Rafiki wa kiume

Unafikili na ww utakuwa na sifa unazozitaja na huyo mwenzio unayemuhitaji ataendana na ww,usiolozeshe sifa unazozihitaji alafu ww huna sifa zitakazomvutia unayemuhitaji,ushauri tafuta mgomba au mdori ndio suluhu kwako
 
jamani kuna watu wanaendelea kunipm hii thread ilishaisha mkataba wake.ila nawashukuru kwa kuonyesha interest
nimeona niweke wazi nisiharibu sifa ya jukwaa sijibu kwa sababu mchakato ulishaisha

mimi ni mwanamke nina miaka 30 niko lonely sana jamani i wish niwe na rafiki wa kuinjoy jamani.awe sirias jamani ninatafuta rafiki wa kiume sio mpenzi wa mambo yafuatayo
1-jmosi tunaenda mlimani city kucheki movie
2-jpili kuogelea beach yeyote na kwenda church asubuhi
3-kushauriana mambo ya maisha
4-asilieleze mambo ya kungonoka
5-asiwe na mpenzi awe single kiukweli kama mimi
6-cost tutashare
7-awe na ka mvuto mrefu black mimi siko mzuri wala mbaya
8-awe na akili ya maisha
9-awe mstaarabu mpole


10- mimi elimu yangu ni ya chuo kikuu
11-awe available wkend zaid cause nafanya kazi
12 -napenda sana soka awe mpenzi wa arsenal na simba
thanx wana jf
leo nafunga application majibu hapahapa jf asanteni
nnnnnnnnnnnnnn
 
huyu nouma ina maana wanaomtokea wote hawamfai hadi apate humu asiye mwona
 
Eti awe single.asiwe na mpenzi....lakini asimweleze kuhusu kungonoka......utata huu..kama humtaki kimapenzi niaje tena ukawa unamlimit asiwe na sketi
 
Wewe utakuwa na shida. Huku kwetu uhaba wa wanawake. Njoo utapata mtu.
 
Sifa zako nzuri na ahadi je nazo nzuri, kumbuka ahadi huenda na vitendo, si maneno mazuri tuuuuuuu,Yawezekana ukamuona unaye mtaka lakini nguvu fulani ya maombi inakusekana, vigezo si silaha ya kufaulu mtihani , kuona wala si kuchukua. bilashaka cm nisuluhisho la karibu
 
JAMANI KUNA WATU WANAENDELEA KUNIPM HII THREAD ILISHAISHA MKATABA WAKE.ILA NAWASHUKURU KWA KUONYESHA INTEREST
NIMEONA NIWEKE WAZI NISIHARIBU SIFA YA JUKWAA SIJIBU KWA SABABU MCHAKATO ULISHAISHA

mimi ni mwanamke nina miaka 30 NIKO LONELY SANA JAMANI I WISH NIWE NA RAFIKI WA KUINJOY JAMANI.AWE SIRIAS JAMANI ninatafuta rafiki wa kiume sio mpenzi wa mambo yafuatayo
1-jmosi tunaenda mlimani city kucheki movie
2-jpili kuogelea beach yeyote na kwenda church asubuhi
3-kushauriana mambo ya maisha
4-asilieleze mambo ya kungonoka
5-asiwe na mpenzi awe single kiukweli kama mimi
6-cost tutashare
7-awe na ka mvuto mrefu black mimi siko mzuri wala mbaya
8-awe na akili ya maisha
9-awe mstaarabu mpole


10- mimi elimu yangu ni ya chuo kikuu
11-awe available wkend zaid cause nafanya kazi
12 -napenda sana soka awe mpenzi wa arsenal na simba
thanx wana jf
LEO NAFUNGA APPLICATION MAJIBU HAPAHAPA JF ASANTENI

mamy pamoja na kwamb ulisha funga thread hii ila no sita na kumi na mbili imenikuna kiukweeee
 
unakumbuka ulivonitosa? mbona now unanimendea mendea? ukisusa wenzio wala meen!
Hahahah...ebu ngoja;
1. jumamosi zote?
2. poa
3. poa
4. hinatokeaga tu..so poa
5. Mh!
6. 50/50 ama? (kwa kuzingatia wewe ndo umetoa ratiba ya wiki na mwenendo mzima wa mahusiano)
7. mtazamo huo tu
8. poa
9. poa
10. Unajua Pale Chuo Kikuu UD, kuna Shule ya msingi Mlimani...kuwa specifi kiasi
11. poa
12. Mh! apo sahau...i gec u r looking for loosers!
POLE and ALLL THE BEST!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom