NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
- Thread starter
- #21
nimewambia wasubiri wazidi kuomba mungu sio kua hawana uzazi lakini walitoa mimba nyingi sasa wasubiri na wazidi kumuomba mwenyezi mungu atawaruzuku wengine...Washauri waende SCOAN wakaongeze imani kwa Prophet TB Joshua mambo yao yatakaa sawa huwo ndio mtazamo wangu,kama sayansi imeshindwa sasa wajaribu na Imani.