Rafiki wa kiume

Rafiki wa kiume

utapita nae barabarani vp na wewe lizy

Halafu wewe Smile na hivi vi avata vyako hivi ndio maana watu wanakusumbua humu. Hebu weka vya design nyengine bwana, unatesa watu humu.
 
I know u know mpaka ulifika 30+ hujapata ni koz ya uasenali wako..

Hahahahaha...dah umenchekesha sana my diarest Smile... so ni mtotowamjini, Belo, Nzi ama nani??? duh...ajitokeze hapa niwape offer ya lunch Southern Sun aisee...lol.

Did you know hii comment yako can be taken as a joke just as it is..as in, literally!?? dah umenchekesha sana aisee...thanks!!!

:biggrin1: Mentor mimi kuhamia arsenal ni bora nihamie freemason :happy:
 
Last edited by a moderator:
Halafu kumbe tangazo ni la 2011,i hope ulishampata

Ampate wapi mshabiki wa Man Utd aliye tayari kuhamia Arsenal kisa papuchi...sijui!!! labda mzabzab 😛layball:
 
Last edited by a moderator:
Halafu wewe Smile na hivi vi avata vyako hivi ndio maana watu wanakusumbua humu. Hebu weka vya design nyengine bwana, unatesa watu humu.
nawatesaje mkuu?
 
Du nimechelewa dili hili ,hakuna nafasi ya upendeleo
 
Ampate wapi mshabiki wa Man Utd aliye tayari kuhamia Arsenal kisa papuchi...sijui!!! labda mzabzab 😛layball:

hahaha mie kama papuchi anatoa freshy tuu...kwanza mie mpenzi wa football tactics. sina upenzi wa timu hazijanizaa
 
Toka 2011 hadi leo hujapata mdogo wangu Smile?

Usitake kunambia kwamba una gundu kiasi hicho??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom