Rafiki wa Mchumba wangu ana shida nimsaidie?

Rafiki wa Mchumba wangu ana shida nimsaidie?

Nö 1 apo!
'VOLENT NON FIT INJURIA' = KUSUDI HAIAMBIWI POLE!
Kwa vile ni mpenz wako ndie aliemuunganisha, ukimsaidia kosa lako litakua wapi?
nimsaidie kwa namna gani,nikimsaidia my gf akijua then atanilaumu kwa nini hata sikumwambia hiyo kitu,anaweza kunifikiria tulikuwa tunajambo tunalipanga.
 
Ana lake jambo huyo!
Kama Gf wako ndio aliyewaunganisha basi usimpe,mweleze kwanza Gf wako na mkikubaliana kumsaidia umpe yeye ampelekee, kama uso wake umeumbwa na haya hatorudia.
 
tujibu kwanza hili swali la msingi..
namba kaipata kwa rafiki yake,ambae ni gf wangu na alipewa wakati ana shida fulani kuja kununua bidhaa huku kiwandani hivyo alipewa anitafute akifika kiwandani ninakofanyia kazi.
 
Lol...unaweza ukawa sawa vilevile usiwe sawa best...

Ana lake jambo huyo!
Kama Gf wako ndio aliyewaunganisha basi usimpe,mweleze kwanza Gf wako na mkikubaliana kumsaidia umpe yeye ampelekee, kama uso wake umeumbwa na haya hatorudia.
 
Ana lake jambo huyo!
Kama Gf wako ndio aliyewaunganisha basi usimpe,mweleze kwanza Gf wako na mkikubaliana kumsaidia umpe yeye ampelekee, kama uso wake umeumbwa na haya hatorudia.
asipokubali my gf kumpa mwenzake? mimi sipendi aende aka revenge,kisa umbea wangu kwake,naweza kumweleza vizuri tu,halafu yeye akachanganya na za kwake,akafumuka,kumbe labda ni issue ndogo....nahisi nikimweleza hataweza kuliweka moyoni.
 
Siku hizi maisha ya kawaida hayapo kabisa yani kumsaidia mtu ni ishu ya kujadiliwa.
 
Kuna jambo binafsi nimelifikiria...
Ninadhani huyo shemejiyo anaijua fika tabia ya msichana wako na huenda Gf wako akawa ni mbinafsi au mwenye wivu sana...
Kwa kuepuka hilo ndio maana kaamua kukwepa kupitia kwa Gf wako na kaja kwako moja kwa moja...

Ushauri:
Ongea na Gf kuwa rafikiye ana shida kama alivyokueleza.
Kama ni kutoa msaada au la...basi nyote wawili fikieni uamuzi mmoja.
 
waadau habari za wkend....
Jana meshindwa kumjibu mdada ambae ni rafiki wa karibu na girlfriend wangu,alinipigia simu na kuniomba nimsaidie kiasi flani cha fedha amtoe kuna rafiki yake yupo polisi.
Nilimwambia kuna kazi nafanya ntamjibu baadae....
Kuna maswali nimejiuliza.
1.kwanini asipitie kwa rafiki yake ambae ni mchumba wangu?
2.nikimsaidia je gf wangu akija kujua si atajua tulikuwa na mahusiano kabla?
3.nikimwambia gf wangu si ndo anaweza kuzua ugomvui kati yao?
4.niuchune tuuu.
Ungekuwa wewe ungefanyaje?anajua kuwa uwezo wa kumsaidia unao.
ufs:madame b,lara1,gfsonwin,mtambuzi,paloma,bujibuji,watu 8,snowhite,munkari,lady doctor,lady furahia.
cc;wadau wote waliopo kwenye uhusiano,wanaotegemea kuwa na mahusiano.

mazingira umeyatengeneza mwenyewe ya kuombwa pesa. Acha kuzungukazunguka mwambie ukweli huwezi kumpa apitie kwa gf wako kwanza.
 
asipokubali my gf kumpa mwenzake? mimi sipendi aende aka revenge,kisa umbea wangu kwake,naweza kumweleza vizuri tu,halafu yeye akachanganya na za kwake,akafumuka,kumbe labda ni issue ndogo....nahisi nikimweleza hataweza kuliweka moyoni.

Mwanamke mwenye kushindwa kuvumilia, kuweka kisirani na kukosa hekima na busara wala asikusumbue akili yako...
Wakati huu wa uchumba ndio wakati pekee wa kutambua tabia za ndani na nje za mwenzi wako...
Sasa ili kujua namna ya mtu umwandaaye kuwa mke, bro hii ni moja ya test ya kujua kwa undani mkeo mtarajiwa...
Si kwa hili tu, hata mengineyo test your partner in different angles ili kujua aina ya mtu uliyenaye.
 
Namna tu wadada/wanawake mnavyotoa comments zenu humu...unaweza kupata picha kwa nini huyo mdada hakupitia kwa gf wa monaco.

mazingira umeyatengeneza mwenyewe ya kuombwa pesa. Acha kuzungukazunguka mwambie ukweli huwezi kumpa apitie kwa gf wako kwanza.
 
asipokubali my gf kumpa mwenzake? mimi sipendi aende aka revenge,kisa umbea wangu kwake,naweza kumweleza vizuri tu,halafu yeye akachanganya na za kwake,akafumuka,kumbe labda ni issue ndogo....nahisi nikimweleza hataweza kuliweka moyoni.

Sasa fanya siri halafu huyo rafiki ndio akamwambie GF wako utakuja kufungua thread hapa utuhadithie mziki wake. Wewe una uhakika gani huyo bint ana shida kweli?
 
kuna jambo binafsi nimelifikiria...
Ninadhani huyo shemejiyo anaijua fika tabia ya msichana wako na huenda gf wako akawa ni mbinafsi au mwenye wivu sana...
Kwa kuepuka hilo ndio maana kaamua kukwepa kupitia kwa gf wako na kaja kwako moja kwa moja...

Ushauri:
Ongea na gf kuwa rafikiye ana shida kama alivyokueleza.
Kama ni kutoa msaada au la...basi nyote wawili fikieni uamuzi mmoja.

sasa unafikiri ikiwa gf wake ana wivu atakubaliana na jambo hilo. Yaani mimi nikijua umempigia simu mtu wangu unashida na mawasiliano yangu unayo wewe na yeye mtanitambua walaaaaaaaaai .
 
Lol...unaweza ukawa sawa vilevile usiwe sawa best...

Inawezekana best lakini moyo wa mtu kichaka,vipi kama niko sawa? Ili jamaa awe safe side amweleze tu Gf wake waamue kwa pamoja
 
Ana lake jambo huyo!
Kama Gf wako ndio aliyewaunganisha basi usimpe,mweleze kwanza Gf wako na mkikubaliana kumsaidia umpe yeye ampelekee, kama uso wake umeumbwa na haya hatorudia.

Muache akamtatue aaargh...mfupa hauna ulimi!!!!! akamtatulie shida zake rafiki wa gf wake kwani nini bana
 
Sasa fanya siri halafu huyo rafiki ndio akamwambie GF wako utakuja kufungua thread hapa utuhadithie mziki wake. Wewe una uhakika gani huyo bint ana shida kweli?

Hamna kesi hapo rafiki umlete mwenyewe halafu NIKIMTATUA SHIDA ZAKE uje ubweke kama Mbweha!!!!!????????

Rafiki wa mke ni mke mdogo!!!!
 
Inawezekana best lakini moyo wa mtu kichaka,vipi kama niko sawa? Ili jamaa awe safe side amweleze tu Gf wake waamue kwa pamoja

Soma post yangu ya pili kipenzi...wadada huwa mna gubu sana ujue
 
sasa unafikiri ikiwa gf wake ana wivu atakubaliana na jambo hilo. Yaani mimi nikijua umempigia simu mtu wangu unashida na mawasiliano yangu unayo wewe na yeye mtanitambua walaaaaaaaaai .

Soma post yangu niliyomwandikia monaco...pengine utanielewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom