Rafiki yangu amekuwa tajiri mkubwa Dodoma, ninafuata njia zake. Tuzifuate

Huna ulijualo, mahindi yananunuliwa kwa kulanguliwa Sasa hivi ili yauzwe mwezi wa 12 au wa kwanza
Pia ni wapi nimesema kamaliza chuo 2018? Hujui kusoma?
 
Mkuu nipo Songea na kilimo cha mahindi ndio kinaniweka mjini ukitaka kulima heka kumi angalau uwe na milioni nne! Hiyo laki sita haitoshi hata kukodia trekta kulima hizo heka ishirini! Huko mnatumia mbinu gani?
Heka 1 trekta inalima kwa 30,000/= tu yan huongez hata 100 hapo kwahiyo hiyo m4 kwa kiteto mzee unaweza kulima heka nyingi sana
Na wakat wanalima unaweka watu wa kupanda trekta ikipita na watu wanapita ghrama n ndogo mno kwa kiteto hela bado ina thaman sana kule ili mtu upate 10k inabid upige kaz sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…