Amemdhalilishaje mume?Ni kweli uko chuo?
Mbona akili yako ndogo hivi?
Umekosa heshima kwa mmeo kiasi hiki?
Una kasoro gani?
Huyo mmeo naye ni kilaza, kila kitu kina kiasi, watu tuna marafiki kweli lkn twafanya mambo kwa kiasi.
Haifai kumdharau mpenzi kwa kiasi hicho ni hatari kwa afya ya mapenzi na hata yaweza kuleta msiba.
Mwambie mmeo kuwa abaki na rafiki yako wewe endelea na hamsini zako uone reactioñ
Hii ni zaidi ya tibaNa wewe tafuta rafiki wa kiume na wewe uwe naye close hivyo hivyo!halafu uone na yeye atalichuliaje!
By the way mimi ni rafiki mzuri tu!
mume ndiye anayemdhalilisha huyu dada, nami namuuliza ana tatizo gani hadi avumilie mateso hayo?Amemdhalilishaje mume?
Okay nilielewa tofauti.mume ndiye anayemdhalilisha huyu dada, nami namuuliza ana tatizo gani hadi avumilie mateso hayo?
kabisaOkay nilielewa tofauti.
Ndoa Zina mengi King
Iko hivi..... Rafiki wa bf wangu aligeuka kuwa best friend wangu. Then ubest ukazaa feelings kali kweli kweli. Tukashindwa kujizuia, ikabidi nimuache bf niwe na rafiki yake[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Hahahaa pole dada. Umenikumbusha mie nililetewa kabisa ndani tuishi nae tena bila taarifa. Nilipotaka binti aondoke nikaambiwa ntaondoka mimi binti ndo amefika na ole wangu nimguse au kumsumbua ntajuta kuzaliwa!!!
Hilo sakata mlilimalizaje?
hii ndo dawa kwingine atazunguka sana!Na wewe tafuta rafiki wa kiume na wewe uwe naye close hivyo hivyo!halafu uone na yeye atalichuliaje!
By the way mimi ni rafiki mzuri tu!
yawezekana huyu ndo alimwibia mwenzake sasa wameamua warudiane, maana anadai ni marafiki kitambo kabla hajaolewa!Ungeelezea kwanza mahusiano yako na mumeo kidogo, mazingira yalopelekea mkaoana nk maybe mada ingeeleweka.
Hii ndoa yenu hamheshimiani kabisa.
Aisee Dada kama unataka usiendelee kuteseka chukuwa huu ushauri tena wew toa hadi papuchiNa wewe tafuta rafiki wa kiume na wewe uwe naye close hivyo hivyo!halafu uone na yeye atalichuliaje!
By the way mimi ni rafiki mzuri tu!
Alikuwa Na urafiki kabla ata ajafunga ndoa Na wewe . Utamchagulia mpaka lini mumeo marafiki ... Lipiza Basi nayeye aumie si 50/50 .. mpe limbwata awe zuzu Na akiwa zuzu yeye Na kizazi chake watoto wenu watakuwa masikini mbwa milele amini ... Dai talaka Basi ...ko kama nimefunga ndoa Na ww nisiambatane Na rafiki zangu ... Kunywa sumu Basi ...jichome kisu Basi
Huna mume hapo jipange na maisha mapya achana nae hakufaiNimekuwa mfuatiliaji wa mikasa ya watu humu leo na mimi nikaona nilete jambo langu linalonitesa kwa muda mrefu ili nijue nini cha kufanya. Mimi ni binti niko ndani ya ndoa, wakati naolewa mume wangu alikua na rafiki yake wa kike ambaye wenyewe wanadai urafiki wao ni wa kawaida tu kwani wanajuana muda mrefu. sasa tatizo huu urafiki wao umekuwa kero kwangu yani ni ule urafiki uliopitiliza kiasi kwamba kilasiku nikiangalia kwenye cm ya Mr lazima nikute wamewasiliana hata mara 50 text ndo usiseme. Kila sehemu wanaenda wote na huyo binti yani kama kumbikumbi mimi niko chuo wakati mwingine nikiwa chuo nikirudi hom namkuta huyo binti na Mr sebuleni inamaana ana courage ya kuja kwangu mimi nikiwa sipo, mara nyingine weekend tuko nyumbani na Mr, binti anampigia Mr cm njoo nyumbani kwangu ule nimepika, mume naye kilasiku lazima aripoti nyumbani kwa binti, mara binti aje nyumbani kumpitia Mr amsindikize sehemu, wakati mwingine tumelala weekend asubuh saa 1 binti kapiga cm kwa mr unafanya nini amka twende kwa fulani {mshikaji wao} yani full tafrani hana adabu kabisa ila nilichogundua ni kua mr nae ndo anampa ujeuri coz kuna kipindi niligombana sana na huyu binti kuhusu tabia zake huwezi amini alinijibu kuwa mimi siwezi kuwatenganisha kamwe nikitaka nimwambie mume wangu ndio ampige yeye marufuku kua na ukaribu nae ila sio mimi. Jamani cm wanapigiana mpaka saa 6 usiku. wenyew wanadai wao ni marafiki wa kawaida tu na hakuna kinachoendelea. nimejaribu kuuvunja urafiki huo unaoniumiza nimeshindwa mimi wenyewe hawana hata habari. Je kuna urafiki wa aina hii kweli kati ya mwanamke na mwanaume tena mume wa mtu? kwanini kusiwe na mipaka jamani..Huyo mwanamke ni mjeuri hatari ukimwambia anakujibu kwa dharau sana, mume naye ndo kwanza hana habari nisaidieni jamani nifanyaje?
Hahaha, sweetheart utanichanganya na rafiki yangu asee!!!Hahahaaa!! Sweetheart nakusalimia.
Dua la kuku.Na yeye kuba siku akikuona ukoclose na mwanaume mwingine utaachwa. Historia yako itakuja kukuhukumu
Inawezekana pia.yawezekana huyu ndo alimwibia mwenzake sasa wameamua warudiane, maana anadai ni marafiki kitambo kabla hajaolewa!
ndoa now days ni kama mtego!