Rafiki wa kiume

12 -napenda sana soka awe mpenzi wa arsenal na simba

Khe khe khe khe khe ebu tuambie kati ya hawa losers wenzio: Balantanda, Wacha1, Ng'wamapalala, Wandugu Masanja, Richard, jmushi1, Viper, Saint Ivuga,
Ng'wanza Madaso, Oxlade-Chamberlain, mafanikio, Questt, Rejao, bucho, Zizu, Mboko, Adoe, Ulimakafu, kashengo, e2themiza, dp cooper, MwafrikaHalisi, Fekifeki, Lhey ni nani ulikuja kumpata??

Cc: Peasant, Masanilo, Invisible, ANKOJEI, Kongosho et al...

Yani kwa hali hii ya boyfriend sahau kupelekwa movie kila jumamosi wala swimming ni wabahili kama litimu lao...!!!lol

NB: Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ( courtesy of: Wacha1 )
 
Last edited by a moderator:
ahaaaaa mbona nilipata hata dubai shoping nilishapelekwa!huoni nimetulizana siku hizi?

Khe khe khe khe khe ebu tuambie kati ya hawa losers wenzio: Balantanda, Wacha1, Ng'wamapalala, Wandugu Masanja, Richard, jmushi1, Viper, Saint Ivuga,
Ng'wanza Madaso, Oxlade-Chamberlain, mafanikio, Questt, Rejao, bucho, Zizu, Mboko, Adoe, Ulimakafu, kashengo, e2themiza, dp cooper,MwafrikaHalisi, Fekifeki, Lhey ni nani ulikuja kumpata??

Cc: Peasant, Masanilo, Invisible, ANKOJEI, Kongosho et al...

Yani kwa hali hii ya boyfriend sahau kupelekwa movie kila jumamosi wala swimming ni wabahili kama litimu lao...!!!lol

NB: Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ( courtesy of: Wacha1 )
 
ahaaaaa mbona nilipata hata dubai shoping nilishapelekwa!huoni nimetulizana siku hizi?

A wapi..najua anakupelekaga kwa maneno.
Wacha1 : " Smile my dear, next week ntakupeleka shopping mamiieee"
Smile : " Haina shida dadii najua utakuwa umeingiza za kutosha baada ya kuuza ile hammer (RvP) "

Next unashtuka anaingia home na vitz (Podolski)...wikend inafika
Wacha1 : " my dear wiki hii nimejitahidi sales nimempita hadi Peasant (Chelsea) wiki ijayo nampita na Belo (man useless) then tutaenda movie "

Sahau..ila kwa kuwa mnapendana endeleeni kupeana ahadi za next week na next season na ndoto za alinacha.

On the other side: Invisible " CUTE my dear jiandae Alhamisi tunaenda Russia, ilikuwa twende mji wa Kazan but kuna snow sana we won't enjoy the game hun...ila jiandae tu utafurahia mwenyewe"
:yo:
 
Last edited by a moderator:
eheheee wacha majelous wewe/ baby wangu haendeshi vitz!kwanza umesababisha Invisible aje kwenye huu mthread hata yeye nilikuwa namlove kweli nae akanitosa ujue! akadai eti yeye mwanamke
1 nilishatoswa sana humu lakini
! past is past yoo...

Anything to avoid an arsenal fan..

Hell..who in his right mind would date an Arsenal fan?? who??? ( Invisible, u r smart man )

Arsenal fans bana: wabahili, wanajifanya wanawaza kesho kumbe wapi, yani daah kuwa na demu wa asenali jihesabie umaskini maana yeye hawazi maendeleo leo yeye kila siku ni kesho kesho....

Dedication to all Arsenal ladies: Nje ya Box - Nikki wa Pili
 
Last edited by a moderator:
ahahaaa so unadhani nilikosa only cause mimi ni arsenal fan?
Anything to avoid an arsenal fan..

Hell..who in his right mind would date an Arsenal fan?? who??? ( Invisible, u r smart man )

Arsenal fans bana: wabahili, wanajifanya wanawaza kesho kumbe wapi, yani daah kuwa na demu wa asenali jihesabie umaskini maana yeye hawazi maendeleo leo yeye kila siku ni kesho kesho....

Dedication to all Arsenal ladies: Nje ya Box - Nikki wa Pili
 
baby wangu ni man u ila alishanipromise atahamia arsenal soon! simruhusu kushangilia man u. anashangilia arsenal tu siku hizi hata tukifungwa anahuzunika kuliko mimi!jana tungefungwa na ile red card nisingeongea nae wiki nzima.Mungu mkubwa hadi dkk ya tisini tukasalimika

I know u know mpaka ulifika 30+ hujapata ni koz ya uasenali wako..

Hahahahaha...dah umenchekesha sana my diarest Smile... so ni mtotowamjini, Belo, Nzi ama nani??? duh...ajitokeze hapa niwape offer ya lunch Southern Sun aisee...lol.

Did you know hii comment yako can be taken as a joke just as it is..as in, literally!?? dah umenchekesha sana aisee...thanks!!!
 
Last edited by a moderator:
wala sikuwa 30 niliandika hivo cause sikuwa nataka vijana wadogo cause wazushi wengi! kuhusu offer yako dah i wish ungemjua baby wangu ni mtu wa aina gani ..hatuzinguliwi na vioffer vya ivo really!

hahaha...maybe coz bado ana damu ya Man useless, ngoja ahamie Asenali..mamaaaaaa utaikumbuka hii ofa!!!!
 
ahahaa wewe offar zake ni za ukweli nakuambia usipime kabisa..wala zijiulizi mara mbili mbili...nishafika na kutua mizigo yote
 
ahahaa wewe offar zake ni za ukweli nakuambia usipime kabisa..wala zijiulizi mara mbili mbili...nishafika na kutua mizigo yote[/QUOTE Smile Mbebs wa ukweli. We Mkareeeee, bado upo tu na thread yako? Kama vipi JF wakaka wajipange upya. Au vipi Nyani Ngabu?
 
Last edited by a moderator:
I know u know mpaka ulifika 30+ hujapata ni koz ya uasenali wako..

Hahahahaha...dah umenchekesha sana my diarest Smile... so ni mtotowamjini, Belo, Nzi ama nani??? duh...ajitokeze hapa niwape offer ya lunch Southern Sun aisee...lol.

Did you know hii comment yako can be taken as a joke just as it is..as in, literally!?? dah umenchekesha sana aisee...thanks!!!
Siwezi qualify Mentor,Mimi ni ManU na Yanga na siwezi hama
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom