Wee ndo unamwingiza chaka mazimaNa wewe tafuta rafiki wa kiume na wewe uwe naye close hivyo hivyo!halafu uone na yeye atalichuliaje!
By the way mimi ni rafiki mzuri tu!
Nawewe tafuta rafiki wa kiumeNimekuwa mfuatiliaji wa mikasa ya watu humu leo na mimi nikaona nilete jambo langu linalonitesa kwa muda mrefu ili nijue nini cha kufanya. Mimi ni binti niko ndani ya ndoa, wakati naolewa mume wangu alikua na rafiki yake wa kike ambaye wenyewe wanadai urafiki wao ni wa kawaida tu kwani wanajuana muda mrefu. sasa tatizo huu urafiki wao umekuwa kero kwangu yani ni ule urafiki uliopitiliza kiasi kwamba kilasiku nikiangalia kwenye cm ya Mr lazima nikute wamewasiliana hata mara 50 text ndo usiseme. Kila sehemu wanaenda wote na huyo binti yani kama kumbikumbi mimi niko chuo wakati mwingine nikiwa chuo nikirudi hom namkuta huyo binti na Mr sebuleni inamaana ana courage ya kuja kwangu mimi nikiwa sipo, mara nyingine weekend tuko nyumbani na Mr, binti anampigia Mr cm njoo nyumbani kwangu ule nimepika, mume naye kilasiku lazima aripoti nyumbani kwa binti, mara binti aje nyumbani kumpitia Mr amsindikize sehemu, wakati mwingine tumelala weekend asubuh saa 1 binti kapiga cm kwa mr unafanya nini amka twende kwa fulani {mshikaji wao} yani full tafrani hana adabu kabisa ila nilichogundua ni kua mr nae ndo anampa ujeuri coz kuna kipindi niligombana sana na huyu binti kuhusu tabia zake huwezi amini alinijibu kuwa mimi siwezi kuwatenganisha kamwe nikitaka nimwambie mume wangu ndio ampige yeye marufuku kua na ukaribu nae ila sio mimi. Jamani cm wanapigiana mpaka saa 6 usiku. wenyew wanadai wao ni marafiki wa kawaida tu na hakuna kinachoendelea. nimejaribu kuuvunja urafiki huo unaoniumiza nimeshindwa mimi wenyewe hawana hata habari. Je kuna urafiki wa aina hii kweli kati ya mwanamke na mwanaume tena mume wa mtu? kwanini kusiwe na mipaka jamani..Huyo mwanamke ni mjeuri hatari ukimwambia anakujibu kwa dharau sana, mume naye ndo kwanza hana habari nisaidieni jamani nifanyaje?
Kuumizwa ni jambo la kawaida kwa kila binadamu lakini kuendelea kuvumilia kuumizwa ni uamzi wako mwenyewe.Nimekuwa mfuatiliaji wa mikasa ya watu humu leo na mimi nikaona nilete jambo langu linalonitesa kwa muda mrefu ili nijue nini cha kufanya. Mimi ni binti niko ndani ya ndoa, wakati naolewa mume wangu alikua na rafiki yake wa kike ambaye wenyewe wanadai urafiki wao ni wa kawaida tu kwani wanajuana muda mrefu. sasa tatizo huu urafiki wao umekuwa kero kwangu yani ni ule urafiki uliopitiliza kiasi kwamba kilasiku nikiangalia kwenye cm ya Mr lazima nikute wamewasiliana hata mara 50 text ndo usiseme. Kila sehemu wanaenda wote na huyo binti yani kama kumbikumbi mimi niko chuo wakati mwingine nikiwa chuo nikirudi hom namkuta huyo binti na Mr sebuleni inamaana ana courage ya kuja kwangu mimi nikiwa sipo, mara nyingine weekend tuko nyumbani na Mr, binti anampigia Mr cm njoo nyumbani kwangu ule nimepika, mume naye kilasiku lazima aripoti nyumbani kwa binti, mara binti aje nyumbani kumpitia Mr amsindikize sehemu, wakati mwingine tumelala weekend asubuh saa 1 binti kapiga cm kwa mr unafanya nini amka twende kwa fulani {mshikaji wao} yani full tafrani hana adabu kabisa ila nilichogundua ni kua mr nae ndo anampa ujeuri coz kuna kipindi niligombana sana na huyu binti kuhusu tabia zake huwezi amini alinijibu kuwa mimi siwezi kuwatenganisha kamwe nikitaka nimwambie mume wangu ndio ampige yeye marufuku kua na ukaribu nae ila sio mimi. Jamani cm wanapigiana mpaka saa 6 usiku. wenyew wanadai wao ni marafiki wa kawaida tu na hakuna kinachoendelea. nimejaribu kuuvunja urafiki huo unaoniumiza nimeshindwa mimi wenyewe hawana hata habari. Je kuna urafiki wa aina hii kweli kati ya mwanamke na mwanaume tena mume wa mtu? kwanini kusiwe na mipaka jamani..Huyo mwanamke ni mjeuri hatari ukimwambia anakujibu kwa dharau sana, mume naye ndo kwanza hana habari nisaidieni jamani nifanyaje?
Alikuwa Na urafiki kabla ata ajafunga ndoa Na wewe . Utamchagulia mpaka lini mumeo marafiki ... Lipiza Basi nayeye aumie si 50/50 .. mpe limbwata awe zuzu Na akiwa zuzu yeye Na kizazi chake watoto wenu watakuwa masikini mbwa milele amini ... Dai talaka Basi ...ko kama nimefunga ndoa Na ww nisiambatane Na rafiki zangu ... Kunywa sumu Basi ...jichome kisu Basi
Bi dada jifunze mumeo anapenda nini umkeep nacho busy akose muda na bestbyake mdoho mdogo wataachana, kiufupi yakupasa ujifunze kwa huyo dada ana nini mumeo anachokipenda na hakimchoshi. Japo ukweli mchungu ni kwamba mumeo anampenda huyo dada sema walianza kuwa marafiki akashindwa kupendeza mapenzi but deep down humwambii kitu.
Mtu yoyote huwa busy na kitu akipendachoHauwezi kumkeep mtu busy kama hajaamua,
Mabadiliko ya mtu yapo ndani yake!
Nadhani umri nao unachangia a matured man wouldn't treat his lady like this
[emoji106]Na wewe tafuta rafiki wa kiume na wewe uwe naye close hivyo hivyo!halafu uone na yeye atalichuliaje!
By the way mimi ni rafiki mzuri tu!
Bila shaka wewe ndo rafiki mwenyewe maana sio kwa povu hiliAlikuwa Na urafiki kabla ata ajafunga ndoa Na wewe . Utamchagulia mpaka lini mumeo marafiki ... Lipiza Basi nayeye aumie si 50/50 .. mpe limbwata awe zuzu Na akiwa zuzu yeye Na kizazi chake watoto wenu watakuwa masikini mbwa milele amini ... Dai talaka Basi ...ko kama nimefunga ndoa Na ww nisiambatane Na rafiki zangu ... Kunywa sumu Basi ...jichome kisu Basi
Mweeh na itakuwa yeyeBila shaka wewe ndo rafiki mwenyewe maana sio kwa povu hili
Hahahaa umeona eehMweeh na itakuwa yeye
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mambo mengine bwana!yanachefua..yanasononesha.yanakarahisha!huyo dada mkabidhi kwa@MadameB..ya nn usumbuke