Rafiki wa kiume

mimi ni mwanamke nina miaka 30 NIKO LONELY SANA JAMANI I WISH NIWE NA RAFIKI WA KUINJOY JAMANI.AWE SIRIAS JAMANI ninatafuta rafiki wa kiume sio mpenzi wa mambo yafuatayo
1-jmosi tunaenda mlimani city kucheki movie
2-jpili kuogelea beach yeyote na kwenda church asubuhi
3-kushauriana mambo ya maisha
4-asilieleze mambo ya kungonoka
5-asiwe na mpenzi awe single kiukweli kama mimi
6-cost tutashare
7-awe na ka mvuto mrefu black mimi siko mzuri wala mbaya
8-awe na akili ya maisha
9-awe mstaarabu mpole

10- mimi elimu yangu ni ya chuo kikuu
11-awe available wkend zaid cause nafanya kazi
12 -napenda sana soka awe mpenzi wa arsenal na simba
thanx wana jf
LEO NAFUNGA APPLICATION MAJIBU HAPAHAPA JF ASANTENI

Najua umeachika je hutaki spare tyre?
 
12 -napenda sana soka awe mpenzi wa arsenal na simba

Hahahahahah samahani sana classmate, ila wewe ni shabiki wa SIMBA NA ARSENAL!???? khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

POLE SANA CLASSMATE...hii wiki yako itakuwa inakuendea vibaya sana...duh!

baba paroko Kaizer, huyu binti anahitaji msaada wako ASAP
Peasant, EMT, Belo ur consolations are called for here...
Wandugu Masanja, Wacha1, kuna mwenzenu mpotevu huku.

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee sori lakini kuna mtu ka-like comment yangu moja huku ndo nkajikuta nimefika hapa!

1392548_810552705651614_217551196_n.jpg
 
Last edited by a moderator:

umepata...?
 
hajapotea huyo wewe muangalie tu utamjuwa karibu

Ninachodhani ni kwamba unajaribu kutafuta ambaye anajaribu kukaribia kuwa na hizo sifa.

Kwangu mengine yote sawa, ila 1, 2 na 12.

1. Jumamosi twende SABATO.
2. Sipendi beach
12. Neno Arsernal ni dhambi kwangu.

UMETHUBUTU, UTAPATA....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom