Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,927
- 183,359
Hahahaaaa!!! Hatukufumaniwa walaaa, baadae sana ndio alikuja gundua kuwa tuliachana sababu ya rafiki yake baada ya kugundua tuna mahusiano. Urafiki kweli ulikufa🙈🙈🙈Kwa kweli utamu unogile, i've never been happier than that time katika mahusiano. Ila ujue nini espy huyo mwana ndio alikuwa soulmate wako bila shaka. Sema mmekutana in a wrong time but ndio hivyo, inakuwaga tamu balaa. Pole kwa fumanizi na nadhani hao mabwana urafiki ulifia hapo!