Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,444
๐๐๐๐๐Hahaha, sweetheart utanichanganya na rafiki yangu asee!!!
Sitakuchanganya baby, nikiona hali inakuwa mbaya nitakuacha tu ili niwe nae๐๐๐
๐๐๐๐๐Hahaha, sweetheart utanichanganya na rafiki yangu asee!!!
Simple, tafuta jamaa muelewa chuo muwe mnasoma wote. Weekend saa moja akupigie na aje akupitie muende discussion. Mume akitoka job awakute sebuleni mnasoma zenu na story kwa mbali. Akienda kula kwa binti, we pika mwite jamaa ale. He'll understandNimekuwa mfuatiliaji wa mikasa ya watu humu leo na mimi nikaona nilete jambo langu linalonitesa kwa muda mrefu ili nijue nini cha kufanya. Mimi ni binti niko ndani ya ndoa, wakati naolewa mume wangu alikua na rafiki yake wa kike ambaye wenyewe wanadai urafiki wao ni wa kawaida tu kwani wanajuana muda mrefu. sasa tatizo huu urafiki wao umekuwa kero kwangu yani ni ule urafiki uliopitiliza kiasi kwamba kilasiku nikiangalia kwenye cm ya Mr lazima nikute wamewasiliana hata mara 50 text ndo usiseme. Kila sehemu wanaenda wote na huyo binti yani kama kumbikumbi mimi niko chuo wakati mwingine nikiwa chuo nikirudi hom namkuta huyo binti na Mr sebuleni inamaana ana courage ya kuja kwangu mimi nikiwa sipo, mara nyingine weekend tuko nyumbani na Mr, binti anampigia Mr cm njoo nyumbani kwangu ule nimepika, mume naye kilasiku lazima aripoti nyumbani kwa binti, mara binti aje nyumbani kumpitia Mr amsindikize sehemu, wakati mwingine tumelala weekend asubuh saa 1 binti kapiga cm kwa mr unafanya nini amka twende kwa fulani {mshikaji wao} yani full tafrani hana adabu kabisa ila nilichogundua ni kua mr nae ndo anampa ujeuri coz kuna kipindi niligombana sana na huyu binti kuhusu tabia zake huwezi amini alinijibu kuwa mimi siwezi kuwatenganisha kamwe nikitaka nimwambie mume wangu ndio ampige yeye marufuku kua na ukaribu nae ila sio mimi. Jamani cm wanapigiana mpaka saa 6 usiku. wenyew wanadai wao ni marafiki wa kawaida tu na hakuna kinachoendelea. nimejaribu kuuvunja urafiki huo unaoniumiza nimeshindwa mimi wenyewe hawana hata habari. Je kuna urafiki wa aina hii kweli kati ya mwanamke na mwanaume tena mume wa mtu? kwanini kusiwe na mipaka jamani..Huyo mwanamke ni mjeuri hatari ukimwambia anakujibu kwa dharau sana, mume naye ndo kwanza hana habari nisaidieni jamani nifanyaje?
Case cloasedNa wewe tafuta rafiki wa kiume na wewe uwe naye close hivyo hivyo!halafu uone na yeye atalichuliaje!
By the way mimi ni rafiki mzuri tu!
Huwa siachwi!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitakuchanganya baby, nikiona hali inakuwa mbaya nitakuacha tu ili niwe nae[emoji12][emoji12][emoji12]
Basi mpenzi itabidi niibe kwa akili.Huwa siachwi!!!
Na wewe tafuta rafiki wa kiume na wewe uwe naye close hivyo hivyo!halafu uone na yeye atalichuliaje!
By the way mimi ni rafiki mzuri tu!
Nimekuwa mfuatiliaji wa mikasa ya watu humu leo na mimi nikaona nilete jambo langu linalonitesa kwa muda mrefu ili nijue nini cha kufanya. Mimi ni binti niko ndani ya ndoa, wakati naolewa mume wangu alikua na rafiki yake wa kike ambaye wenyewe wanadai urafiki wao ni wa kawaida tu kwani wanajuana muda mrefu. sasa tatizo huu urafiki wao umekuwa kero kwangu yani ni ule urafiki uliopitiliza kiasi kwamba kilasiku nikiangalia kwenye cm ya Mr lazima nikute wamewasiliana hata mara 50 text ndo usiseme. Kila sehemu wanaenda wote na huyo binti yani kama kumbikumbi mimi niko chuo wakati mwingine nikiwa chuo nikirudi hom namkuta huyo binti na Mr sebuleni inamaana ana courage ya kuja kwangu mimi nikiwa sipo, mara nyingine weekend tuko nyumbani na Mr, binti anampigia Mr cm njoo nyumbani kwangu ule nimepika, mume naye kilasiku lazima aripoti nyumbani kwa binti, mara binti aje nyumbani kumpitia Mr amsindikize sehemu, wakati mwingine tumelala weekend asubuh saa 1 binti kapiga cm kwa mr unafanya nini amka twende kwa fulani {mshikaji wao} yani full tafrani hana adabu kabisa ila nilichogundua ni kua mr nae ndo anampa ujeuri coz kuna kipindi niligombana sana na huyu binti kuhusu tabia zake huwezi amini alinijibu kuwa mimi siwezi kuwatenganisha kamwe nikitaka nimwambie mume wangu ndio ampige yeye marufuku kua na ukaribu nae ila sio mimi. Jamani cm wanapigiana mpaka saa 6 usiku. wenyew wanadai wao ni marafiki wa kawaida tu na hakuna kinachoendelea. nimejaribu kuuvunja urafiki huo unaoniumiza nimeshindwa mimi wenyewe hawana hata habari. Je kuna urafiki wa aina hii kweli kati ya mwanamke na mwanaume tena mume wa mtu? kwanini kusiwe na mipaka jamani..Huyo mwanamke ni mjeuri hatari ukimwambia anakujibu kwa dharau sana, mume naye ndo kwanza hana habari nisaidieni jamani nifanyaje?
Umewaza mbali sana ingawa inawezekana pia manake huo urafiki kma jamaa hamtii bac anaweza kua dalali wakePole kwa unayopitia. Mumeo ana umri Gani?. Anafanya kazi gani?. Makuzi yake yalikuwaje?. Amesoma shule zipi?.
What if ni SHOGA na huyo mdada ni confidant wake na Dalali wake?.
Ushoga Tz upo ila wengi ( hasa wenye kipato na social protection) kuwatambua sio rahisi.
Tabia za kuwa na urafiki na jinsia tofauti uliopitiliza ni dalili mojawapo ya ushoga au wasagaji.
Unapomweka katika mizani ya ushoga how do you rate him?. How is his underpants? Frequently soiled?.
Samahani huo ndio mtazamo wangu hata kama unakera, it is of value looking into it.
Na wewe tafuta rafiki wa kiume na wewe uwe naye close hivyo hivyo!halafu uone na yeye atalichuliaje!
By the way mimi ni rafiki mzuri tu!