Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,288
- 18,571
Anajiita prof alvin, labda kaandika kiingreza cha kiprofesa sisi wengine hatuwezi kuelewa😀😀Dah ni shida hizi lugha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anajiita prof alvin, labda kaandika kiingreza cha kiprofesa sisi wengine hatuwezi kuelewa😀😀Dah ni shida hizi lugha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila nanyi mna mabalaa mkiamua kutuchoka!! Kama wewe ulivyonifanyia kwani mimi nilikuwa chanzo? Wanawake kila mtaa🙆🙆🙆Sure..Ukute ye mwenyewe ndo chanzo
Hapo mumeo hajitambui kabisa na inaonyesha wanna mahusiano ya kimapenzi na ndo maana anapelekeshwa ovyo na huyo demu wake Cha muhimu mwombe Mungu Sana amuepushe na hili pepo/demu wake huyo ili mkae na Aman maana Happ kwa sasa huna tofauti na beki 3 pia mpe mumeo atakacho siyo ujidai bize kumbe mwenyewe ukawa ndo tatizo, nawasilisha.Nimekuwa mfuatiliaji wa mikasa ya watu humu leo na mimi nikaona nilete jambo langu linalonitesa kwa muda mrefu ili nijue nini cha kufanya. Mimi ni binti niko ndani ya ndoa, wakati naolewa mume wangu alikua na rafiki yake wa kike ambaye wenyewe wanadai urafiki wao ni wa kawaida tu kwani wanajuana muda mrefu. sasa tatizo huu urafiki wao umekuwa kero kwangu yani ni ule urafiki uliopitiliza kiasi kwamba kilasiku nikiangalia kwenye cm ya Mr lazima nikute wamewasiliana hata mara 50 text ndo usiseme. Kila sehemu wanaenda wote na huyo binti yani kama kumbikumbi mimi niko chuo wakati mwingine nikiwa chuo nikirudi hom namkuta huyo binti na Mr sebuleni inamaana ana courage ya kuja kwangu mimi nikiwa sipo, mara nyingine weekend tuko nyumbani na Mr, binti anampigia Mr cm njoo nyumbani kwangu ule nimepika, mume naye kilasiku lazima aripoti nyumbani kwa binti, mara binti aje nyumbani kumpitia Mr amsindikize sehemu, wakati mwingine tumelala weekend asubuh saa 1 binti kapiga cm kwa mr unafanya nini amka twende kwa fulani {mshikaji wao} yani full tafrani hana adabu kabisa ila nilichogundua ni kua mr nae ndo anampa ujeuri coz kuna kipindi niligombana sana na huyu binti kuhusu tabia zake huwezi amini alinijibu kuwa mimi siwezi kuwatenganisha kamwe nikitaka nimwambie mume wangu ndio ampige yeye marufuku kua na ukaribu nae ila sio mimi. Jamani cm wanapigiana mpaka saa 6 usiku. wenyew wanadai wao ni marafiki wa kawaida tu na hakuna kinachoendelea. nimejaribu kuuvunja urafiki huo unaoniumiza nimeshindwa mimi wenyewe hawana hata habari. Je kuna urafiki wa aina hii kweli kati ya mwanamke na mwanaume tena mume wa mtu? kwanini kusiwe na mipaka jamani..Huyo mwanamke ni mjeuri hatari ukimwambia anakujibu kwa dharau sana, mume naye ndo kwanza hana habari nisaidieni jamani nifanyaje?
Na wewe tafuta rafiki wa kiume na wewe uwe naye close hivyo hivyo!halafu uone na yeye atalichuliaje!
By the way mimi ni rafiki mzuri tu!
Teh teh..Hilo ndo tatizo..Makosa yenu ni wepesi sana kusahau..Ila nanyi mna mabalaa mkiamua kutuchoka!! Kama wewe ulivyonifanyia kwani mimi nilikuwa chanzo? Wanawake kila mtaa[emoji134][emoji134][emoji134]
😂😂😂😂😏Teh teh..Hilo ndo tatizo..Makosa yenu ni wepesi sana kusahau..
You wrote what I have planUkiona manyoya..!
Kwa nini unasema amekosa heshima?Ni kweli uko chuo?
Mbona akili yako ndogo hivi?
Umekosa heshima kwa mmeo kiasi hiki?
Una kasoro gani?
Huyo mmeo naye ni kilaza, kila kitu kina kiasi, watu tuna marafiki kweli lkn twafanya mambo kiasi.
Haifai kumdharau mpenzi kwa kiasi hicho ni hatari kwa afya ya mapenzi na hata yaweza kuleta msiba.
Mwambie mmeo kuwa abaki na rafiki yako wewe endelea na hamsini zako uone reactioñ
Hata muandishi nadhani hajaelewa anamaanisha nini 😀😀😀😀😀😀😀😀😀 aliyeelewa hapa tafadhali.
Hili nalo linawezekana tunaweza kumlaumu jamaa kumbe chanzo ni mke wake.Pole! Jitahidi kuwa karibu na Huyo Dada,lkn nimegundua ww inawezekana unajifanya much know! Haumpi mmeo time ya kuwa na ww mpaka anaona bora kutafuta/kiendeleza company na watu wengine hata baada ya ndoa! Nadhani ww una udhaifu somewhere! Sorry kama nimetumia maneno makali!
Teh teh..Ila ulidanga sana kipindi kile..Yani ningekuwa chizi mapenzi ningerun mental walahi..Bora siku hizi umepunguza..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji57]
Mi sikukosea ni upweke ulinizidia, ulitoroka bila taarifa. Ukijumlisha na hasira za dubai ndio kabisaaaa.
Bro umepigilia msumari wa moto..Katika jicho la tatu ninachokiona ni kwamba hii ndoa yenu haikuwa ya hiari kwa pande zote mbili. Its very possible kwamba uliweka pressure sana katika kuolewa aidha kwa umri ama urefu wa mahusiano yenu ilihali mwenzio hakuwa ameridhia kukuoa na kutulia nawewe kama mume.
Seems kwamba wewe si mwenza sahihi kwake na humpi furaha kwa asilimia zote kama ambavyo huyo best yake anampa na the bad news ni kuwa jamaa anamgonga like serious. Plenty of sex and quality time ya feel me! Wewe umefanikisha kuwa mke kwa sababu umefosi na jamaa hakupendi kama ambavyo ulikuwa unadhani sasa anachofanya ni kudhihirisha hilo waziii kupitia huyo gerofrendi wake na ndicho ambacho kinakuumiza!
To be honest nakuonea huruma sana maana kuachaga uhusiano na mwanamke wa hivyo ni ngumu sana. I had one bestfriend who we turned out to be lovers mpenzi wangu akawa anamjua nikabanwa sana nimuache, haikuwa rahisi maana mtoto ananoga kweli kuanzia looks mpaka characters, very humorous, cute & romantic nikimuangalia mains namuona ng'ombe tu. Bestie felt for me utadhani tumetoka tumbo moja DNA zetu zikawa entwined, basi ni burudani na furaha 24/7 sitaki kumkosa hata kwa sekunde 1, kama sipo nae ujue nachat nae tu siku nzima. Kilichonifanya nimuache ni vile alikuwa na mshkaji wake ambae hawakuwa katika terms nzuri by the time so i was rebounded nikaona nisije kosa bara na pwani nikarudi kwa mainchick wangu! Aliumia sana though maana tulikuwa so deep in love and sex tour!
Hii sms yako ina ukweli aisee hiyo Ndoa ina oneka ya kulazimisha ama huyo urafiki wa hivyo ulikuwepo kabla ya Ndoa akafikili akiingia kwenye Ndoa atapiga mkwara watatengana.Kwani kwenu umeua?hayo ndio madhara ya kutaka kuolewa ili upate urahisi wa maisha na ipo cku utaambiwa ulale sebuleni uwapishe chumba
Yeah ndio ukweli mzee baba, manzi hapendwi ila sasa afanyaje na yeye kapenda basi analalamika tu. Mwisho utafika atatulia tu ila haitakuwa anytime soon labda Geography iwatenganishe maana Biology ilishafeli. Hata manzi yangu alikuwa analalamika na kulia sana ila afanyeje sasa. But at last mambo yalitulia ila nae alikuja kunipiga mchaka mchaka sitamsahau yule mwanamke aisee!Bro umepigilia msumari wa moto..
Nina sababu zangu muhimu sana kusema hayo.Ndo ulichoona[emoji23] [emoji23]
Hahahaaaa!! Acha kunisingizia hata dota Heaven Sent shahidi ulivyokuwa unazurura.🙈🙈🙈🙈Teh teh..Ila ulidanga sana kipindi kile..Yani ningekuwa chizi mapenzi ningerun mental walahi..Bora siku hizi umepunguza..