauri acha uhusiano nao kabisa, nakama ulivyo sema kuwa ukisafiri nchi waliyoko huwa wafikia kwao sasa nakwambia ukifika marahii wawekewa dawa na kubakwa na kubebeshwa mimba, achana na urafiki wa mashaka.
 
Nimpendenani,
Kama alikuamini akifikia kukuambia ivyyo, atakuelewa tu. Akija mwambie anitafute garama yake ni Tsh.40,000/- tu.
 
Damn! hata nyani asingekubali huo upuuzi!
Jifunze kukuja ndita mama naona wamekuzoea kupitiliza. Hao sio marafiki wazuri kwa familia yako na rafikiyo hazimtoshi hata kama yupo desperate.
Yani sijui kawaza nini na kwanini ikawa mie na yule mumewe fedhuli eti ananichagua mie khaaaaaaaaaaa ashindwe...
 
Aninusuru na mitihani kama hii manake sijawaza kama kunamtu anaweza kuja na kusema mambo ya ajabu kama haya..
Madam katika mambo kama hayo ukimsubiri mungu akutoe katika matatizo, utajikuta umeshabeba ujauzito wa jamaa na unajiandaa kuzaa..[emoji53] [emoji53]
Jisaidie mwenyewe haraka sana... Ikiwezekana no ! Actually sio ikiwezekana. Just mwambie mumeo alianzishe tu.. Maana huo wanaouleta ni ubazazi..
Waambie waje bongo kuna mayatima kibao pamoja na watoto wenye wazazi wasio na uwezo wa kuwalea, waambie waje kufanya adoption ya watoto hata mia kama wanawataka.. na wengine wana miezi sita mpaka mwaka, umri ambao unawafaa kabisa...
 
Habari ya asubuhi Waungwana,

Nina rafiki yangu lakini tunaishi nchi tofauti tunakutana mara 3-5 kwa mwaka hua mie nikienda nchi anayoishi anakuja kunitembelea na yeye akija nnakoishi anafikia kwangu.

Yeye hajabahatika kupata mtoto mwaka wa 5 sasa tangu ameolewa,jana wakati tuna kula akaniomba tuonge kitu muhimu baada ya chakula,nikamwambia inshallah tutaongea.

Basi baada ya chakula na mambo mengine nikaenda kuwalaza watoto nikaenda chumbani kwake
haya nimekuja tuonge,basi akanambia kama unavyojua sina mtoto na nimejaribu dawa zote unazo
zijua zakizungu na miti shamba sijafanikiwa kupata ujauzito sasa tumeshauriyana na Mume wangu
nikamwambia changua rafiki yangu yoyote mimi ntaongea nae ili atupatie mtoto.

Mie macho niliyatoa nakutetemeka juu,nikamwambia sijafahamu unamaanisha nini ukisema rafiki yako akupe mtoto jee unataka nikupe mwanangu ule au vipi? kasema NO nataka ulale na mumewangu nilimshangaa lakini sikutaka ahisi vibaya ilibidi nijikaze nikamwambia na ilikuwaje nikawa mie?

Kasema ndani ya moyo wangu nili wish mumewangu akuchague wewe na aliposema bora wewe ndio nikafurahi zaidi.

Waungwana nilimpa maneno mengi yakumpa moyo lakini naomba nisema kua sijakubaliana na ombi lake na nimemwambia anisamehe sitoweza kufanya hicho kitu ila ntamsaidia kwa hali na mali.

Nitamuulizia kwa watu kama kuna tiba lakini kwa mimi siwezi na mumewe pia niliongea nae nikamwambia wanisamehe sitoweza,jee nimekosea kuwakatalia?

Sijapenda lakini sina choice
naipenda Family yangu sanaa na hata hili jambo silifikishi kwa Mr.

dada yangu mm deeply from my heart ningefurahi kwamba ungewakubalia. nadhan hata yy kabla hajakwambia hicho aliogopa,kufikiri sana, alisogeza muda na mpk alipokwambia hakukua na njia mbadala. anampenda mume wake naww pia ila anaogopa iwapo atamwachia mume wake aende kwa mwanamke zaid yako anaweza kulowea huko na kumwacha yy. rafiki yako anasimamia methali ya zimi likujualo.....

ndio maana waislamu wanaruhusu mke zaid ya mmoja unajua kwenye maisha mtt ni zaid ya kila kitu.
pia akina dada acheni kutoa mimba ktk umri wenu mdogo matatizo ndio kama hayo mkifika ktk umri sahihi
 
Nimpendenani,
Kama alikuamini akifikia kukuambia ivyyo, atakuelewa tu. Akija mwambie anitafute garama yake ni Tsh.40,000/- tu.
Nitamwambia unajua alitafuta sana manake alinambia alikwenda kwa mganga wa kienyeji akamwambia anayo dawa lakini itabidi amvumilie na dawa inataka moyo,na dozi itakua ya week nzima,hapo ananambia bado hajakwenda kuchukua dawa,nikamwambia dawa gani hiyo akasema yule mganga itabidi atie dawa kwenye umme wake na ndio ataiweka huko kwa shogangu kwanza nilicheka nikajua ana tania,akanambia kua yuko serious ndio nikamwambia asiende huyo jamaa ni mwizi na kama ipo dswa ya hivyo basi ampe na mumewe atakua kwenye position nzuri yakuiweka hiyo dawa kuliko yeye
akanijibu kitanda usichokilalia hukijui kunguni wake..na akanikatia cm...........
 
mmmmmmmmmmmm sio kwa style hii yakuzaa na mumewe kwanza sio kama hawana uzazi bali walitoa mimba sasa wasubiri watapata BP wanajitia bure........
undhani alifikilia nini hasa Mpaka kaJa kuMwaMBia yeye,, nadhani yeye ndiye M2 sahihi anaye weza kuMsaidia na ninadhani hivyo ndiyo nJia sahihi yakuMsaidia,, vinginevyo hataMkatili,, akuBali tu,,!
 
Back
Top Bottom