Rafiki wa Mchumba wangu ana shida nimsaidie?

Rafiki wa Mchumba wangu ana shida nimsaidie?

Monaco..

Kiasi fulani cha fedha ni shilingi ngapi??!!!
Isije ikawa kama yule wa zawadi ya 10thou!!!!!
Hebu weka kiasi wazi tujue usije kuwa unakula masaa ya watu kupumzika kumbe pesa uliyoombwa unaweza kutoa na kusamehe tu kama kweli kuna shida!!!!!
Kumbuka watu tumeumbwa kwa haya sasa kumtangaza mtu kakuomba lazima ufikirie ungekuwa wewe ungejisikiaje????

Kumbuka maisha in broad senses ni zaid ya gf na hata ukioa hao rafiki wa mkeo wana sehemu yao katika maisha yenu wakati wa shida na furaha!!!!!

Nakuibia siri; mtoto wa kiume sio kila jambo mbio mbio kushitaki kwa mke au mchumba wako,chuja mambo na ukae ukijua hata yeye sio kila jambo hulileta kwako kama lilivyo la ungekuwa na diary ya majina ya watu wanaomtongoza!!!!!
 
Ni kweli watu 8,Ndo maana mkuu nimeamua kuuchuna kama nimesahau vile,ili yeye mwenyewe ajiongeze,akitaka amwambie rafiki yake ambaye ni gf wangu,ili niipate taarifa toka kweke.nikimsaidia kwa uzuri,siku wakikorofishana akimwambia niliwahi kumsaidia 1,2.bila yeye kujua inaweza kuzua mengi,au kuzua tabia ya kutoaminiana.Thats why mpaka sasa nimeuchuna,leo asubuhi ka beep nimepokea na kumwambia mashine zinanichanganya aniache kwanza,nilikuwa job.

Kama nilivyokuambia mapema sasa na kuku beep anaku beep, ngoja mchumba wako aje aone kuwa mnawasiliana nyuma yake, utaji jj hapo na kujuta kukaa kimya eti unamsoma tabia. Tabia kumsoma kupitia maombi ya rafiki au yeye ndio atajua sio mwaminifu kwake unaficha siri, na kuficha siri uwa kuna kitu. Wewe labda unapenda awe bado rafiki ya mchumba ili uwe unamuona ndio maana unaogopa yeye kumkasirikia. Haujatulia au unamtamani rafiki yake kwa kiaina fulani, sababu sio wako basi umeamua wasigombane uwe unamuona. TAMAA imekuingia.

Mmmh mawasiliano hayo mmmmhhhh hata kama unakuwa mgumu mmmmmhhhhhh
 
Monaco..

Kiasi fulani cha fedha ni shilingi ngapi??!!!
Isije ikawa kama yule wa zawadi ya 10thou!!!!!
Hebu weka kiasi wazi tujue usije kuwa unakula masaa ya watu kupumzika kumbe pesa uliyoombwa unaweza kutoa na kusamehe tu kama kweli kuna shida!!!!!
Kumbuka watu tumeumbwa kwa haya sasa kumtangaza mtu kakuomba lazima ufikirie ungekuwa wewe ungejisikiaje????

Kumbuka maisha in broad senses ni zaid ya gf na hata ukioa hao rafiki wa mkeo wana sehemu yao katika maisha yenu wakati wa shida na furaha!!!!!

Nakuibia siri; mtoto wa kiume sio kila jambo mbio mbio kushitaki kwa mke au mchumba wako,chuja mambo na ukae ukijua hata yeye sio kila jambo hulileta kwako kama lilivyo la ungekuwa na diary ya majina ya watu wanaomtongoza!!!!!

We mdanganye mwenzio tu. Yapo ya kumaliza juu kwa juu lakini sio hili.
 
Hana heshma huyo..Kwa nin asimwambie rafki yke kwanza ndo akuombe...mwambie mchumba wako ajue ndo mshauriane mumpe au laahhh..Wanawake sis ni washenzi sana.

Good point. Kama hana ajenda ya kificho kwa nini 'amruke' shoga yake. Itifaki ni lazima ifuate mkondo hata katika maisha yetu ya kila siku na watu tunaochanganyika nao katika jamii zetu. Na ukiona una rafiki na halieheshimu hilo basi ujue amekosa sifa za kuwa rafiki yako.
 
Sioni sababu ya kujiuliza maswali ya kumsaidia kwani kaeleza matumizi ya fedha na pia hayana uhusiano na fikira zako na walio wengi hapo juu lakini pia hana haja ya kutoa taarifa kwa gf wako kwani kuomba msaada ni personal issue sana na hata hivyo huyo ni gf si mke kwamba lazima mkubaliane juu ya matumizi ya fedha yenu! Kama una nia msaidie na gf wako anamwamini ndio maana alimtaambulisha na bila wasi wasi akaruhusu mkabadilishana namba za simu.
Kujua kama gf wako hataridhika ni vigumu sisi kuelewa kwani uelewa wake hatuufahamu ila sioni tatizo!
 
Duh ....hii hatari kwa kweli!!
Yaani mtu umeombwa msaada tu umekuja kulia huku na huyo rafiki ya gf je angekua mke si ungeenda kwa wazazi!!. Mwanaume maamuzi ila kukaa kimya wakati unajua huwezi mpatia hela ni ushenzi. Mkuu huyo ni gf............
 
Msaidie ww acha sanaa nyingi hapa

Hii comment kiboko. Huyu jamaa kaenda mbali sana. Ila pia huwezi kumlamumu sana maana baadhi ya hawa dada zetu nao saa nyingine wakisaidiwa wenyewe wanawaza kulipa kwa ile njia nyingine.
 
Hii comment kiboko. Huyu jamaa kaenda mbali sana. Ila pia huwezi kumlamumu sana maana baadhi ya hawa dada zetu nao saa nyingine wakisaidiwa wenyewe wanawaza kulipa kwa ile njia nyingine.

Mhhh! mjasiria wewe, nyie wenyewe ndio mnakuwa ving'ang'anizi wa kupewa kwa hyo njia nyingine.
Usitumaanishe hapa...
 
Last edited by a moderator:
[/B][/COLOR]

We mdanganye mwenzio tu. Yapo ya kumaliza juu kwa juu lakini sio hili.

Nimemshauri kwa akili wewe unamshauri kwa moyo ma hisia ndio tofauti yetu kubwa!!!!
Narudia tena kuwa tofauti ya mwanaume na mvulana sio umri!!!!
 
Hii comment kiboko. Huyu jamaa kaenda mbali sana. Ila pia huwezi kumlamumu sana maana baadhi ya hawa dada zetu nao saa nyingine wakisaidiwa wenyewe wanawaza kulipa kwa ile njia nyingine.

Kwa hiyo akiwaza tu kukulipa kwa njia hiyo huku tayari zipu inafunguka dushelele wima na automatically ndani ya papuchi!!! Kwa yeye kuwaza tuuuuu????!!

Hebu kokotoa kwa njia ndefu kama jawabu litabaki hilihili
 
Waadau habari za wkend....
jana meshindwa kumjibu mdada ambae ni rafiki wa karibu na girlfriend wangu,alinipigia simu na kuniomba nimsaidie kiasi flani cha fedha amtoe kuna rafiki yake yupo polisi.
nilimwambia kuna kazi nafanya ntamjibu baadae....
kuna maswali nimejiuliza.
1.kwanini asipitie kwa rafiki yake ambae ni mchumba wangu?
2.nikimsaidia je gf wangu akija kujua si atajua tulikuwa na mahusiano kabla?
3.Nikimwambia gf wangu si ndo anaweza kuzua ugomvui kati yao?
4.niuchune tuuu.
Ungekuwa wewe ungefanyaje?anajua kuwa uwezo wa kumsaidia unao.
ufs:Madame B,Lara1,gfsonwin,Mtambuzi,Paloma,Bujibuji,Watu 8,Snowhite,Munkari,lady Doctor,lady furahia.
CC;Wadau wote waliopo kwenye uhusiano,wanaotegemea kuwa na mahusiano.
Discuss nae mjue mtamhandle vp mchumba wako... Ikiwezekana kubalianeni kwamba mlikutana by chance, katika kupiga stori ndo akakwambia rfk yake yuko selo ukaamua kumsaidia. Mkikubaliana hivyo, mpigie mchuchu wako mwambie umempiga tafu rafk yake ktk mazingira so and so...
 
safi...Ahsante hii imekaa vema sana nimeipenda.....haizui mkwaruzo.political and logical approach.ahsante Tuko.
 
Kama nilivyokuambia mapema sasa na kuku beep anaku beep, ngoja mchumba wako aje aone kuwa mnawasiliana nyuma yake, utaji jj hapo na kujuta kukaa kimya eti unamsoma tabia. Tabia kumsoma kupitia maombi ya rafiki au yeye ndio atajua sio mwaminifu kwake unaficha siri, na kuficha siri uwa kuna kitu. Wewe labda unapenda awe bado rafiki ya mchumba ili uwe unamuona ndio maana unaogopa yeye kumkasirikia. Haujatulia au unamtamani rafiki yake kwa kiaina fulani, sababu sio wako basi umeamua wasigombane uwe unamuona. TAMAA imekuingia.

Mmmh mawasiliano hayo mmmmhhhh hata kama unakuwa mgumu mmmmmhhhhhh
nimekusoma hebu soma maoni ya TUKO,AMEELEZA VEMA SANA,Logic,ambayo ipo haina utata,kwamba mmekutana coincidence akanieleza tatizo nimesolve,kisha nimepigia my gf?huoni hii imekaa vema.
 
Duh ....hii hatari kwa kweli!!
Yaani mtu umeombwa msaada tu umekuja kulia huku na huyo rafiki ya gf je angekua mke si ungeenda kwa wazazi!!. Mwanaume maamuzi ila kukaa kimya wakati unajua huwezi mpatia hela ni ushenzi. Mkuu huyo ni gf............
Angekuwa mke nisinge lia kwasababu madhara yake ni madogo/hakuna kabisa,lakini huyu mwingine ana madhara ktk uhusiano wetu,hii ndio logic behind,wala sio issue ya kulia.
 
Huwezi jua kama ni kweli ana mtu kawekwa kizuizini na polisi au lah, maana kwa shida kubwa kama hiyo nina uhakika angeanza na aliyemzoea zaidi kama rafiki yake mkubwa (gf wako).
USHAURI: Mpe gf wako taarifa (mapema) ukiwa na lengo la kumsaidia huyo rafiki yake, maana girls bwana wana trics zao ambazo ukijakushtuka pamekucha
Ni kweli hii pia nimeipenda,kwasababu huwezi jua kuwa ni kweli mtu kawekwa kizuizini,selo huenda ni mawazo mengine,nilitegemea apitie kwa gf wangu kwanza.
 
Discuss nae mjue mtamhandle vp mchumba wako... Ikiwezekana kubalianeni kwamba mlikutana by chance, katika kupiga stori ndo akakwambia rfk yake yuko selo ukaamua kumsaidia. Mkikubaliana hivyo, mpigie mchuchu wako mwambie umempiga tafu rafk yake ktk mazingira so and so...

Na kama ni syndicate???!!!
Haina ya haja ya ku take sides katika hili yeye mtoto wa kiume ashughulike na tatizo objectively. Wakutane polisi amalize tatizo then kama ni gf atapewa info as if and when need be!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom