mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,628
Duh huyo rafiki sio rafiki kwa mchumba wako, na lazima yeye na huyo mwenzke ndio watamwambia mwenza.
Kaa nae mbali mwambie hauna na lazima umwambie rafiki yake. Kwa wewe ulimjua yeye kabla ya mchumba wako? Sasa hii ndio tabia ya wasichana wenye wivu, labda mchumba wako anamwammbia mengi juuu yako nae anataka pesa atumie, hiyo ya kusema rafiki yake etc ni kukukamata.
Sasa ukimpa na usipomwambia mchumba wako kama kweli unampenda basi ndio utakoma jinsi atakavyo tumia hiyo kitu akijua akisema itamuuma na kukuvunjia urafiki.
Kwenye mapenzi marafiki waogope sana esp wa wachuma au wake au gf.
Mwambie hauna, na kabla haujamjibu mwambie mchumba au mpigie umjibu mbele yake then mwambie mchumba asubirie kuona kama hata huyo rafiki yake atasema.
Next time atakuja u*hi kukuvulia nguo huyo. Shida ashindwe kumwambia rafiki yake akimbilie kwako. Ni vizuri umejiuliza mapema kabla haujajiaribia na kumzoesha as kesho atakuja na lingine.
Haya mkimbie na usiwe unamchekea au kupiga nae story mkikutana au mkiwa mmekaa na wako pia kuwa mgumu atakuogopa na kukueshimu. Acha kuwazoesha kukuzoea.