Uko na moyo wa dhahabu sana mkuu, yani sms ya kwanza "mambo nina shida ya hela?" Huyo tungemalizana baada ya hela ya gesi tu kisha ningemfungia vioo! Ukijiuliza wewe sio bwana wake sasa unafanyaje yasiokuhusu. Mi ningemuuliza hivi mchizi wako anafanya nini sasa kama majanga yote unanihusisha mimi?90% hawarejeshi mkuuu..Mimi Nina experience ya hizo mishe
Mfano NI SIKU TOFAUTI
SIKU YA KWANZA ALISEMA NISAIDIE 60K GESI IMEISHA NIKAMPA
2.SIKU NYINGINE NINA NJAA NISAIDIE HELA NIKANUNUE MCHELE NIKAMPA 30K
MARA YA TATU AKASEMA WEEK IJAYO NINA SHIDA NA LAKI TANO NINA 350K NIBUST 150K N VERY IMPORTANT NIKAMPA 100K
SASA HIVI
SMS YA KWANZA Mambo na xhida ndogo nisaidie 50000
Naandika nafuta naandika nafuta naandika nafuta sijui nimjibu Nini
SIYO DEMU SIO MPENZ N RAFIKI TU WA KAMA MIAKA MITATU
Malipo yenu wengi ni kufunua barakoa ya kiunoni 😎 maana mipunga mnakuwa hamnaga! Sasa huoni kuna hatari ya kuliwa kimasihara 🤣🤣🤣
Usinichanganye na mimi tafadhali sijawahi kufanya hicho kituMalipo yenu wengi ni kufunua barakoa ya kiunoni [emoji41] maana mipunga mnakuwa hamnaga! Sasa huoni kuna hatari ya kuliwa kimasihara [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lazma umle kimasihara maana kama mwanzo alishindwa kuwa na hio pesa hadi kufikia kukopa unatarajia atairudishaje? Na hapo ni tamaa tu labda kaona pochi nzuri ama nguo anataka akafanye shopping wala sio kuwa anafanyia biashara hio pesa.Mimi nilimwazima 50K tumeishia kuwa wapenzi, leo naona anaomba nimuazime 100K afu hapo ni mpenzi najua hairudi, nimemuambia atulie kidogo kwanza Corona hii pesa haipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua sio wote ila wengi wenu huwa mnaishilia kuweka chupi rehani 🤣🤣🤣
Kumbe ni simple ....nikopeshe na mie
SawaNajua sio wote ila wengi wenu huwa mnaishilia kuweka chupi rehani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe unasubiri mpaka nikukope, si unikopeshe tuu jamani
Too local. Try to be smartAcha ufala bwana mdogo. Umsaidie sio umkopeshe.Ni wajinga sana kumkopa.Hawarudushi ni kutafuta lawama tu.
Siwezi kumkopesha msichana hela,kama kaomba nyingi sitampa ila zikiwa kidogo nampa.
Kuna fala alilia akiomba nimkopeshe nikamuuliza utanilipaje wakati huna shughuli yoyote,kajiumauma kumbe ananitegea na nyama yake nyekundu!!!Nikasepa kimoja.
Usiwe boya wewe, kwa hiyo hela unaweza piga manzi 3 za nguvu!!!
TUSIPOTOSHANE!!!Za kuambiwa changanya na zako.
Tahadhari,Corona inauwa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaha kazi kupost yupo ofisini..huwa inatia Hasira sana.Sio wa kike tu hata wa kiume. Rafiki yangu mmoja Nilimkopesha 500k mke wake alipata complication wakati wa kujifungua 2017 hadi leo katulia tu ukimkumbusha anakutumia eflu 10 kazi kupost yupo ofiini.
Mkuuu Extrovert labda nitamuuliza hivyo nione anajibu NN...Uko na moyo wa dhahabu sana mkuu, yani sms ya kwanza "mambo nina shida ya hela?" Huyo tungemalizana baada ya hela ya gesi tu kisha ningemfungia vioo! Ukijiuliza wewe sio bwana wake sasa unafanyaje yasiokuhusu. Mi ningemuuliza hivi mchizi wako anafanya nini sasa kama majanga yote unanihusisha mimi?
Acha tu yani hata kumdai nimeacha miaka mitatu hata kama ulikua na shida gani kama unajali lazima ungemaliza tu kulipa.