Rafiki wa kike wa mume wangu ananitesa

Rafiki wa kike wa mume wangu ananitesa

Pole Sana ndoa zinachangamoto nyingi Sana hii unaweza Iona kubwa ila kuna makubwa zaidi ya hayo yako.

,Kama unaona huwezi kuvunja hayo mahusiano, bado unaipenda ndoa yako jifunze kudharau, mdharau mumeo na huyo Dada, simu ya mumeo Ione Kama Bomu LA machozi, kuwa busy na maisha yako hapo nyumbani na chuoni. Akiwa busy na simu yake usiku na wewe washa yako cheza hata game ya nyoka . Vaa vizuri pendeza weekend tafuta mitoko huna ,nenda chuo huko kazuge zuge.

Usimuulize chochote kuhusu huyo rafiki yake jifanye Kama huoni japo inauma ila ndio dawa kadri unavyolizungumzia hill swala yeye anapata kiburi na sifa .

Badilisha mfumo wa maisha yako , iko siku atakuuliza au kukudodosa kwanini huna habari naye humfatilii jibu ni moja siwezi kuwafatilia MTU na rafiki yake. Huku ukiendelea na utaratibu wako wa awali .
 
Nimekuwa mfuatiliaji wa mikasa ya watu humu leo na mimi nikaona nilete jambo langu linalonitesa kwa muda mrefu ili nijue nini cha kufanya. Mimi ni binti niko ndani ya ndoa, wakati naolewa mume wangu alikua na rafiki yake wa kike ambaye wenyewe wanadai urafiki wao ni wa kawaida tu kwani wanajuana muda mrefu. sasa tatizo huu urafiki wao umekuwa kero kwangu yani ni ule urafiki uliopitiliza kiasi kwamba kilasiku nikiangalia kwenye cm ya Mr lazima nikute wamewasiliana hata mara 50 text ndo usiseme. Kila sehemu wanaenda wote na huyo binti yani kama kumbikumbi mimi niko chuo wakati mwingine nikiwa chuo nikirudi hom namkuta huyo binti na Mr sebuleni inamaana ana courage ya kuja kwangu mimi nikiwa sipo, mara nyingine weekend tuko nyumbani na Mr, binti anampigia Mr cm njoo nyumbani kwangu ule nimepika, mume naye kilasiku lazima aripoti nyumbani kwa binti, mara binti aje nyumbani kumpitia Mr amsindikize sehemu, wakati mwingine tumelala weekend asubuh saa 1 binti kapiga cm kwa mr unafanya nini amka twende kwa fulani {mshikaji wao} yani full tafrani hana adabu kabisa ila nilichogundua ni kua mr nae ndo anampa ujeuri coz kuna kipindi niligombana sana na huyu binti kuhusu tabia zake huwezi amini alinijibu kuwa mimi siwezi kuwatenganisha kamwe nikitaka nimwambie mume wangu ndio ampige yeye marufuku kua na ukaribu nae ila sio mimi. Jamani cm wanapigiana mpaka saa 6 usiku. wenyew wanadai wao ni marafiki wa kawaida tu na hakuna kinachoendelea. nimejaribu kuuvunja urafiki huo unaoniumiza nimeshindwa mimi wenyewe hawana hata habari. Je kuna urafiki wa aina hii kweli kati ya mwanamke na mwanaume tena mume wa mtu? kwanini kusiwe na mipaka jamani..Huyo mwanamke ni mjeuri hatari ukimwambia anakujibu kwa dharau sana, mume naye ndo kwanza hana habari nisaidieni jamani nifanyaje?
Unasema wewe ni binti halafu umeolewa, una maana hujawahi kuingiliwa, hata na mume aliyekuoa?
 
Ungeelezea kwanza mahusiano yako na mumeo kidogo, mazingira yalopelekea mkaoana nk maybe mada ingeeleweka.
Hii ndoa yenu hamheshimiani kabisa.
AU inawezekana binti ni hohehahe na jamaa na pesa.
 
Mpendwa nimekuhamu
Dada

Huna rafiki wa kiume?????

Yaani anayoyafanya mumeo na rafiki yake wewe umfanyie na nyongeza

Wakati mwingine mpe mtu taste of his own medicine

Ukishindwa sepa mwbie aendelee na rafiki yake wasikuzeeshe
 
Swali la msingi je uliolewa bila kumjua mtu wako,?? Ninaamini mlianzia kwenye ucbumba... je wakati wa uchumba hili hukuliona???

Kama uliliona na ukalipuuzia kama ambavo watu wengi hupuuzia small things, its your faults.
 
Nimekuwa mfuatiliaji wa mikasa ya watu humu leo na mimi nikaona nilete jambo langu linalonitesa kwa muda mrefu ili nijue nini cha kufanya. Mimi ni binti niko ndani ya ndoa, wakati naolewa mume wangu alikua na rafiki yake wa kike ambaye wenyewe wanadai urafiki wao ni wa kawaida tu kwani wanajuana muda mrefu. sasa tatizo huu urafiki wao umekuwa kero kwangu yani ni ule urafiki uliopitiliza kiasi kwamba kilasiku nikiangalia kwenye cm ya Mr lazima nikute wamewasiliana hata mara 50 text ndo usiseme. Kila sehemu wanaenda wote na huyo binti yani kama kumbikumbi mimi niko chuo wakati mwingine nikiwa chuo nikirudi hom namkuta huyo binti na Mr sebuleni inamaana ana courage ya kuja kwangu mimi nikiwa sipo, mara nyingine weekend tuko nyumbani na Mr, binti anampigia Mr cm njoo nyumbani kwangu ule nimepika, mume naye kilasiku lazima aripoti nyumbani kwa binti, mara binti aje nyumbani kumpitia Mr amsindikize sehemu, wakati mwingine tumelala weekend asubuh saa 1 binti kapiga cm kwa mr unafanya nini amka twende kwa fulani {mshikaji wao} yani full tafrani hana adabu kabisa ila nilichogundua ni kua mr nae ndo anampa ujeuri coz kuna kipindi niligombana sana na huyu binti kuhusu tabia zake huwezi amini alinijibu kuwa mimi siwezi kuwatenganisha kamwe nikitaka nimwambie mume wangu ndio ampige yeye marufuku kua na ukaribu nae ila sio mimi. Jamani cm wanapigiana mpaka saa 6 usiku. wenyew wanadai wao ni marafiki wa kawaida tu na hakuna kinachoendelea. nimejaribu kuuvunja urafiki huo unaoniumiza nimeshindwa mimi wenyewe hawana hata habari. Je kuna urafiki wa aina hii kweli kati ya mwanamke na mwanaume tena mume wa mtu? kwanini kusiwe na mipaka jamani..Huyo mwanamke ni mjeuri hatari ukimwambia anakujibu kwa dharau sana, mume naye ndo kwanza hana habari nisaidieni jamani nifanyaje?
Dawa ya moto ni moto tafuta kjana mmoja mchangamfu hapo chuoni uwe unawasiliana naye ,wao waktoka na ww mwambie kuna kjana mnasoma nae rafk ako amekuomba akutoe out,cku ingne toka uage mna discuss usku na hauna Hakka ka utarud,,,
 
Siku zote wanasema usipojithamini hakuna atakayeona thamani yako. Kikubwa tongotongo zishakutoka kwenye macho na ukaona urafiki wa mume na huyo rafiki yake sio basi hapo wewe mwenyewe ndio wa kutafuta suluhu kwa kuona kipi ni salama kwako.
 
Ni kweli uko chuo?
Mbona akili yako ndogo hivi?
Umekosa heshima kwa mmeo kiasi hiki?
Una kasoro gani?

Huyo mmeo naye ni kilaza, kila kitu kina kiasi, watu tuna marafiki kweli lkn twafanya mambo kiasi.
Haifai kumdharau mpenzi kwa kiasi hicho ni hatari kwa afya ya mapenzi na hata yaweza kuleta msiba.

Mwambie mmeo kuwa abaki na rafiki yako wewe endelea na hamsini zako uone reactioñ
naona unamshauri atikise kiberiti....
 
Kwani kwenu umeua?hayo ndio madhara ya kutaka kuolewa ili upate urahisi wa maisha na ipo cku utaambiwa ulale sebuleni uwapishe chumba
 
Nimekuwa mfuatiliaji wa mikasa ya watu humu leo na mimi nikaona nilete jambo langu linalonitesa kwa muda mrefu ili nijue nini cha kufanya. Mimi ni binti niko ndani ya ndoa, wakati naolewa mume wangu alikua na rafiki yake wa kike ambaye wenyewe wanadai urafiki wao ni wa kawaida tu kwani wanajuana muda mrefu. sasa tatizo huu urafiki wao umekuwa kero kwangu yani ni ule urafiki uliopitiliza kiasi kwamba kilasiku nikiangalia kwenye cm ya Mr lazima nikute wamewasiliana hata mara 50 text ndo usiseme. Kila sehemu wanaenda wote na huyo binti yani kama kumbikumbi mimi niko chuo wakati mwingine nikiwa chuo nikirudi hom namkuta huyo binti na Mr sebuleni inamaana ana courage ya kuja kwangu mimi nikiwa sipo, mara nyingine weekend tuko nyumbani na Mr, binti anampigia Mr cm njoo nyumbani kwangu ule nimepika, mume naye kilasiku lazima aripoti nyumbani kwa binti, mara binti aje nyumbani kumpitia Mr amsindikize sehemu, wakati mwingine tumelala weekend asubuh saa 1 binti kapiga cm kwa mr unafanya nini amka twende kwa fulani {mshikaji wao} yani full tafrani hana adabu kabisa ila nilichogundua ni kua mr nae ndo anampa ujeuri coz kuna kipindi niligombana sana na huyu binti kuhusu tabia zake huwezi amini alinijibu kuwa mimi siwezi kuwatenganisha kamwe nikitaka nimwambie mume wangu ndio ampige yeye marufuku kua na ukaribu nae ila sio mimi. Jamani cm wanapigiana mpaka saa 6 usiku. wenyew wanadai wao ni marafiki wa kawaida tu na hakuna kinachoendelea. nimejaribu kuuvunja urafiki huo unaoniumiza nimeshindwa mimi wenyewe hawana hata habari. Je kuna urafiki wa aina hii kweli kati ya mwanamke na mwanaume tena mume wa mtu? kwanini kusiwe na mipaka jamani..Huyo mwanamke ni mjeuri hatari ukimwambia anakujibu kwa dharau sana, mume naye ndo kwanza hana habari nisaidieni jamani nifanyaje?
Pole.

Hapo solution ni kuzungumza tu na mume na kumueleza dukuduku lako

Jambo lingine unaloweza kufanya na wewe ni kutafuta rafiki ambaye mta behave nae hivyo hivyo kama mume anavyofanya, hiyo itampa picha mume namna unavyojisikia
 
Dada

Huna rafiki wa kiume?????

Yaani anayoyafanya mumeo na rafiki yake wewe umfanyie na nyongeza

Wakati mwingine mpe mtu taste of his own medicine

Ukishindwa sepa mwbie aendelee na rafiki yake wasikuzeeshe
Hii inaweza kumgharimu..Akahisi anamkomoa jamaa ila akaishia kuikomoa papuchi yake..

Mpendwa... aliyekuficha mwambie namchukia..
 
Ungeelezea kwanza mahusiano yako na mumeo kidogo, mazingira yalopelekea mkaoana nk maybe mada ingeeleweka.
Hii ndoa yenu hamheshimiani kabisa.
Ili swali kakujibu??..kuna tatizo sehemu..Ukute binti aliforce ndoa..Ndo jamaa kaamua kumletea mapichapicha..Na unaweza kuta huyo rafiki jamaa anamuweka karibu tu kwa nia ya kumuumiza mke wake
 
Back
Top Bottom