Rafiki wa kike wa mume wangu ananitesa

Rafiki wa kike wa mume wangu ananitesa

Kama ni kweli hili linakutokea mtakuwa hampo vizuri na mumeo kimahusiano.....!

Au kuna kitu nawewe ulimkosea ndio maana anapata kiburi cha kukufanyia hivyo.
 
Kazi unayo,cha kukusaidia mwambie mdada atafute company ambayo ipo single kama yeye
 
Duh! mumeo anakuchukulia poa sana aisee, mwambie tu kuwa hupendezwi na huo urafiki wao, then weka limits of what they can be able to do.
Sasa kama ni rafiki ake na wanapendana hivyo, wanataniana hivyo, iv unafikiri usipokuepo eg. kwa wiki moja, atashindwa nini kusex nae?
Binafsi huwa nashindwa kuamini kama kuna urafiki wa kawaida wenye mazoea makubwa kiasi hicho kati ya me na ke.

Chukua~Hatua
 
Sasa kama kuna uhusiano si angeolewa huyo rafiki ambae alikuwepo kabla yako. Usikute huyo rafiki ndie alie weka Ok wewe kuolewa, hivi wewe na mumeo huwa mnatext mara ngapi kwa siku? Mnapigia simu mara ngapi? Maongezi yenu yanaendana? Ukimuona mwanaume yupo kwa mwanamke mwengine ujuwe anayofanyiwa ndio mapungufu yako.


Ndukiiiii [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Huyu kuna jambo Hajaliweka wazi

Hizi ndoa za kushikana kwa nguvu matokeo ndio haya

Unaolewa wewe, moyo uko kwa mwingine
 
Mua haujawahi kuwa mkongojo nabukadumu. Kilichopo hapo hao ni washikaji with benefits, wanatiana trust me. Ila wamekubaliana kuwa haina future. Wewe hata upandishe mashetani vip inaonekana huna ubavu ndio maana hawakuogopi. Unachoweza fanya....kama hujazaa mweleze wazi kuwa huna furaha na kinacho endelea na kama unaweza tishia kuomba taraka uone atasemaje. Ukiona hajali omba kweli kwa kumaanisha. Tunaishi mara moja pekee, utapata vidonda vya tumbo bule ukufe bila sababu
 
Sijui wewe ni mwanamke wa Karine gani.
Mpaka hapo hujui nini kinaendelea.
Yaani angekuwa Ndo mume wangu mimi. Angechagua moja. Abaki na mimi au huyo rafiki yake wa kike.
Sasa hapo umeolewa au wewe ni mfanya kazi wake wa ndani??
Ukute ndoa haikuwa na maridhiano, anaogopa kumwambia achague moja anajua kabisa ndio kitu mume anakisubiri

Ukiwa na udhaifu hunaga ujasiri wa kuvimba

Huyu shida yake anaijua anatusumbua tu hapa kutuomba ushauri
 
Ili swali kakujibu??..kuna tatizo sehemu..Ukute binti aliforce ndoa..Ndo jamaa kaamua kumletea mapichapicha..Na unaweza kuta huyo rafiki jamaa anamuweka karibu tu kwa nia ya kumuumiza mke wake
Hajanijibu au labda kajibu ila sijaona, hapa kuna tatizo mahali kwakweli. Kuna vitu haviingii akilini kabisa.
 
Aliumbwa Adamu na Hawa Hapa. Muhesjimu mumeo kama hakuna unachokihitaji na akakunyima.
 
Back
Top Bottom