Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

kama una Mr wako tulia na ndoa, hilo ni jipu litatumbuka, heri isingekua na ndoa
 
interesting...
waende Europe hiyo huduma ipo
inaitwa surrogate mother tena linachukuliwa yai lake ..
ni better kuliko hiyo aliyo suggest
 
Good story, lakini imepungukiwa miaka, na mhusika kuwa mke wa mtu.
 
kweli akili za baadhi ya wanawake ni za ajabu-(hata hili jambo silifikishi kwa Mr.) haya maneno ya kwenye mabano naomba kuuliza hivi hata kama mume wako ni mpole au muungwana kama malaika,na hata kama wewe ni jasiri kiasi gani utawezeje kumwambia kitu kama hicho.
 
Mkuu naomba urejee tena hapo nilipojibu hivyo niliulizwa nini mpaka nikajibu hivyo....
 
Nakubali ule msemo asie kujua hakuthamini,mwenyezi mungu akusemehe Inshallah hujui unachokisema..

Best usinune, nauliza tu kishamba, unajua ndo kwanza naanza kuzoea maisha ya mjini, nimeingia juzi...inawezekana vipi mtu anayekuheshimu kisha akuambie jambo lisilo na staha? Unajua hata kwenye dating mabint walotulia wasio na mapepe wanawaogofya mabazazi ila ukikutana na hawa macho juu unakuta ameshajitongozesha...wee mwambie tu hii kitu yako ni kwa matumizi ya mumeo tu,na shemeji yako kama alitumia mwanya huo ili akupe dudu mwambie ajipange upya!
 
Mkuu yani tumeshamalizana na nyumbani kwangu atakuona kama mvungu wa kitanda cha mkwewe marufuku kuchungulia..
Hahahaa...... Mkuu msamehe bure, hakutegemea kama inaweza kuleta effect kama hiyo.
 
Nahisi huyo mume wa rafikiyo alisha kutamani pia tangu awali,.Hilo la kukosa mtt kalichomekea tuu ili akukule bila wasiwasi,...anyway cjajua ni kwa muda gani wamehangaika na kwa namna ipi,ila ni pengine tuu muda wa Mungu aliye hai bado haujafika,.kama ni mkristo hebu amtazame Sara ktk biblia atajifunza kitu,.Amen!!!!
 
kwann wasiende ktk vituo vya kulelea watoto wachukue mtoto mdogo waende kisheria ili awe wao halali
 
Hahahaa...... Mkuu msamehe bure, hakutegemea kama inaweza kuleta effect kama hiyo.
Nimemsamehe lakini ushoga nauishie hapo kanigusa sipo kabisa na amenifikiriaje mpaka akaweza kunambia hivyo..
 
Back
Top Bottom