Rafiki wa Mchumba wangu ana shida nimsaidie?

monaco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,184
Reaction score
1,780
Waadau habari za wkend....
jana meshindwa kumjibu mdada ambae ni rafiki wa karibu na girlfriend wangu,alinipigia simu na kuniomba nimsaidie kiasi flani cha fedha amtoe kuna rafiki yake yupo polisi.
nilimwambia kuna kazi nafanya ntamjibu baadae....
kuna maswali nimejiuliza.
1.kwanini asipitie kwa rafiki yake ambae ni mchumba wangu?
2.nikimsaidia je gf wangu akija kujua si atajua tulikuwa na mahusiano kabla?
3.Nikimwambia gf wangu si ndo anaweza kuzua ugomvui kati yao?
4.niuchune tuuu.
Ungekuwa wewe ungefanyaje?anajua kuwa uwezo wa kumsaidia unao.
ufs:Madame B,Lara1,gfsonwin,Mtambuzi,Paloma,Bujibuji,Watu 8,Snowhite,Munkari,lady Doctor,lady furahia.
CC;Wadau wote waliopo kwenye uhusiano,wanaotegemea kuwa na mahusiano.
 
Acha tamaa wewe yani msichana akikuomba tu msaada unaifikiria papuchi yake?
 
Huwezi jua kama ni kweli ana mtu kawekwa kizuizini na polisi au lah, maana kwa shida kubwa kama hiyo nina uhakika angeanza na aliyemzoea zaidi kama rafiki yake mkubwa (gf wako).
USHAURI: Mpe gf wako taarifa (mapema) ukiwa na lengo la kumsaidia huyo rafiki yake, maana girls bwana wana trics zao ambazo ukijakushtuka pamekucha
 
1.Mpe hela
2.wewe umejuaje kama ni rafiki na demu wako?Kama demu wako alikuambia ni rafiki yake,kwa nini wewe uwe na wasiwasi?Vingine si rafiki yake kama uweka mashaka kuwa itakuwaje
3.wewe kaona ndio utakuwa msaada kwake tena unajiuliza uliza,inategemea anakuchukuliaje,usifikir hana akili kukuomba wewe.
4.kwani huyo demu kakuambia usimwambie demu wako?Mpaka uwe na wasiwasi,kwani mahusiano mpaka umpe hela,unaweza ukawa nae mahusiano bila kumpa hela,sasa kwa nini kigezo cha hela ndo pekee kimshitue demu wako
5.kwani demu wako hakuamini kabisa kiasi cha wewe kuhofia,demu wako ukimweleza hatakuamini?kama hamuamini kiasi hiki huo uhusiano ni majanga.
 
Hana heshma huyo..Kwa nin asimwambie rafki yke kwanza ndo akuombe...mwambie mchumba wako ajue ndo mshauriane mumpe au laahhh..Wanawake sis ni washenzi sana.
 
Kaka fanya mpe huo mkwanja kama kazingua majibu baadaye.....anashida so kama unauwezo msaidie ndio ubinadamu
 
Unataka kunambia hana marafiki wengine wakumpa huo msaada zaidi ya wewe? Na mnamazoea ya kiasi gani hadi afikie hatua ya kuomba pesa kwako? kwanini asimwambie huyo rafiki yake kwanza your gf ndipo yeye nawewe mkamsaidia?ama anahisi rafiki yake atambania? Huo ni urafiki wa kinafki binafsi ckubaliani na hilo mazoea hujenga tabia!
 
Hivi wengine msaada huwa mnau-term vipi jamani!!!!!?
 
We toa hizo pesa bwana.....mbaka kaja kwako direct jua kuna7bu iliomfanya asupite nyuma ya mgongo wa girl wako....
 
Waadau habari za wkend....
jana meshindwa kumjibu mdada ambae ni rafiki wa karibu na girlfriend wangu,alinipigia simu na kuniomba nimsaidie kiasi flani cha fedha amtoe kuna rafiki yake yupo polisi.
nilimwambia kuna kazi nafanya ntamjibu baadae....
kuna maswali nimejiuliza.
1.kwanini asipitie kwa rafiki yake ambae ni mchumba wangu?
2.nikimsaidia je gf wangu akija kujua si atajua tulikuwa na mahusiano kabla?
3.Nikimwambia gf wangu si ndo anaweza kuzua ugomvui kati yao?
4.niuchune tuuu.
Ungekuwa wewe ungefanyaje?anajua kuwa uwezo wa kumsaidia unao.
ufs:Madame B,Lara1,gfsonwin,Mtambuzi,Paloma,Bujibuji,Watu 8,Snowhite,Munkari,lady Doctor,lady furahia.
CC;Wadau wote waliopo kwenye uhusiano,wanaotegemea kuwa na mahusiano.

Nö 1 apo!
'VOLENT NON FIT INJURIA' = KUSUDI HAIAMBIWI POLE!
Kwa vile ni mpenz wako ndie aliemuunganisha, ukimsaidia kosa lako litakua wapi?
 
Hana heshma huyo..Kwa nin asimwambie rafki yke kwanza ndo akuombe...mwambie mchumba wako ajue ndo mshauriane mumpe au laahhh..Wanawake sis ni washenzi sana.

Kumbe ni washezi?Dah
 
Waadau habari za wkend....
jana meshindwa kumjibu mdada ambae ni rafiki wa karibu na girlfriend wangu,alinipigia simu na kuniomba nimsaidie kiasi flani cha fedha amtoe kuna rafiki yake yupo polisi.
nilimwambia kuna kazi nafanya ntamjibu baadae....
kuna maswali nimejiuliza.
1.kwanini asipitie kwa rafiki yake ambae ni mchumba wangu?
2.nikimsaidia je gf wangu akija kujua si atajua tulikuwa na mahusiano kabla?
3.Nikimwambia gf wangu si ndo anaweza kuzua ugomvui kati yao?
4.niuchune tuuu.
Ungekuwa wewe ungefanyaje?anajua kuwa uwezo wa kumsaidia unao.
ufs:Madame B,Lara1,gfsonwin,Mtambuzi,Paloma,Bujibuji,Watu 8,Snowhite,Munkari,lady Doctor,lady furahia.
CC;Wadau wote waliopo kwenye uhusiano,wanaotegemea kuwa na mahusiano.
Hana lolote, kwa nini asipitie kwa rafiki yake kwanza? Mie naona anataka UMGEGEDE tu!
 
hana adabu huyu ..changudoa tu huyo
usimpe
 
Hana lolote, kwa nini asipitie kwa rafiki yake kwanza? Mie naona anataka UMGEGEDE tu!
kumgegeda du....ntamdhalilisha my gf,rafiki yake....itakuwa sio fair...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom