mwantuitheone
Member
- Oct 31, 2015
- 97
- 17
wamemkosea heshima mme wako sana nilijua labda hujaolewa.
Mkuu mwanamme humtamani mwanamke mara nyingi,lakini yeye ni rafiki yangu na anajua kiasi gani naipenda familia yanguNahisi huyo mume wa rafikiyo alisha kutamani pia tangu awali,.Hilo la kukosa mtt kalichomekea tuu ili akukule bila wasiwasi,...anyway cjajua ni kwa muda gani wamehangaika na kwa namna ipi,ila ni pengine tuu muda wa Mungu aliye hai bado haujafika,.kama ni mkristo hebu amtazame Sara ktk biblia atajifunza kitu,.Amen!!!!
Mkuu nimemwambia hivyo na pia nimemwambia mruhusu mumeo aoe mke wa pili ili mzae mtoto kanambia hunitakii mema,sasa sijui yeye ananitakia mabaya yani basi tushamalizana...kwann wasiende ktk vituo vya kulelea watoto wachukue mtoto mdogo waende kisheria ili awe wao halali
Hana Aibu wala adabu.........kisa anakaa na wazungu ndio anakua na tabia zao lakini sio kweli kaniamulia tuu..wamemkosea heshima mme wako sana nilijua labda hujaolewa.
mke wa pili asioe ataachika na hivi havai ! njia pekee ni kuchukua mtoto na kupata umiliki wake wa kihalali.Mkuu nimemwambia hivyo na pia nimemwambia mruhusu mumeo aoe mke wa pili ili mzae mtoto kanambia hunitakii mema,sasa sijui yeye ananitakia mabaya yani basi tushamalizana...
Muombee tuu Mkuu,.usilifanye liwe jaribu kwako likakukosesha furaha na Amani ktk nyumba yako,.msaidie kama rafiki yako pale unapoweza,ucloliweza liache.Mkuu mwanamme humtamani mwanamke mara nyingi,lakini yeye ni rafiki yangu na anajua kiasi gani naipenda familia yangu
mpaka yeye ananiita zuzu sababu kwangu mimi familia yangu kwanza,mara nyingi napa nafasi yakufanya kazi nje lakini nakataa sababau sipendi kuiwacha familia yangu peke yake,sasa yeye kanigusa pale kwenye kidonda na bado kibichi...
Nini mdogo wangu hata mfanya kazi wangu hampati,kama ndugu yeye pia anao kaamua tuu kunichokoa roho..MPE mdogo wako,
sorry i mean hazai ( badala ya havai)mke wa pili asioe ataachika na hivi havai ! njia pekee ni kuchukua mtoto na kupata umiliki wake wa kihalali.
Siwezi kulifumbia macho jambo linalo nikera,amenikara sana sasa bora niwe nae mbali....Muombee tuu Mkuu,.usilifanye liwe jaribu kwako likakukosesha furaha na Amani ktk nyumba yako,.msaidie kama rafiki yako pale unapoweza,ucloliweza liache.
Sawa,..okoa furaha yako!!!Siwezi kulifumbia macho jambo linalo nikera,amenikara sana sasa bora niwe nae mbali....
Sio siri kwa kitendo hicho kakudharirisha sana.Nimemsamehe lakini ushoga nauishie hapo kanigusa sipo kabisa na amenifikiriaje mpaka akaweza kunambia hivyo..
Pengine alikuwa Na nia njema tu ila wewe ndo umelipokea tofauti, anyway km hakuna jingine alilokutenda km ulivyojieleza usimchukie Rafiki yako bwana,Nini mdogo wangu hata mfanya kazi wangu hampati,kama ndugu yeye pia anao kaamua tuu kunichokoa roho..
Ivi nia njema nikusema anataka nilale na mumewe nipate mimba halafu mtoto niwape wao,wakati anajua nna Mume wangu na amefikia kwangu,huoni kama anajifikiria yeye tuu nafsi yake? ivi mtu unaefikia kwake unaona walivyokua wameridhika walivyo wana furaha zao vp unakuja kusema kitu kama hicho?Pengine alikuwa Na nia njema tu ila wewe ndo umelipokea tofauti, anyway km hakuna jingine alilokutenda km ulivyojieleza usimchukie Rafiki yako bwana,
Msamehe bure nawe utasamehewa alipotokaIvi nia njema nikusema anataka nilale na mumewe nipate mimba halafu mtoto niwape wao,wakati anajua nna Mume wangu na amefikia kwangu,huoni kama anajifikiria yeye tuu nafsi yake? ivi mtu unaefikia kwake unaona walivyokua wameridhika walivyo wana furaha zao vp unakuja kusema kitu kama hicho?
Weye nae ovyo !1 huyo nae wamwita shoga au boya !1 ehat the hell mnafanya urafiki wa aina hiyo?! stahii nafsi yako.Hana Aibu wala adabu.........kisa anakaa na wazungu ndio anakua na tabia zao lakini sio kweli kaniamulia tuu..