Hivi Dr. Mwaka ana utaalamu wa kupandikiza? OMG!!!kumbe kuna uwezekano huo kwanni asifanye hivyo aende kwa dokta mwaka ampindikizie mbegu za mumewe aweze kuzaa
masikini Mungu amtokee dada huyo naona amekata tamaa miaka 5 sio mingi awe mvumilivu na mwenye maombi Mungu atatenda mbona sarai wa ibrahimu alizaa akiwa mzee
nasikiaga ila sijui kwakweli kwani kuna watalaamu wa kupandikiza au inakuwaje mkuu?Hivi Dr. Mwaka ana utaalamu wa kupandikiza? OMG!!!
mie kanikosa asichezee wake wawenzie.Triki ya mume ya kutaka kuwagegeda rafiki wa mke wake
Sidhani sababu last year alikwenda akapewa makopo ya dawa tele,anaishi Europe ana uraiya wa huko anajua nini chakufanyaHivi Dr. Mwaka ana utaalamu wa kupandikiza? OMG!!!
Hayo ndio mayai yake alioandikiwa na mungu.acha dhambi ya kuua imtafunemume sidhani sababu alikua anapata mimba na ametoa kama 3 ambazo alizo nambia..
Inshallah apate mtoto wake mwenyewe...Hayo ndio mayai yake alioandikiwa na mungu.acha dhambi ya kuua imtafune
Hata sijui alifikiria nini mpaka akanambia...mie...Hhahahahahahaha.......umefanya vyema kukataa...wamekudharau sana
Una dawa eeh? ntamwambia akisha poa roho yake manake kwa sasa ana joto..kama bado ana kizazi mwambie anitafute if it's serious
hawana tatizo walishawahi kutoa mimba kama 3 sasa mpaka hapo inaonyesha wazi kua hawana tatizo na sio mwanamke peke yake alokwenda kutoa na mume pia alikua anamwambia hatuko tayari kua na watoto,sasaivi wako tayari na mimba haziko tayari .........
mmm naogopaa,au sijui wameambiwa kua ndio basiiiii hawazai tenaa...Tatizo lipo alipotoa inawezekana hawakua makini wameharibu kizazi
Hata sijui alifikiria nini mpaka akanambia...mie...[/QUOTllE]
lishemeji lako nalo linakumezea mate,ungekua mwepesi saa hizi kishakufunua na mimba hakuna,,kwa ukaribu huu utazaa nae vipi kama sio kutafuta kurogana