Wallah nampenda ni rafiki yangu wakaribu sana lakini sio kwakumsaliti mumewangu na hata kama nisingekua na mume hicho kitu sifanyi ivi kweli angekua yeye angenielewa? au namuanzaje mumewangu kumwabia nataka nikalale na mume wa shogangu mpaka nipate ujauzito halafu ntarudi kwako ivi kweli kama ingekua wewe ndio mume unakubali hizi pumba? siutaona nna wazimu?dada yangu mm deeply from my heart ningefurahi kwamba ungewakubalia. nadhan hata yy kabla hajakwambia hicho aliogopa,kufikiri sana, alisogeza muda na mpk alipokwambia hakukua na njia mbadala. anampenda mume wake naww pia ila anaogopa iwapo atamwachia mume wake aende kwa mwanamke zaid yako anaweza kulowea huko na kumwacha yy. rafiki yako anasimamia methali ya zimi likujualo.....
ndio maana waislamu wanaruhusu mke zaid ya mmoja unajua kwenye maisha mtt ni zaid ya kila kitu.
pia akina dada acheni kutoa mimba ktk umri wenu mdogo matatizo ndio kama hayo mkifika ktk umri sahihi
Alipo nambia nilichekaaaaaaaaaaaaaa mpaka ananuna........sikujua kama atakua na akili chafu hivyo...Uyo mganga mwizi tu.
OMG !! khaah vipi death contract ???? hebu funguwa scenario.....miaka 5 tu heee huyo hajipendi wapo watu wanasota balaa na baada wanafanikiwa halafu mume akinogewa? walahi anasain death contract uwii
mpe dawa kwanza akishika mimba ndio akulipe hela yako,sawasawa??Mwambie aje nimpe dawa ya kienyeji kama anaweza kunywa, dozi ya week mbili, nampa 100% mwezi utakaofuata ana mimba. Kulikokujitia katika presha na majaribuni.
iMeandikwa Mpende Jirani yako kama nafasi yako,, MkuBalia tu utapata thawaBu kwa MUNGU,,!Wallah nampenda ni rafiki yangu wakaribu sana lakini sio kwakumsaliti mumewangu na hata kama nisingekua na mume hicho kitu sifanyi ivi kweli angekua yeye angenielewa? au namuanzaje mumewangu kumwabia nataka nikalale na mume wa shogangu mpaka nipate ujauzito halafu ntarudi kwako ivi kweli kama ingekua wewe ndio mume unakubali hizi pumba? siutaona nna wazimu?
Kama una mume hiyo haiwezekani ila ingekuwa huna mume ningekushawishi umkubalieHabari ya asubuhi Waungwana,
Nina rafiki yangu lakini tunaishi nchi tofauti tunakutana mara 3-5 kwa mwaka hua mie nikienda nchi anayoishi anakuja kunitembelea na yeye akija nnakoishi anafikia kwangu.
Yeye hajabahatika kupata mtoto mwaka wa 5 sasa tangu ameolewa,jana wakati tuna kula akaniomba tuonge kitu muhimu baada ya chakula,nikamwambia inshallah tutaongea.
Basi baada ya chakula na mambo mengine nikaenda kuwalaza watoto nikaenda chumbani kwake
haya nimekuja tuonge,basi akanambia kama unavyojua sina mtoto na nimejaribu dawa zote unazo
zijua zakizungu na miti shamba sijafanikiwa kupata ujauzito sasa tumeshauriyana na Mume wangu
nikamwambia changua rafiki yangu yoyote mimi ntaongea nae ili atupatie mtoto.
Mie macho niliyatoa nakutetemeka juu,nikamwambia sijafahamu unamaanisha nini ukisema rafiki yako akupe mtoto jee unataka nikupe mwanangu ule au vipi? kasema NO nataka ulale na mumewangu nilimshangaa lakini sikutaka ahisi vibaya ilibidi nijikaze nikamwambia na ilikuwaje nikawa mie?
Kasema ndani ya moyo wangu nili wish mumewangu akuchague wewe na aliposema bora wewe ndio nikafurahi zaidi.
Waungwana nilimpa maneno mengi yakumpa moyo lakini naomba nisema kua sijakubaliana na ombi lake na nimemwambia anisamehe sitoweza kufanya hicho kitu ila ntamsaidia kwa hali na mali.
Nitamuulizia kwa watu kama kuna tiba lakini kwa mimi siwezi na mumewe pia niliongea nae nikamwambia wanisamehe sitoweza,jee nimekosea kuwakatalia?
Sijapenda lakini sina choice
naipenda Family yangu sanaa na hata hili jambo silifikishi kwa Mr.
wako vizuri sana na hiyo ndio ilokua inawatia jeuri,alikua anasema akizaa shape yake itaharibika na kukicha anajisifia sasaivi mambo yamebadilika mume anataka mtoto sasa nashindwa kuelewa kwanini asipandikize na kwanini anachagua wakuzaa nae na anajua wazi kua nna mumewangu nampenda ...........kama wapo financial okey wanaweza tafuta binti wakapandikiza mtoto bila mume wako kumlala .. wanasayansi wanajua hata nairobi wnafanya hizi mambo ila sasa ni yeye kuw ana bajeti ya kutosha tu .......... na kama anataka mwanamke wa kumzalia mtoto bora asiwe mtu wa karibu lazima italeta shida its better to higher someone na mkataba juu ya kumbebea mimba aiseee. sababu mama wa karibu anaweza take advantage au msukumo wa mali za mumeo akapigwa chini
miaka 5.sio mingi kabisa muulize wema ana miaka mingapiHabari ya asubuhi Waungwana,
Nina rafiki yangu lakini tunaishi nchi tofauti tunakutana mara 3-5 kwa mwaka hua mie nikienda nchi anayoishi anakuja kunitembelea na yeye akija nnakoishi anafikia kwangu.
Yeye hajabahatika kupata mtoto mwaka wa 5 sasa tangu ameolewa,jana wakati tuna kula akaniomba tuonge kitu muhimu baada ya chakula,nikamwambia inshallah tutaongea.
Basi baada ya chakula na mambo mengine nikaenda kuwalaza watoto nikaenda chumbani kwake
haya nimekuja tuonge,basi akanambia kama unavyojua sina mtoto na nimejaribu dawa zote unazo
zijua zakizungu na miti shamba sijafanikiwa kupata ujauzito sasa tumeshauriyana na Mume wangu
nikamwambia changua rafiki yangu yoyote mimi ntaongea nae ili atupatie mtoto.
Mie macho niliyatoa nakutetemeka juu,nikamwambia sijafahamu unamaanisha nini ukisema rafiki yako akupe mtoto jee unataka nikupe mwanangu ule au vipi? kasema NO nataka ulale na mumewangu nilimshangaa lakini sikutaka ahisi vibaya ilibidi nijikaze nikamwambia na ilikuwaje nikawa mie?
Kasema ndani ya moyo wangu nili wish mumewangu akuchague wewe na aliposema bora wewe ndio nikafurahi zaidi.
Waungwana nilimpa maneno mengi yakumpa moyo lakini naomba nisema kua sijakubaliana na ombi lake na nimemwambia anisamehe sitoweza kufanya hicho kitu ila ntamsaidia kwa hali na mali.
Nitamuulizia kwa watu kama kuna tiba lakini kwa mimi siwezi na mumewe pia niliongea nae nikamwambia wanisamehe sitoweza,jee nimekosea kuwakatalia?
Sijapenda lakini sina choice
naipenda Family yangu sanaa na hata hili jambo silifikishi kwa Mr.
Wandugu hamujiamini hta kwa 40k/20k khaaaah ....mpe dawa kwanza akishika mimba ndio akulipe hela yako,sawasawa??
Wallah nampenda ni rafiki yangu wakaribu sana lakini sio kwakumsaliti mumewangu na hata kama nisingekua na mume hicho kitu sifanyi ivi kweli angekua yeye angenielewa? au namuanzaje mumewangu kumwabia nataka nikalale na mume wa shogangu mpaka nipate ujauzito halafu ntarudi kwako ivi kweli kama ingekua wewe ndio mume unakubali hizi pumba? siutaona nna wazimu?
Unajua ni shogangu lakini kuna vitu hatukubaliani sometimes,kama nilipo mwambia nenda nyumbani kamuone mzazi wako mweleze matatizo yako anasema mmmmmmmmmmmm atafanya nini? anapelekwa na Mashoga zake wengine...Mi ninavyojuwa dawa za mitishamba azitolewagi bure, unatowa nauli ya kwenda shamba kuitafuta inaitwa ( chikuba nsiko) hicho kiruga kiswahili sijui nisemeje.
bandiko nililo quote hakukuwa na bei,bei nimeiona baadae katika post ingine,40 sio mbaya,anaweza akatoa tu kabla hata asipopata mtoto poa!Wandugu hamujiamini hta kwa 40k/20k khaaaah ....
B.K mridhishe mteja kwanza !! hatoweza kukimbia na mimba tumboni..!!!
Kama we we ndio mume wa huyo mwanamke unayemshauri hivyo ungekubali mkeo abanjuliwe na asiishie hapo apate mimba ya jamaa mwengine na mwisho azae mtoto wa huyo mwanaume mwengine.iMeandikwa Mpende Jirani yako kama nafasi yako,, MkuBalia tu utapata thawaBu kwa MUNGU,,!
Namuonea huruma lakini sina choice..Kama alitoa mimba basi ndo aisome namba, huna haja ya kumbembea mzigo wake, damu ya watoto wake inamlilia now, Nyie
Wadada msitoe Mimba aisee