nilidhani alikua shoga lakini..Inshallah kheir........Weye nae ovyo !1 huyo nae wamwita shoga au boya !1 ehat the hell mnafanya urafiki wa aina hiyo?! stahii nafsi yako.
Shosti Huyu mdada she is not stupid ni msomi na anajua vile vile nimemwambia all that,lakini anatakanini kwangu sijui.......Kuna movie imetoka karibuni inaitwa how to be single. Kuna jibu kule.
Kuna kitu kinaitwa intrauterine fertilisation nadhani. Kwa kutumia hospital devices sperms zinawekwa kwenye kizazi chako. Bila kulala na huyo shemeji yako. Zungumza na mumeo kwanza halafu mkamuone dr. Agha khan najua wanafanya hiyo kitu
Shosti Huyu mdada she is not stupid ni msomi na anajua vile vile nimemwambia all that,lakini anatakanini kwangu sijui.......
Kati ya coment za kijinga na hii imo.Habari waungwana,
Nina rafiki yangu lakini tunaishi nchi tofauti tunakutana mara 3-5 kwa mwaka hua mie nikienda nchi anayoishi anakuja kunitembelea na yeye akija ninakoishi anafikia kwangu.Yeye hajabahatika kupata mtoto mwaka wa 5 sasa tangu ameolewa, jana wakati tuna kula akaniomba tuonge kitu muhimu baada ya chakula, nikamwambia inshallah tutaongea.
Basi baada ya chakula na mambo mengine nikaenda kuwalaza watoto nikaenda chumbani kwake haya nimekuja tuongee, basi akanambia kama unavyojua sina mtoto na nimejaribu dawa zote unazozijua za kizungu na miti shamba sijafanikiwa kupata ujauzito sasa tumeshauriyana na mume wangu nikamwambia changua rafiki yangu yoyote mimi nitaongea nae ili atupatie mtoto.
Mie macho niliyatoa nakutetemeka juu, nikamwambia sijafahamu unamaanisha nini ukisema rafiki yako akupe mtoto je unataka nikupe mwanangu ule au vipi? Kasema NO nataka ulale na mumewangu nilimshangaa lakini sikutaka ahisi vibaya ilibidi nijikaze nikamwambia na ilikuwaje nikawa mie?
Kasema ndani ya moyo wangu nili wish mume wangu akuchague wewe na aliposema bora wewe ndio nikafurahi zaidi.Waungwana nilimpa maneno mengi yakumpa moyo lakini naomba nisema kua sijakubaliana na ombi lake na nimemwambia anisamehe sitoweza kufanya hicho kitu ila nitamsaidia kwa hali na mali.
Nitamuulizia kwa watu kama kuna tiba lakini kwa mimi siwezi na mumewe pia niliongea nae nikamwambia wanisamehe sitoweza, je nimekosea kuwakatalia?
Sijapenda lakini sina choice naipenda Family yangu sana na hata hili jambo silifikishi kwa Mr.
ala fikra huyo ni Fassikh na muasharati, kaa mbali nae.nilidhani alikua shoga lakini..Inshallah kheir........
mume sidhani sababu alikua anapata mimba na ametoa kama 3 ambazo alizo nambia..
Ahsante sana kwa ushauri nimekubali kila neno lako na mwenyezi mungu akuzidishie Hekima..NIMPENDENANI;
Miye ni mtu namwamini Mungu sana tu. Rafiki yako alitenda kosa ambalo ni mpaka atubu na kumliliya Mungu, huyu mwingi wa rehema amsamehe. Kutoa mimba hata ya mwezi mmoja ni uuaji sawa na kumwua mtu mzima. Hayo siyasemi kama njia ya kumkandia la hasha. Nayasema kwani ndivyo yalivyo.
Sasa, aache kutafuta mkato, amrudiye Mungu kwanza ndipo amtafute mtoto. Akumbuke aliwahi kuwapata akawaua, hata huyo wako akimpata aweza pia kuja kumnyonga usiku. Kama hakuwaogopa wa kwake mwenyewe ni wa mtu baki??
Upuuzi huu wala usijaribu kumwambia Mr. acha hao walioshajikinai wawaze ya kwao. Mimba si haja kubwa samahani lakini useme waweza kuiweka mpaka asubuhi ukaitoa bila mtu kujua. Utaanzaje kujieleza kwa Mr??? Acha kabisa tena mwepuke kama ukoma
Haikua lazima ujibu kama huna lakuongea,sikunyengine kabla hujaanza kubwabwaja soma vizuri habari zikuingie usikurupuke,jaribu kua muungwana na ungepita kimnya kimnya pia ungefanya la maana SANA....siku njema..Kati ya coment za kijinga na hii imo.
Hivi utawezaje kumsaliti mume wako eti umpatie rafk yako mtoto?
Hv kweli umeshindwa kumaliza hili tatzo had ulete huku??
Duuuuuuuuuhhhh!?!?? Kweli wanawake wengne shda tupu.
Nimitihani tuu shosti ya dunia inshallah itaisha,watapata wakwao inshallah..............Wape offer ya yai moja ili wakuze mtoto wao kwenye chupa
Shosti Huyu mdada she is not stupid ni msomi na anajua vile vile nimemwambia all that,lakini anatakanini kwangu sijui.......
NashukuruHaikua lazima ujibu kama huna lakuongea,sikunyengine kabla hujaanza kubwabwaja soma vizuri habari zikuingie usikurupuke,jaribu kua muungwana na ungepita kimnya kimnya pia ungefanya la maana SANA....siku njema..
Habari waungwana,
Nina rafiki yangu lakini tunaishi nchi tofauti tunakutana mara 3-5 kwa mwaka hua mie nikienda nchi anayoishi anakuja kunitembelea na yeye akija ninakoishi anafikia kwangu.Yeye hajabahatika kupata mtoto mwaka wa 5 sasa tangu ameolewa, jana wakati tuna kula akaniomba tuonge kitu muhimu baada ya chakula, nikamwambia inshallah tutaongea.
Basi baada ya chakula na mambo mengine nikaenda kuwalaza watoto nikaenda chumbani kwake haya nimekuja tuongee, basi akanambia kama unavyojua sina mtoto na nimejaribu dawa zote unazozijua za kizungu na miti shamba sijafanikiwa kupata ujauzito sasa tumeshauriyana na mume wangu nikamwambia changua rafiki yangu yoyote mimi nitaongea nae ili atupatie mtoto.
Mie macho niliyatoa nakutetemeka juu, nikamwambia sijafahamu unamaanisha nini ukisema rafiki yako akupe mtoto je unataka nikupe mwanangu ule au vipi? Kasema NO nataka ulale na mumewangu nilimshangaa lakini sikutaka ahisi vibaya ilibidi nijikaze nikamwambia na ilikuwaje nikawa mie?
Kasema ndani ya moyo wangu nili wish mume wangu akuchague wewe na aliposema bora wewe ndio nikafurahi zaidi.Waungwana nilimpa maneno mengi yakumpa moyo lakini naomba nisema kua sijakubaliana na ombi lake na nimemwambia anisamehe sitoweza kufanya hicho kitu ila nitamsaidia kwa hali na mali.
Nitamuulizia kwa watu kama kuna tiba lakini kwa mimi siwezi na mumewe pia niliongea nae nikamwambia wanisamehe sitoweza, je nimekosea kuwakatalia?
Sijapenda lakini sina choice naipenda Family yangu sana na hata hili jambo silifikishi kwa Mr.
kumbe kuna uwezekano huo kwanni asifanye hivyo aende kwa dokta mwaka ampindikizie mbegu za mumewe aweze kuzaaDaah hayo mambo nayaonaga tu kwenye movie kumbe yapo mpe pole sana vp kuhsu njia ya kupandkiziwa mbegu angejaribu pia hyo au kwa dokta mwaka anasaidia weng maombi pia kwa iman yang maombi yanasaidia sana nmeona watu weng wanapata watoto kwa maombi
jamani inawezekana hajawahi kutoa mimba labda ni mambo TU yakawaida usimseme hivyoWamekukosea adabu wewe na familia yako. Mumeo akijua huo upumbavu atajisikia vibaya mno. Watafute njia zingine kama adoption au insemination lakini sio huo upuuzi waliopendekeza kwako.
Kwanza nani alimwambia atoe mimba ujanani, hayo ndio matokeo yake sasa.
kwanini ailimua kufanya hivyo kumbe alitoa mimba sasa hayo majanga yamemtokea kazi ipo amwombe Mungu tu atapata jibu maana hakuna jingine tena hapoAlitoa mimba hata kipindi yuko na huyo mumewe wakati haja muoa,sasaivi anahangaika na i use to her usitoe mimba
sasaivi mume ana m stress anataka mtoto ....